Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umechafukwa sana eeh?Jitu linapelekwa mbio hadi kupikia mwanamke eti zamu yake! Dunia ya leo mwanaume kupangiwa zamu ya kupika ni Dar tu mmebaki. Majitu mapuuzi sana! Nahisi mna shida upstairs! Haya okoteza uongo uongo tukupe michango
Sana. Nenda Intelligence soma uzi wa "Tarehe 18 May 1985" uone mwamba anavyokoga nyoyo! Kashusha nondo ushindwe wewe tu.Umechafukwa sana eeh?
Hahahah! sawa bwana nilishausoma kidogo ngoja nikausome tenaSana. Nenda Intelligence soma uzi wa "Tarehe 18 May 1985" uone mwamba anavyokoga nyoyo! Kashusha nondo ushindwe wewe tu.
Huyu kijana na mwenzie wa Buguruni na hatma yao anatia huruma tu, anatumia nguvu sana kuunga unga story ya kubuni isiyo na maana kabisa.
Nadhani mods waweke utaratibu wa vihatarishi vya utapeli wa mtandao ambao huyu kijana nahisi anaelekea huko yeye na genge lake.
Uko sahihi. Si unaona kijana wetu feki anavyofurahia hadi kulipiwa pango. Siyo muda na ch.pi atamfulia huyo dada.MAMA YAKE ACCOUNTANT ANATAKA AKUACHIE KAMPUNI WEWE YEYE ANATAKA KUPUMZIKA [emoji2]" HUU UZI UMEJAA MAISHA YA BONGO MOVIE SANA
HUU UZI UNAWAFAA WANAO PENDA MAISHA YA KITONGA MSEREREKO/ PIA MZURI KWA WEEKEND KUPOTEZEA TIME
Unajua kuna baadhi ya vitu kama hujawahi kuvi experience ukihadithiwa utaona haviwezekaniMAMA YAKE ACCOUNTANT ANATAKA AKUACHIE KAMPUNI WEWE YEYE ANATAKA KUPUMZIKA [emoji2]" HUU UZI UMEJAA MAISHA YA BONGO MOVIE SANA
HUU UZI UNAWAFAA WANAO PENDA MAISHA YA KITONGA MSEREREKO/ PIA MZURI KWA WEEKEND KUPOTEZEA TIME
Rejea Aya yako ya mwisho, nina swali, hivi unaishi mkoa gani ndugu?Unajua kuna baadhi ya vitu kama hujawahi kuvi experience ukihadithiwa utaona haviwezekani
Kuongoza Kampuni ni kitu kidogo sana mtu yeyote anayeaminiwa na Boss wake anaweza kupewa hiyo dhamana...Kuna baadhi ya watu wanarithisha Mali zao kwa strangers sembuse tu kuongoza Kampuni, kwanza mtu akikupa Biashara yake umuendeshee kashaona unamletea faida kwahiyo yeye Biashara atanufaika mara 100 kukuzidi wewe unaeendesha hiyo Biashara unless umuibie kiasi Cha kumpa hasara
Kitu kingine ambacho naona watu wanashangaa na kudhani kama hakiwezekani, lakini kinawezekana kutokana na experience yangu, ni hiyo sehemu ya kuishi na Demu bila ya kumla, kwangu hicho kitu nimeki experience so naona ni kawaida
Mkuu kwa replies zako humu unaonekana kabisa unapiga gambe[emoji28][emoji28][emoji28] tena sio vibia hivi vya watoto ila ni vitu konki...Kama ni Dar usijibu acha tu. Mnakula panadol na energy drink mpate nguvu za kiume hadi mnakuwa kama mmechanganyikiwa kila muda. Wengine mnakula karanga mixer na nazi yaani shida tu. Ni kweli kwa hali yenu unaweza kuishi na pisi ndani na usiiguse. Nadhani unajua kuwa huko kwenu mnaongoza kulea watoto ambao siyo wenu, mnasaidiwa sana wake zenu. Ni kweli mkuu. Upuuzi tu.
