Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora hata isidigo ilikuwa kila siku inaendelea japo ilikuwa haishiHii ni Isidingo
Sound logical ✓Kwamba mna mazoea gani mpaka mtu akwambie anataka kuona kila kitu kwenye simu yako, hiyo confidence inatoka wapi naona kama ni utoto au chai
Hii story haiwezi kuisha mpaka afe maana Anachohadithia ni maisha yake ya saivi apa anakusanya matukioMwana mwana [mention]BM X6 [/mention] shusha ndude hiyo watu standby huku
Bro unajua ukitupiaga humu Muendelezo inabidi tusome kwanza Episode iliyopita kukumbuka tuliishia wapi[emoji1544]
Kweli kabisa.. Mpaka mtu unatamani uipotezee lakini ukikumbuka vimbwanga Caryn weeee mbio mbio unaanza kuscrollBro unajua ukitupiaga humu Muendelezo inabidi tusome kwanza Episode iliyopita kukumbuka tuliishia wapi
Mie binafsi Kuna story mbili zikiisha sisomi Tena za humuNdo maana sipendagi story za humu
Wanazingua mkuuNdo maana sipendagi story za humu
Aaaah wanakera kinomaaa ila sirudiii makosa....., nikiona uzi unaleta story kusubscribe haitawahi kutokeaaaNdo maana sipendagi story za humu
Hahahaa poleni mimi mpaka nimeunsubscribe umebaki kwenye participated tuu. Juzi kati alisema ataleta mara kwa mara maana atakuwa na muda nahisi sababu ya Chinese new year matokeo yake mpaka imeisha na masoko yamefunguliwa hola.Mkuu BM X6 huu si uungwana Boss...., yaani story tokea imeanza mpaka leo hatujawahi ona hata vipande viwili kwa wiki[emoji2955][emoji2955]
Kama ulikuwa unaona umebanwa na majukumu ungeacha tuuu usilete ukatulia nayo nyumbani kwako ukaenda kusimulia hata vijiwe vya kahawa huko au mashkaji zako mkiwa huko stooo...
Sema mimi kutukana huwa siwezi ila daaaah[emoji24][emoji24][emoji24] kama mpaka kesho kukiwa hola inabidi Moderator uufute huu uzi utakuwa useless hauna maana mwenye nao ameukacha
Sasa kama ana majukumu si angebaki nayo tuuu.... Huo ungekuwa ustaarabu bora zaidi...., kuliko kufanya huu upumbavu unaofanyika sasa hivi....., unakuta unasoma mpaka ladha ya story inaisha bado hajawekaaaa....,Hahahaa poleni mimi mpaka nimeunsubscribe umebaki kwenye participated tuu. Juzi kati alisema ataleta mara kwa mara maana atakuwa na muda nahisi sababu ya Chinese new year matokeo yake mpaka imeisha na masoko yamefunguliwa hola.
Ila tusilaumu sana mtu anakuwa na majukumu yake hawezi yaacha akaleta story humu. Cha msingi uwe unautembelea baada ya mwezi unaweza bahatika kukuta kaweka.
Ukisoma coment zake anasema haya bado ni matukio ya mwaka jana, na episode 2 zijazo still ni matukio ya mwaka jana kama sikosei.Munausema sana.labda mimi nimutetee.sisi wengine mbona tumekua tunasoma kimya kimya bila kutia neno. Ukiwepo tunasoma ukiwa haupo hatusomi. This is ongoing events sasa kama je hajaenda kwa mzee wala ofisin unataka alete kisa kipi?