Labda kama sijalielewa swali lako vizuriBado Niko gizani mkuu,una maanisha kuwa sasa uko na carren kimapenzi?!Mana kwenye kipande kilichopita uliishia hewani
Yes! Mtanange bado unaendelea, Kikubwa Ushindi hatuta angalia kwamba huyu kashindia Nyumbani au UgeniniSitaki kuamini eti huu mtanange unaendelea, hadi hapa Annie ndiye wife coz kashinda mechi nyingi ugenini, Careen yeye kuongelewa muda mrefu kwenye story ndio kumembeba so ni kama mechi zote kashinda uwanja wa nyumbani [emoji41] [emoji41]
Hahahaa kwamba hujui kuna point za Ugenini!?Yes! Mtanange bado unaendelea, Kikubwa Ushindi hatuta angalia kwamba huyu kashindia Nyumbani au Ugenini
Au nakosea Dada angu?
Kwa hiyo kura zetu ndiyo maamuzi yako?! Au zitachangia tu percent fulaniLakini mbona una sound kama vile Caryn ndio atashinda? Annie anaweza kupindua meza unajua
Nilikuwa sitaki kupiga kura ila acha nimpigie Annie tu ana umuhimu wake sana kwenye maisha yako mmetoka mbali kakuvumilia sana BMMATOKEO YALIPOFIKIA KWA LEO
(Votes still being counted)
Kura Pacha Moja 1, Yani Voter mmoja kura yake imehesabiwa kwa Candidates wote wawili (Hii ni kwasababu maalumu, kutokana na Comment ya mpiga kura....Comment No. 3273)
Kura zilizoharibika ni 5
Annie Votes 18
Caryn Votes 23
Zoezi Bado linaendelea
Kweli dearAnnie,mmetoka mbali hajakukosea chochote usimtelekeze tafadhali
Na akimtelekeza akaja kumuoa CareenKweli dear
Mungu asaidie isifikie ukoNa akimtelekeza akaja kumuoa Careen
Annie atakua mchepuko wake wa kudumu ambao careen hatakua na lolote la kumfanya annie
Zinachangia kwa asilimia kadhaa
Zinachangia kwa asilimia kadhaa
Zinachangia kwa asilimia kadhaa
Nimepanga kuwatag watu flani kuja kupiga kura hata kwa lazima kama hawatajitokeza kwa hiyari yao, na wewe ulikuwa mmoja wao, But ni vizuri kama umejiletaNilikuwa sitaki kupiga kura ila acha nimpigie Annie tu ana umuhimu wake sana kwenye maisha yako mmetoka mbali kakuvumilia sana BM
Hahahah yaaani nimejiletaa kwa lazima nasimama na Anne popote alipo ni mwanamke na nusuNimepanga kuwatag watu flani kuja kupiga kura hata kwa lazima kama hawatajitokeza kwa hiyari yao, na wewe ulikuwa mmoja wao, But ni vizuri kama umejileta
Eniwei
Vote counted to Annie
Hebu soma mara mbili mbili comment yanguLakini mbona una sound kama vile Caryn ndio atashinda? Annie anaweza kupindua meza unajua
Mimi naenda na CarynZoezi la kupiga kura linaendelea Annie Vs Caryn
Zoezi litachukua muda mrefu kidogo ili kuwapa watu wengi nafasi ya kushiriki
Zoezi litafungwa tarehe 31 na matokeo nitayaweka hapa hapa
Tarehe 1 mwezi wa 6 nitakuja na Summary muhimu ambayo itagusa mwanzo wa Story hadi hapa nilipofikia
Baada ya hapo mtanikosa JF kwa muda kidogo kwasababu ya Ugeni mzito
Matokeo hadi sasa yanasoma[emoji1484]
Annie 7
Caryn 12
Ur rightMkuu wangu, Humu ndani Annie kapewa Airtiime kidogo sana compare na huyo Carryn!!!
Binafsi navutiwa na Annie na ndio pigo zangu mwanamke ukiwa mpole sio maneno mengi ndio nakufa kabisa!!
Dadek, umesepa na Crush wangu