Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Huna sifa ya kupata utajiri mkuu,,tamaa,njaa na upuuzi vyote unavyo
 
Huna sifa ya kupata utajiri mkuu,,tamaa,njaa na upuuzi vyote unavyo
Bora nijue hii dhambi niikwepe na hii ni badwili niache. Utajiri wa kazi gani. Maisha hayahaya yanatosha
 
Sasa nani kakuita uje just kusoma na huu ni uzi wake usimpangie cha kuandika kiazi wewe

@omughaka watu wana stress sanaa tuwaache tuu
 
......ya hovyo wapi?,acha ujuaji.

Ina maana anachosimulia mwandishi ni mambo ya hovyo?,kwanini usipite kimya kimya kama umeona kuna mambo ya hovyo?

Hivi huu ujinga mtaacha lini?

Sasa nani kakuita uje just kusoma na huu ni uzi wake usimpangie cha kuandika kiazi wewe

@omughaka watu wana stress sanaa tuwaache tuu
Huyu jamaa unayemtetea hapa ndo anapangia watu cha kuandika then mi ndo niwe kiazi! Haupo serious wewe....soma comments za watu uelewe usirukie tu👿
 
Hii mbinu ya kutumia ID nyingine kuja jipigia promo ni ya kitoto sana...🤣🤣🤣. Unakuta unakuja jisifia ujinga kwa IDs nyingine...ni utoto tu na ulimbukeni. Sisi wakongwe tunafahamu.
hapana awezi kufanya ivo kiukweli anaandika vyema uanatamani usome mara mbili hasa ichi kisa cha saivi, kuna maneno unatamani haata uyapige screenshot
 
they don't believes in you but GOD DID IT
Dj Khaleed voice
 
Hii mbinu ya kutumia ID nyingine kuja jipigia promo ni ya kitoto sana...🤣🤣🤣. Unakuta unakuja jisifia ujinga kwa IDs nyingine...ni utoto tu na ulimbukeni. Sisi wakongwe tunafahamu.
Daah ndio nimekuelewa now baada ya kuona umemjibu mtu Fulani ktk comment yake,kwahiyo unafikir labda mtoa post ana ID nyingine ambayo ndio hii etugral bay, inakuja kumsifia tena,daah tangu nijiunge Jf 2020 sijawahi kusema kauli mbaya Kwa watu,Ila wewe ndio wa Kwanza kukwambia wewe kweli bwege,unaropoka Tu kisa mawazo yako yanakutuma hivyo, tumia akili mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…