BM X6
JF-Expert Member
- Nov 24, 2020
- 1,376
- 4,222
- Thread starter
- #2,741
Nimeipenda sana hii...japo sidhani kama kutakuwa na mtu mwenye nia mbaya humuMnahangaika sana kumjua BM pamoja na codes zote alizotoa mbona mi namjua kitambo sana kwa kupitia hizo codes ila sio busara kuja kumu expose mtu humu. Kwanza anasimulia story iliyobeba watu wanao exist alafu sio mjivuni wala hajakosa kitu. So kama na wewe umemjua BM basi usije kumtaja utamuharibia.