Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Jitu linapelekwa mbio hadi kupikia mwanamke eti zamu yake! Dunia ya leo mwanaume kupangiwa zamu ya kupika ni Dar tu mmebaki. Majitu mapuuzi sana! Nahisi mna shida upstairs! Haya okoteza uongo uongo tukupe michango
 
Umechafukwa sana eeh?
 
Umechafukwa sana eeh?
Sana. Nenda Intelligence soma uzi wa "Tarehe 18 May 1985" uone mwamba anavyokoga nyoyo! Kashusha nondo ushindwe wewe tu.

Huyu kijana na mwenzie wa Buguruni na hatma yao anatia huruma tu, anatumia nguvu sana kuunga unga story ya kubuni isiyo na maana kabisa.

Nadhani mods waweke utaratibu wa vihatarishi vya utapeli wa mtandao ambao huyu kijana nahisi anaelekea huko yeye na genge lake.
 
Hahahah! sawa bwana nilishausoma kidogo ngoja nikausome tena

Shukrani sana.
 
MAMA YAKE ACCOUNTANT ANATAKA AKUACHIE KAMPUNI WEWE YEYE ANATAKA KUPUMZIKA [emoji2]" HUU UZI UMEJAA MAISHA YA BONGO MOVIE SANA

HUU UZI UNAWAFAA WANAO PENDA MAISHA YA KITONGA MSEREREKO/ PIA MZURI KWA WEEKEND KUPOTEZEA TIME
Uko sahihi. Si unaona kijana wetu feki anavyofurahia hadi kulipiwa pango. Siyo muda na ch.pi atamfulia huyo dada.

Generally, hii ni simulizi ya uongo uongo wa kijinga na inahamasisha kulelewa sana. Mara oohh Bata Mwanza mara Jeep mara sijui ujinga upi.

Mimi huwa nikikosa cha kusoma ndiyo nasoma hili liujinga. Hapa nimemaliza kule intelligence sina cha kusoma so nafanya vurugu humu kwa huyu mtu na kijana mwenzie wa buguruni na hatma yao.

Ona anavyojisahau uongo, demu wake yuko Mwanza, huyu kijana alikwenda Mwanza ila ajabu akakosa dakika mbili tu kumuona na kujinyoosha. Kadharika, eti Zenji alale room moja na binti halafu linakuja hapa kusema bila bila. Eti tena binti kahamia kwake kitambo and nothing is happening. Anatengeneza tension ili pindi kelele zikizidi aanze kusema halipwi kama vipi tujiunge whatsapp group kwa certain fee.

Wengi walikuja humu na hayo yalifanyika na yanafanyika hata sasa, awe muwazi tu siyo mara msala mara a day to remember upuuzi tu.
 
Na sasa kila episode akileta namimi nitakuwa naporomosha masimango page mbili hadi liuzi lake likose radha. Na kikubwa zaidi namfahamu huyu kijana ndiyo maana nimeamua kumharibia mipango yake mapema. Najua 4 000 X 500 unapata 2m za chap kila mwezi kwa mauongo uongo tu. Ulipe na income tax sasa ukipata hela kwenye group
 
MAMA YAKE ACCOUNTANT ANATAKA AKUACHIE KAMPUNI WEWE YEYE ANATAKA KUPUMZIKA [emoji2]" HUU UZI UMEJAA MAISHA YA BONGO MOVIE SANA

HUU UZI UNAWAFAA WANAO PENDA MAISHA YA KITONGA MSEREREKO/ PIA MZURI KWA WEEKEND KUPOTEZEA TIME
Unajua kuna baadhi ya vitu kama hujawahi kuvi experience ukihadithiwa utaona haviwezekani

Kuongoza Kampuni ni kitu kidogo sana mtu yeyote anayeaminiwa na Boss wake anaweza kupewa hiyo dhamana...Kuna baadhi ya watu wanarithisha Mali zao kwa strangers sembuse tu kuongoza Kampuni, kwanza mtu akikupa Biashara yake umuendeshee kashaona unamletea faida kwahiyo yeye Biashara atanufaika mara 100 kukuzidi wewe unaeendesha hiyo Biashara unless umuibie kiasi Cha kumpa hasara

Kitu kingine ambacho naona watu wanashangaa na kudhani kama hakiwezekani, lakini kinawezekana kutokana na experience yangu, ni hiyo sehemu ya kuishi na Demu bila ya kumla, kwangu hicho kitu nimeki experience so naona ni kawaida
 
Rejea Aya yako ya mwisho, nina swali, hivi unaishi mkoa gani ndugu?
 
Kama ni Dar usijibu acha tu. Mnakula panadol na energy drink mpate nguvu za kiume hadi mnakuwa kama mmechanganyikiwa kila muda. Wengine mnakula karanga mixer na nazi yaani shida tu. Ni kweli kwa hali yenu unaweza kuishi na pisi ndani na usiiguse. Nadhani unajua kuwa huko kwenu mnaongoza kulea watoto ambao siyo wenu, mnasaidiwa sana wake zenu. Ni kweli mkuu. Upuuzi tu.
 
