Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Bado Niko gizani mkuu,una maanisha kuwa sasa uko na carren kimapenzi?!Mana kwenye kipande kilichopita uliishia hewani
Labda kama sijalielewa swali lako vizuri

Quote "Kwa hiyo tuseme kuwa uko na mahusianao na Caren kwa vile haufanyi Tena kazi kwao?"

Futa hiyo [emoji1483] "Kwahiyo tuseme kuwa uko"

Badala yake iweke hivi "Kwahiyo tuseme kuwa unataka"
 
Sitaki kuamini eti huu mtanange unaendelea, hadi hapa Annie ndiye wife coz kashinda mechi nyingi ugenini, Careen yeye kuongelewa muda mrefu kwenye story ndio kumembeba so ni kama mechi zote kashinda uwanja wa nyumbani [emoji41] [emoji41]
Yes! Mtanange bado unaendelea, Kikubwa Ushindi hatuta angalia kwamba huyu kashindia Nyumbani au Ugenini

Au nakosea Dada angu?
 
Yes! Mtanange bado unaendelea, Kikubwa Ushindi hatuta angalia kwamba huyu kashindia Nyumbani au Ugenini

Au nakosea Dada angu?
Hahahaa kwamba hujui kuna point za Ugenini!?
 
MATOKEO YALIPOFIKIA KWA LEO
(Votes still being counted)

Kura Pacha Moja 1, Yani Voter mmoja kura yake imehesabiwa kwa Candidates wote wawili (Hii ni kwasababu maalumu, kutokana na Comment ya mpiga kura....Comment No. 3273)

Kura zilizoharibika ni 5

Annie Votes 18

Caryn Votes 23

Zoezi Bado linaendelea
Nilikuwa sitaki kupiga kura ila acha nimpigie Annie tu ana umuhimu wake sana kwenye maisha yako mmetoka mbali kakuvumilia sana BM
 
Nilikuwa sitaki kupiga kura ila acha nimpigie Annie tu ana umuhimu wake sana kwenye maisha yako mmetoka mbali kakuvumilia sana BM
Nimepanga kuwatag watu flani kuja kupiga kura hata kwa lazima kama hawatajitokeza kwa hiyari yao, na wewe ulikuwa mmoja wao, But ni vizuri kama umejileta

Eniwei

Vote counted to Annie
 
Nimepanga kuwatag watu flani kuja kupiga kura hata kwa lazima kama hawatajitokeza kwa hiyari yao, na wewe ulikuwa mmoja wao, But ni vizuri kama umejileta

Eniwei

Vote counted to Annie
Hahahah yaaani nimejiletaa kwa lazima nasimama na Anne popote alipo ni mwanamke na nusu
 
Zoezi la kupiga kura linaendelea Annie Vs Caryn

Zoezi litachukua muda mrefu kidogo ili kuwapa watu wengi nafasi ya kushiriki

Zoezi litafungwa tarehe 31 na matokeo nitayaweka hapa hapa

Tarehe 1 mwezi wa 6 nitakuja na Summary muhimu ambayo itagusa mwanzo wa Story hadi hapa nilipofikia

Baada ya hapo mtanikosa JF kwa muda kidogo kwasababu ya Ugeni mzito

Matokeo hadi sasa yanasoma[emoji1484]

Annie 7

Caryn 12
Mimi naenda na Caryn
 
Back
Top Bottom