A man with no name
JF-Expert Member
- May 7, 2017
- 1,135
- 1,574
Kaka, kila mtu ana akili zake, hivyo usiwe na haja wala sababu ya kuujaza moyo wako hasira sababu ya mjinga mmoja,Aysee! hebu niache kwanza tafadhali...niache tu na upuuzi wangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka, kila mtu ana akili zake, hivyo usiwe na haja wala sababu ya kuujaza moyo wako hasira sababu ya mjinga mmoja,Aysee! hebu niache kwanza tafadhali...niache tu na upuuzi wangu
namshangaa kaenda kusoma upuuzi na akaudadavua upuuzi atuache sie wapuuzi na upuuzi wetu ni mpuuzi tu ajihusishae na upuuzi katika upuuzi,, amenikeraAysee! hebu niache kwanza tafadhali...niache tu na upuuzi wangu
Toka hapa na utapeli wako. Najua unapoelekea. Haya tuma namba tujiunge na group lako kwa 5,000 kwa mwezi. Ujinga tu. Wenzako kibao washakuja na waliishia hivyo hivyo. Nashangaa mods wanaachia upuuzi huu. Acha ushambaAysee! hebu niache kwanza tafadhali...niache tu na upuuzi wangu
Ona hili jamaa!namshangaa kaenda kusoma upuuzi na akaudadavua upuuzi atuache sie wapuuzi na upuuzi wetu ni mpuuzi tu ajihusishae na upuuzi katika upuuzi,, amenikera
Inawezekana kama nguvu za kiume ni zero! Unakula chips mayai unategemea niniMkuu huwezi kuishi nyumba moja na msichana bila kumgusa?
Mbona hili linawezekana tu?
Mapenzi ni hisia
Sawa kaka Mkubwa, nitajitahidi kuacha ushambaToka hapa na utapeli wako. Najua unapoelekea. Haya tuma namba tujiunge na group lako kwa 5,000 kwa mwezi. Ujinga tu. Wenzako kibao washakuja na waliishia hivyo hivyo. Nashangaa mods wanaachia upuuzi huu. Acha ushamba
Sio poa mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]daah!!! BMX6 watu wanawehuka hku,, lete story mkuu[emoji1]
Sawa kaka Mkubwa, nitajitahidi kuacha ushamba
Jamaa anadhani kila anayekuja na story humu basi anashida na buku mbili mbili.Muoneshe kwamba vitu hivyo havikusumbui. Shusha episode moja leo
Achana nae bro [emoji28][emoji28]Jamaa anadhani kila anayekuja na story humu basi anashida na buku mbili mbili.
Mwambie mshkaji watu tunajitafuta kinamna nyingine
Mwambie asijali muendelezo ataupata hapa hapa hakuna Cha wasup Wala telegram
Mwambie mshkaji kuna wenzake ambao wanasoma huu Uzi wamenipa kilo za kutosha nawasafirishia mizigo yao na ninapata Commission yangu hivyo Sina haja na Buku tano yake
Mwambie mshkaji wenzake wanajifunza kupitia hii story na sio kuwaza ngono kama anavyowaza yeye
Mwambie mshkaji, anayetaka nimgonge ana thamani kubwa kuliko ngono
Mwambie mshkaji nguvu za kiume tunazo ila tuna mahala specific pa kuzitumia
Mwisho kabisa mwambie mshkaji asiwe na hofu leo leo atapata muendelezo, lakini najua katika huo muendelezo nitam disappoint kwasababu bado sijamgonga Caryn
Unajua kupanga mistari broh!! Apa tukiingia studio si tunapiga ela kabsa[emoji848][emoji848],, kmbe kna mda ukiktana na watu negative ndo wanafanya uone ma uwezo Yako mengine [emoji1][emoji1],, uliyemkera huyu jamaa endelea bhna ili atushushie mistari zaidJamaa anadhani kila anayekuja na story humu basi anashida na buku mbili mbili.
Mwambie mshkaji watu tunajitafuta kinamna nyingine
Mwambie asijali muendelezo ataupata hapa hapa hakuna Cha wasup Wala telegram
Mwambie mshkaji kuna wenzake ambao wanasoma huu Uzi wamenipa kilo za kutosha nawasafirishia mizigo yao na ninapata Commission yangu hivyo Sina haja na Buku tano yake
Mwambie mshkaji wenzake wanajifunza kupitia hii story na sio kuwaza ngono kama anavyowaza yeye
Mwambie mshkaji, anayetaka nimgonge ana thamani kubwa kuliko ngono
Mwambie mshkaji nguvu za kiume tunazo ila tuna mahala specific pa kuzitumia
Mwisho kabisa mwambie mshkaji asiwe na hofu leo leo atapata muendelezo, lakini najua katika huo muendelezo nitam disappoint kwasababu bado sijamgonga Caryn
Ushamba tu! Story lenyewe linaboa tu, bora kusoma comments tu.Sawa kaka Mkubwa, nitajitahidi kuacha ushamba
Njaa mbaya!Achana nae bro [emoji28][emoji28]
We jamaa [emoji1],,Ushamba tu! Story lenyewe linaboa tu, bora kusoma comments tu.
Bado anaokoteza maneno. Uliona wapi biashara ya hivyo iwe na mtu key player hovyo kama BM? Upuuzi tuMuoneshe kwamba vitu hivyo havikusumbui. Shusha episode moja leo
Huna hoja wacha kulalamika! Juzi tu laki holaa! Lete namba tujiunge tukupe hela utupe uongouongo siku zisongeJamaa anadhani kila anayekuja na story humu basi anashida na buku mbili mbili.
Mwambie mshkaji watu tunajitafuta kinamna nyingine
Mwambie asiwe na wasiwasi muendelezo ataupata hapa hapa hakuna Cha wasup Wala telegram