Mkuu kwa replies zako humu unaonekana kabisa unapiga gambe[emoji28][emoji28][emoji28] tena sio vibia hivi vya watoto ila ni vitu konki...

Uko wapi Mkuu leo tukapige hata black & white moja tupate experience ya maisha kidogo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Najua kabisa nikinunua b&w moja lazima uitishe vant kwa meza[emoji3][emoji3]

Anyway leo uzi uko hot sana bado kijana wangu wegero kwetu na mwenzie Chizi Maarifa hawajatia timu humu
 
Kama ni Dar usijibu acha tu. Mnakula panadol na energy drink mpate nguvu za kiume hadi mnakuwa kama mmechanganyikiwa kila muda. Wengine mnakula karanga mixer na nazi yaani shida tu. Ni kweli kwa hali yenu unaweza kuishi na pisi ndani na usiiguse. Nadhani unajua kuwa huko kwenu mnaongoza kulea watoto ambao siyo wenu, mnasaidiwa sana wake zenu. Ni kweli mkuu. Upuuzi tu.
Mkuu mm nipo kwa Wakurya huku Mkoa wa Mara, Tarime sehemu moja inaitwa Nyamongo...Karibu tupate kichuli
 
Kama ni Dar usijibu acha tu. Mnakula panadol na energy drink mpate nguvu za kiume hadi mnakuwa kama mmechanganyikiwa kila muda. Wengine mnakula karanga mixer na nazi yaani shida tu. Ni kweli kwa hali yenu unaweza kuishi na pisi ndani na usiiguse. Nadhani unajua kuwa huko kwenu mnaongoza kulea watoto ambao siyo wenu, mnasaidiwa sana wake zenu. Ni kweli mkuu. Upuuzi tu.
Umemkomalia sana BM X6 vya kutosha asee
 
Mkuu wewe unakula/sex na kila mwanamke?
Huwezi kuchagua na kujizuia?
Mimi sichagui wewe. Halafu uko nje ya hoja. Mimi nina tabu na huyo mshamba analala na pisi halafu bila bila
 
Huyu BM naboreka anapochelewa kuleta epsode zingine, ila siwezi kufikia hatua uliyofikia wewe,

Inaonekana wewe ni teja wa story yake, So kadri unavyocheleweshwa kupatiwa hii story yake kichwa chako kinachanganyikiwa kabisa.

Pole mkuu, BM anakuandalia dawa upunguze Arosto.
 
Umemkomalia sana BM X6 vya kutosha asee
Aache ushamba. Hawa na mahadithi yao ya hovyo wanaanzaga hivi hivi. Tukiwakemea utasikia oohh silipwi, upuuzi tu. Mimi nimempa kitu clear kabisa kuwa naelewa anataka kupiga hela so afanye faster tumpe. Kwanza ukiangalia porojo zake hazina logic yaani episode na episode hazileti theme moja. Ni mjanja mjanja tu.

Unakumbuka Ontario alivurugika kichwa akaja humu na story ndefu za forex? Maelezo meeengi ila ujinga tu. Tukatoa tahadhari tukazomewa. Mwisho wa siku waulize wazee humu utapata feedback.

Huyu kijana wetu na mwenzie wa Buguruni na hatma yao kaja kivingine. Kwanza mshapigwa michango najua, na sasa subirini. Tatizo wengi wanavutiwa na porojo za mabinti bila kujua huo ndio mtego wake. Wenye akili tushajua mapema tu.
 
Huyu BM naboreka anapochelewa kuleta epsode zingine, ila siwezi kufikia hatua uliyofikia wewe,

Inaonekana wewe ni teja wa story yake, So kadri unavyocheleweshwa kupatiwa hii story yake kichwa chako kinachanganyikiwa kabisa.

Pole mkuu, BM anakuandalia dawa upunguze Arosto.
Sintajibu hili. Walewale tu.
 
Aache ushamba. Hawa na mahadithi yao ya hovyo wanaanzaga hivi hivi. Tukiwakemea utasikia oohh silipwi, upuuzi tu. Mimi nimempa kitu clear kabisa kuwa naelewa anataka kupiga hela so afanye faster tumpe. Kwanza ukiangalia porojo zake hazina logic yaani episode na episode hazileti theme moja. Ni mjanja mjanja tu.

Unakumbuka Ontario alivurugika kichwa akaja humu na story ndefu za forex? Maelezo meeengi ila ujinga tu. Tukatoa tahadhari tukazomewa. Mwisho wa siku waulize wazee humu utapata feedback.

Huyu kijana wetu na mwenzie wa Buguruni na hatma yao kaja kivingine. Kwanza mshapigwa michango najua, na sasa subirini. Tatizo wengi wanavutiwa na porojo za mabinti bila kujua huo ndio mtego wake. Wenye akili tushajua mapema tu.
Any way unatoa tahadhali kabla ya hatari yasije kutokea ya ontario tena
 
Back
Top Bottom