Mkuu mm nipo kwa Wakurya huku Mkoa wa Mara, Tarime sehemu moja inaitwa Nyamongo...Karibu tupate kichuliKama ni Dar usijibu acha tu. Mnakula panadol na energy drink mpate nguvu za kiume hadi mnakuwa kama mmechanganyikiwa kila muda. Wengine mnakula karanga mixer na nazi yaani shida tu. Ni kweli kwa hali yenu unaweza kuishi na pisi ndani na usiiguse. Nadhani unajua kuwa huko kwenu mnaongoza kulea watoto ambao siyo wenu, mnasaidiwa sana wake zenu. Ni kweli mkuu. Upuuzi tu.
Hizi sasa mbona ni chuki binafsiJitu linapelekwa mbio hadi kupikia mwanamke eti zamu yake! Dunia ya leo mwanaume kupangiwa zamu ya kupika ni Dar tu mmebaki. Majitu mapuuzi sana! Nahisi mna shida upstairs! Haya okoteza uongo uongo tukupe michango
Mkuu wewe unakula/sex na kila mwanamke?Inawezekana kama nguvu za kiume ni zero! Unakula chips mayai unategemea nini
Umemkomalia sana BM X6 vya kutosha aseeKama ni Dar usijibu acha tu. Mnakula panadol na energy drink mpate nguvu za kiume hadi mnakuwa kama mmechanganyikiwa kila muda. Wengine mnakula karanga mixer na nazi yaani shida tu. Ni kweli kwa hali yenu unaweza kuishi na pisi ndani na usiiguse. Nadhani unajua kuwa huko kwenu mnaongoza kulea watoto ambao siyo wenu, mnasaidiwa sana wake zenu. Ni kweli mkuu. Upuuzi tu.
Mimi sichagui wewe. Halafu uko nje ya hoja. Mimi nina tabu na huyo mshamba analala na pisi halafu bila bilaMkuu wewe unakula/sex na kila mwanamke?
Huwezi kuchagua na kujizuia?
Huyu BM naboreka anapochelewa kuleta epsode zingine, ila siwezi kufikia hatua uliyofikia wewe,Mimi sichagui wewe. Halafu uko nje ya hoja. Mimi nina tabu na huyo mshamba analala na pisi halafu bila bila
Aache ushamba. Hawa na mahadithi yao ya hovyo wanaanzaga hivi hivi. Tukiwakemea utasikia oohh silipwi, upuuzi tu. Mimi nimempa kitu clear kabisa kuwa naelewa anataka kupiga hela so afanye faster tumpe. Kwanza ukiangalia porojo zake hazina logic yaani episode na episode hazileti theme moja. Ni mjanja mjanja tu.Umemkomalia sana BM X6 vya kutosha asee
Sintajibu hili. Walewale tu.Huyu BM naboreka anapochelewa kuleta epsode zingine, ila siwezi kufikia hatua uliyofikia wewe,
Inaonekana wewe ni teja wa story yake, So kadri unavyocheleweshwa kupatiwa hii story yake kichwa chako kinachanganyikiwa kabisa.
Pole mkuu, BM anakuandalia dawa upunguze Arosto.
Any way unatoa tahadhali kabla ya hatari yasije kutokea ya ontario tenaAache ushamba. Hawa na mahadithi yao ya hovyo wanaanzaga hivi hivi. Tukiwakemea utasikia oohh silipwi, upuuzi tu. Mimi nimempa kitu clear kabisa kuwa naelewa anataka kupiga hela so afanye faster tumpe. Kwanza ukiangalia porojo zake hazina logic yaani episode na episode hazileti theme moja. Ni mjanja mjanja tu.
Unakumbuka Ontario alivurugika kichwa akaja humu na story ndefu za forex? Maelezo meeengi ila ujinga tu. Tukatoa tahadhari tukazomewa. Mwisho wa siku waulize wazee humu utapata feedback.
Huyu kijana wetu na mwenzie wa Buguruni na hatma yao kaja kivingine. Kwanza mshapigwa michango najua, na sasa subirini. Tatizo wengi wanavutiwa na porojo za mabinti bila kujua huo ndio mtego wake. Wenye akili tushajua mapema tu.