Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Wakuu nimelala naona usingizi hauji, Kuna issue inani stress vibaya mno tangu juzi, inshort nina shida na elfu sabini na nane na mia tano (78,500/=) kuna pesa inahitajika Mahali urgent (5,600,000) ili mambo yaweze kwenda,

Jana na Leo kutwa nzima nimeshapitia watu wangu wote wa karibu kimepatikana kiasi Fulani (5,521,500) Bado Tsh 78,500 ili lengo liweze kukamilika. mbaya zaidi kuna deadline

Hadi nimekuja Jf nimeshapita kona zote...

Caryn kacheua Milioni 1

Michelle kacheua laki 4 na 50 (ya mkopo)

Annie kacheua laki 7 (ya mkopo lakini hatorudishiwa)

Accountant kacheua 1 milioni (ya mkopo, hii kwa namna yeyote itarudishwa)

Na wengine ambao hamuwajui, wengi wamenikopa kasoro Caryn & 2 others

Kiasi kilichobaki nimeona nikilete hapa mnipunguzie stress, TIGO PESA - 0719 647 407

Sikuwahi kujua kama ordinary seventh thousands inaweza nitoa jasho namna hii

Kama tunakuwaga wote katika miendelezo/muendelezo basi katika hili naimani pia tupo pamoja

Thanks in advance
 
tumuunge mkono jamaa etu.....si hata kidogo au yote kwa.pa1??
 
Sorry Bm kama nitakukwaza , kwa mishe zako na mitikasi yako yote na connection zako zote naona kama unamatumizi makubwa sana ya pesa si wewe wa kukosa elfu 78 ,bali hata sio wa kukosa mil 5 kama akiba,,
Hebu waza kuna leo na kesho , matumizi yaendane na kipato chako , weka akiba ndugu yangu kuwa na nidhamu ya pesa kabla jua halijazama.
Upo kwenye nafasi nzuri sana ya kutengeneza kesho yako
Naimani wengi humu wanaitamani na ungekuta washafika pahala fulani, ila naona kama wewe kuna mahaki unajifelisha.

Ishi kwa malengo na mipango leo upo single n wakina caryn pembeni hujui kesho utakuwa baba wa familia na wakina caryn wasiwepo pemben,, umesahau kipindi ulisimama kazi ulivyosota???
Kwangu ni hayo tu ,

Mimi wako ,Nima (muoga wa maisha)
 
Wala Hujanikwaza mkuu sema ni vile hujajua undani wa issue yenyewe

Kwa kifupi kuna mzigo umepotea, wenyewe wenye mzigo (Kampuni) wanadai kulikuwa na Computer ya hizi gari kubwa (Lori) pamoja na Stater,

Wale jamaa wanadai thamani ya ule mzigo wao ni milioni 10, (sasa sijui ni ya kweli au kukomoa) Binafsi kwenye akiba yangu nilikuwa na 4 milioni tu,

Kawaida issue kama hii ikitokea Kampuni huwa Ina solve then badae mnamalizana ila kwa bahati mbaya wiki mbili nyumba ilitokea msala kama huu Caryn akamalizana nao bila hata kunidai chochote, lilivyotokea na hili alichokifanya alinipa tu milioni moja, zingine nijitafute

Tatizo sio akiba tatizo ni changamoto imekuja Wakati ambao akiba yote uliyoweka umeifanyia matumizi ya kimalengo, kwa madeni niliyonayo sasa hivi hata hiyo elfu 78 naiona ni kubwa sana yani sana, nimekuja kuamini kwamba hakunaga pesa ndogo

Caryn mwenyewe hana kitu sasa hivi, Kuna maswala yake anafuatilia yamemlia pesa ndefu sana, hata hiyo milioni moja aliyonipa kafanya kumuomba Mama yake

Halafu pia watu wanaokuzunguka sio wote wanaweza kukusaidia, wale usiowategemea ndio wanakutoa kimaso maso, mf kwenye hili swala Accountant alikuwa mtu wa mwisho kumuwazia, lakini ndio amenipa milioni 1 ila kasema mambo ya kikaa swala nimrudishie nusu ya hicho kiasi (laki 5)

Kwa ufupi nikimalizana na hao jamaa (Kampuni) natakiwa nitafute milioni 3 ilipo nianze kulipa watu niliowakopa.
 
Aiseee pole sana tena sana ,, samahani ,mzigo unapotea ukiwa kwenye mikono yako? Mana wewe kazi yako ni kuclear tu na sio kubeba mizigo sasa je? Hapo kwa nini deni lote likuhusu? Mizigo inavyofika yote inamaelezo na mteja anaweza kutrack mizigo yake je? Wewe unahusikaje hapo 100% ? Ama ni mchezo umechezewa?
 
