Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Bro unajua ukitupiaga humu Muendelezo inabidi tusome kwanza Episode iliyopita kukumbuka tuliishia wapi
Kweli kabisa.. Mpaka mtu unatamani uipotezee lakini ukikumbuka vimbwanga Caryn weeee mbio mbio unaanza kuscroll
 
Mkuu BM X6 huu si uungwana Boss...., yaani story tokea imeanza mpaka leo hatujawahi ona hata vipande viwili kwa wiki[emoji2955][emoji2955]

Kama ulikuwa unaona umebanwa na majukumu ungeacha tuuu usilete ukatulia nayo nyumbani kwako ukaenda kusimulia hata vijiwe vya kahawa huko au mashkaji zako mkiwa huko stooo...

Sema mimi kutukana huwa siwezi ila daaaah[emoji24][emoji24][emoji24] kama mpaka kesho kukiwa hola inabidi Moderator uufute huu uzi utakuwa useless hauna maana mwenye nao ameukacha
 
Hahahaa poleni mimi mpaka nimeunsubscribe umebaki kwenye participated tuu. Juzi kati alisema ataleta mara kwa mara maana atakuwa na muda nahisi sababu ya Chinese new year matokeo yake mpaka imeisha na masoko yamefunguliwa hola.

Ila tusilaumu sana mtu anakuwa na majukumu yake hawezi yaacha akaleta story humu. Cha msingi uwe unautembelea baada ya mwezi unaweza bahatika kukuta kaweka.
 
Sasa kama ana majukumu si angebaki nayo tuuu.... Huo ungekuwa ustaarabu bora zaidi...., kuliko kufanya huu upumbavu unaofanyika sasa hivi....., unakuta unasoma mpaka ladha ya story inaisha bado hajawekaaaa....,

Dah ingekuwa vizuri huu uzi ukafutwa maana tunakoelekea nitakuja kula ban kisa hadithi tuu ambazo hazieleweki[emoji706][emoji706][emoji706]
 
Munausema sana.labda mimi nimutetee.sisi wengine mbona tumekua tunasoma kimya kimya bila kutia neno. Ukiwepo tunasoma ukiwa haupo hatusomi. This is ongoing events sasa kama je hajaenda kwa mzee wala ofisin unataka alete kisa kipi?
Ukisoma coment zake anasema haya bado ni matukio ya mwaka jana, na episode 2 zijazo still ni matukio ya mwaka jana kama sikosei.

Sema watu tupunguze lawama ni kweli ili kusoma episode mpya lazima urudi kuangalia iliyopita ila tumfikirie na majukumu yake pia. Mtu kanitolea kuleta bila malipo tusimchoshe
 
Back
Top Bottom