Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Duuh
 
Duuh! aisee dunia mapito apumzike kwa amani...
 
Tafuta post namba #1155 ndio utaiona SEASON 2 EPISODE 7
Asante Sana Mkuu BM X6 Nimeiona... Mkuu nilikua naomba kwa niaba ya wote wanaotumia simu ndogo za batani (Viswaswadu) tunapata shida kidogo kwenye ufunguaji wa page inachukua muda mrefu... Unakuta kufungua page 5 au 6 inachukua dakika 10 hadi mpaka 20... Nilikua naomba mkuu BM X6 uwe unaweka link kila mwisho wa episode ili na sisi tupate unafuu... Ni OMBI tu mkuu kama utakuwa na muda wa ziada... Au kama halitaathiri muda wako...

Asante

BM X6
 
Mungu ampe pumziko la amani, Dunia tunapita
Vipi sasa jukumu la wadogo zake linabaki kwako
 
Apumzike kwa Amani! Dunia tambara bovu.

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Mungu amrehemu ilikuwaje kafariki aliumwa au??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…