Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Mnahangaika sana kumjua BM pamoja na codes zote alizotoa mbona mi namjua kitambo sana kwa kupitia hizo codes ila sio busara kuja kumu expose mtu humu. Kwanza anasimulia story iliyobeba watu wanao exist alafu sio mjivuni wala hajakosa kitu. So kama na wewe umemjua BM basi usije kumtaja utamuharibia.
Nimeipenda sana hii...japo sidhani kama kutakuwa na mtu mwenye nia mbaya humu
 
Hili jina la BM huwa linanikumbusha nilipokuwa nafanya kazi bank flan,vijana wa sales tukawa tunaitana BM meaning Branch Manager, basi yule dingi branch manager alikuwa anamaind sana, ila mpaka Leo tunaitana BM [emoji851][emoji851][emoji851]
anyway hongera kwa simulizi mujarab!
Asante mkuu kwa Pongezi

Speaking of BM, hili jina kwa upande wangu limegawanyika mara 2

1. BM X6 ni kwasababu napenda sana Ile German Mashine yani BMW X6 asee Ile gari Mungu atanibariki tu nitakuja kuinunua hata kama itakuwa outdated

2. Kipindi flani wakati nipo Nairobi kuna Mkikuyu alikuwa anapenda kuniita Boss Man akaja akawa analikatisha na kuniita BM

Sasa Wakati nafungua Accnt hapa Jamii forum nikataka nijiite Boss Man X6, nikaona haita-sound poa nikaifupisha kama alivyokuwa ananiita yule mkikuyu BM mbele yake nikamalizia X6 yani BM X6

So BM X6 kwenye Boss Man inakaa, na kwenye BMW X6 pia ndio pake.
 
Mkuu itabidi ubaki kwenye Short form tu[emoji23], maana kirefu chake as Boss Man nishalisajili COSOTA
 
Tamu sana hii stori , Overall nikimnukuu mzee na msemo wake hapo mwishoni naweza kusema inahitajika a degree of introspection and reflection, Ni muhimu sana kutofautisha nani ni wa manufaa kwenye maisha yetu na yupi wa umuhimu , ila sometimes unakuta mwingine ana sifa zote ni wa faida na muhimu pia sasa hapo law of equilibrium inatakiwa kutake place.
SHUKRANI KWA KUSHARE NASI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo degree chuo gan
 
Mkuu itakuwaje kama wote wana umuhimu na manufaa kwangu (Caryn na Annie)

Bado nitatakiwa ku-apply equilibrium kwa wote?
 
Mkuu itabidi ubaki kwenye Short form tu[emoji23], maana kirefu chake as Boss Man nishalisajili COSOTA
Mkuu kuna aina ya majina sidhani kama yanasajiliwagwa, kujiita Boss Man ni sawa na kwa wanawake wanaojiita Boss Lady, yeyote anaweza akajiita au akaitwa
 
Bro leo vip tuisubilie au?
 
BM X6 hakika umebarikiwa mkono mzuri, akili nzuri na utafutaji mzuri. Kila la kheir katika Kila hatua bro
 
Mkuu kuna aina ya majina sidhani kama yanasajiliwagwa, kujiita Boss Man ni sawa na kwa wanawake wanaojiita Boss Lady, yeyote anaweza akajiita au akaitwa
Mkuu ilikuwa ni jokes tu
 
Asante mkuu kwa Pongezi

Speaking of BM, hili jina kwa upande wangu limegawanyika mara 2

1. BM X6 ni kwasababu napenda sana Ile German Mashine yani BMW X6 asee Ile gari Mungu atanibariki tu nitakuja kuinunua hata kama itakuwa outdated

2. Kipindi flani wakati nipo Nairobi kuna Mkikuyu alikuwa anapenda kuniita Boss Man akaja akawa analikatisha na kuniita BM

Sasa Wakati nafungua Accnt hapa Jamii forum nikataka nijiite Boss Man X6, nikaona haita-sound poa nikaifupisha kama alivyokuwa ananiita yule mkikuyu BM mbele yake nikamalizia X6 yani BM X6

So BM X6 kwenye Boss Man inakaa, na kwenye BMW X6 pia ndio pake.
Hapa kuna code umefungua mkuu. Ila sitaisema. Ila nina uhakika nayo 100%.
 
Back
Top Bottom