Hello Members, it's been a while
Niko na sad news, nilitaka hii habari niwapatie katika muendelezo wa story but nimeshindwa kuvumilia, in short yule kijana aliyebeba Heading ya hii story hatupo nae tena hapa Duniani
Ni wiki sasa tangu nipokee hizi taarifa, ila kwa mujibu wa aliyenipa taarifa ni kwamba kijana alifariki tarehe 9 September
Kiukweli nimeumia kwa kiasi chake
Anyways, sitaki kuwaahidi muendelezo utakuwa lini ila tambueni tu katika season 3 kuna character hautawasikia tena majina yao au utawasikia tu katika episodes za mwanzoni
Kijana wa Buguruni
Opportunist
Majina matatu ndio yatatawala sana
Annie
BM
Caryn