Sioni kama uko sahihi kuendelea kumdadisi zaidi (sijui unataka kufahamu nini)
Naona ni busara kumsaidia kwa kadri ulivyoguswa. Maswali/ ushauri wako hauleti msaada anaouhitaji kwa sasa
 
Iko hivi, nikipokea mzigo Zanzibar kuanzia hapo mzigo unakua mikononi mwangu, so nikikabidhiwa huwa nahakikisha kwenye Parking list kama mizigo yote ipo kwa kuangalia Box namba

Na huo mzigo niliuona kwakweli, kwakifupi mzigo umepotelea kati ya Zanzibar (Wakati inapandishwa kwenye meli) au Bandarini Dar (Wakati nakaguliwa),

Hadi nafika kwenye Ile Kampuni nawakabidhi mizigo yao, (kwasababu ilikuwa sio mizigo ya kwenda ofisini) kwenye ule mchakato wa kukabidhiana na kuhakiki box zote kama zipo ndipo walipogundua kama Kuna Box linamiss, huku mm nikidhani nimefikisha mizigo yote

Nilirudi hadi Zanzibar Airport but sikuambulia kitu chochote, na kama ingekuwa hilo box sikuliona pengine ningesema yule jamaa wa china kajichanganya, maana sometimes unaweza tumiwa Parking list ya mizigo yote inayokuja halafu isipakiwe yote, Sasa kama hutahakiki pale pale Wakati unakabidhiwa mzigo na watu wa Airport unaweza kuuva msala kwa uzembe, (lakini hii pia ni ngumu pia kutokea kwasababu ya Airway bill)

lakini kwa hili kuna wajanja tu watakuwa wameniotea kwasababu mzigo niliutiki
 
Sioni kama uko sahihi kuendelea kumdadisi zaidi (sijui unataka kufahamu nini)
Naona ni busara kumsaidia kwa kadri ulivyoguswa. Maswali/ ushauri wako hauleti msaada anaouhitaji kwa sasa
Mkuu wala hamna shida ni haki yake kujua kwasababu swala nimeshaliweka hapa mezani, na mimi ni wajibu wangu kutoa maelezo 'kwa mipaka lakini'
 
Wala Hujanikwaza mkuu sema ni vile hujajua undani wa issue yenyewe

Kwa kifupi kuna mzigo umepotea, wenyewe wenye mzigo (Kampuni) wanadai kulikuwa na Computer ya hizi gari kubwa (Lori) pamoja na Stater,

Wale jamaa wanadai thamani ya ule mzigo wao ni milioni 10, (sasa sijui ni ya kweli au kukomoa) Binafsi kwenye akiba yangu nilikuwa na 4 milioni tu,

Kawaida issue kama hii ikitokea Kampuni huwa Ina solve then badae mnamalizana ila kwa bahati mbaya wiki mbili nyumba ilitokea msala kama huu Caryn akamalizana nao bila hata kunidai chochote, lilivyotokea na hili alichokifanya alinipa tu milioni moja, zingine nijitafute

Tatizo sio akiba tatizo ni changamoto imekuja Wakati ambao akiba yote uliyoweka umeifanyia matumizi ya kimalengo, kwa madeni niliyonayo sasa hivi hata hiyo elfu 78 naiona ni kubwa sana yani sana, nimekuja kuamini kwamba hakunaga pesa ndogo

Caryn mwenyewe hana kitu sasa hivi, Kuna maswala yake anafuatilia yamemlia pesa ndefu sana, hata hiyo milioni moja aliyonipa kafanya kumuomba Mama yake

Halafu pia watu wanaokuzunguka sio wote wanaweza kukusaidia, wale usiowategemea ndio wanakutoa kimaso maso, mf kwenye hili swala Accountant alikuwa mtu wa mwisho kumuwazia, lakini ndio amenipa milioni 1 ila kasema mambo ya kikaa swala nimrudishie nusu ya hicho kiasi (laki 5)

Kwa ufupi nikimalizana na hao jamaa (Kampuni) natakiwa nitafute milioni 3 ilipo nianze kulipa watu niliowakopa.
pole sana mwenyezi mungu akusimamie
 
Wakuu nimelala naona usingizi hauji, Kuna issue inani stress vibaya mno tangu juzi, inshort nina shida na elfu sabini na nane na mia tano (78,500/=) kuna pesa inahitajika Mahali urgent (5,600,000) ili mambo yaweze kwenda,

Jana na Leo kutwa nzima nimeshapitia watu wangu wote wa karibu kimepatikana kiasi Fulani (5,521,500) Bado Tsh 78,500 ili lengo liweze kukamilika. mbaya zaidi kuna deadline

Hadi nimekuja Jf nimeshapita kona zote...

Caryn kacheua Milioni 1

Michelle kacheua laki 4 na 50 (ya mkopo)

Annie kacheua laki 7 (ya mkopo lakini hatorudishiwa)

Accountant kacheua 1 milioni (ya mkopo, hii kwa namna yeyote itarudishwa)

Na wengine ambao hamuwajui, wengi wamenikopa kasoro Caryn & 2 others

Kiasi kilichobaki nimeona nikilete hapa mnipunguzie stress, TIGO PESA - 0719 647 407

Sikuwahi kujua kama ordinary seventh thousands inaweza nitoa jasho namna hii

Kama tunakuwaga wote katika miendelezo/muendelezo basi katika hili naimani pia tupo pamoja

Thanks in advance
Pole sana kwa yote hii meseji naiona sasa hivi , je ulifanikiwa ? Au bado? Je jina ni nani katika namba yako ?
 
Sioni kama uko sahihi kuendelea kumdadisi zaidi (sijui unataka kufahamu nini)
Naona ni busara kumsaidia kwa kadri ulivyoguswa. Maswali/ ushauri wako hauleti msaada anaouhitaji kwa sasa
Ungejituliza kidogo muhusika angejibu huenda akasaidika zaidi ya hapa ,, ukute analipa deni kwa kutokujua haki zake ama kama kuna mchezo kachezewa na wafanyakazi wenzie ili asanuke
 
Back
Top Bottom