Synod
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 4,143
- 4,180
Wewe BM, nahisi na mimi ntakufokea tu, au sijui hata nafanyaje hapa ππππ Ila tafafhali, usije ukahesabu kura yangu katika huu utaratibu ulioanzisha.
1. Kwanza nikupongeze mzee, hongera kwa kuwa na kismati cha kupendwa ( sio kupendwa kimapenzi, ila kama binadamu). Naamini hili halijaja kwa bahati mbaya, ni mvuto wa asili wa mtu, anazaiwa nao. Kuanzia mzee, na watu wengine around, including mama yake accountant πππ
2. Pili, mimi naendelea kusema haujapotoka sana, you just need to fix some loose ends. Moja ni hili la mahusiano ya kimapenzi, jingine ni job security/ uwekezaji binafsi ( japo huu ni mchakato sio suala la siku mbili tatu kama haya mengine).
3. Tatu, labda nikukumbushe, kuna tahadhali huwa inatolewa kuwa " Usitoe ahadi ukiwa kwenye wakati wa furaha sana, na usifanye maamuzi ukiwa kwenye mfadhaiko, msongo wa mawazo au hasira". Repercussions zake huwa ni kujutia tu huko baadae, na kuishia kusema ooh wakati ule nilikuwa sijielewi elewi au nilishtukia tu nimesema. Sasa kwa maelezo yako mimi naona uko kwenye depression kubwa kabisa. Kwa sasa huna kazi, Caryn kajaa ndani, kauli tata za mzee kuhusu mahusiano yako na bintiye, Annie huyu hapa anarudi mjini, kijana wa buguruni ambaye hata judgement ya kazi yake kwa mzee haijatoka kazingua, deal la kuwa CEO wa kampuni ya Caryn limebuma, huku tena unaambiwa urudi kazini na ukatia ngumu kwanza, just to mention some. Haya mambo ni kama hayajapishana sana, huwezi kuwa sana kisaikolojia kuamua vitu vizuri.
4. Sasa mpaka hapo bwana BM, mimi naomba nikuulize, are you seriously doing this? Kwamba unahesabisha kura hapa, na mwenye nyingi to atakuwa life partner wako? πππ
5. Halafu kama unapigisha kura, mbona umeweka parameters chache mkuu? Yaani hapo ungeweka Annie, Accountant, Caryn and Michelle. Najua umeshangaa why Michelle! YES, her! Yaani kama ni lazima uwe mkwe wa mzee, Michelle is the best choice. Na mimi ningempigia chapuo Michelle ππππππ. Kwanza yeye ni wife material kabisa yule, anajishusha sana sana, halafu yeye sio jicho la mzee kuhusu kusimamia biashara ya mzee, maana yake ni rahisi kupata mtaji kupitia yeye, ukafanya kitu kikasimama na kuonekana, maana yake unamtumia yeye kupata boost ya wewe kuwekeza na ndio unakuwa superintendent CEO, kwanza naona Michelle wala hana mda sana na uboss boss, akipata tu sehem ya kufanya kazi ambayo haimpi stress anaridhika kabisa, anawahi hadi nyumbani kukupikia msosi. Opportunist angeshangaa ndege ashapeperuka ππππππ Af did you know Michelle loves you? Ni vile tu anahisi umebase Kwa Caryn, mtanie siku moja utashangaa. Anyway hapa labda naleta idea mpya ila me nakurudisha tu kwenye drawing table ili usiseme ulikurupuka kuwahesabisha watu kura maana huu ni utaratibu nisiouafiki kabisa.
6. Halafu vipi kuhusu Annie kule kazini kwake, ushamwekea ma spy? Wanaume wenye wake huwa hatukai kwa ku-relax bila kuwawekea tabs wake zetu huko kazini kwao. Wewe unajua chochote kuhusu Loyalty ya mkeo Annie? Sio wewe tu ndo uonekane msaliti na kuomba msamaha kwa kuchepuka kumbe mwenzetu huko aliko naye yaliyomo yamo. (Nimemwita Annie mkeo maana kwa sasa ni kama mnaishi hivyo japo hamjafanya formality za kifamilia na serikali.
7. Halafu naomba kujua, wakati unam-approach Caryn, baada ya kuona dalili za kupendwa kama ulivyosema, lengo lako ikikuwa kula kimasihara, long term relationship, au life partner? Maana tukijua hapa ndio tutapata mwanga. Kama tunavyojua Annie mpango wenu ni life partner, asa hapa ulitakaje yani, ukishakubaliwa ule mzigo! Af hapa kama kuna kitu nimeona hivi, Caryn atakuwa mrembo zaidi kuliko Annie, japokuwa Annie anaonekana ana chura ya maana kuliko Caryn, Caryn ana English figure hivi, na wewe ndio kama unapenda hizi figure. Annie na Michelle watakuwa na vyura hawa watuππππ
8.Kuna kitu pia nimewaza, labda job security ndio imeku-drive hadi kutupigisha kura humu, maana unajua vijana wengi wa kiume hapa watampa kura caryn, huku akinadada, ambao kwenye huu uzi ni wachache zaidi, watampa Annie.
9. Kuhusu Caryn kuwa na economic status kubwa kukuzidi, incase ikatokea ndiye ukawa naye, hii sio issue, hata kama kidogo, especially pale mwanamke ndio akiwa wa kwanza kabisa kukupenda wewe, huku akiujua ukweli wa maisha yako. Ni jinsi utakavyojua tu kulihandle miaka ya mwanzoni mwa maisha ili wewe ndio u-take over baadhi ya mambo, especially yale mnayoanzisha ninyi wawili au wewe. Mda mwingine we need a stepping stone, and wives can be the ones. So if you're in for Caryn, don't consider this as a setback. Just consider other obstacles. Mimi nimepitia hii situation, nilicheza nayo tu huko mbele ya safari, sa hizi wife hawez hata jilinganisha ila wakati tunaanza alikuwa way forward. (Again usije kuhesabu kura kwa comment hii)
10. Halafu kuhusu mchina umesema unammudu! Sijajua unanmudu vipi mkuu! Kwani mlikuwa na makubaliano yoyote na mchina wakati unampa lile deal? Ambayo unahofia anaweza kukugeuka?
11. Finally, wanaosema unapelekeshwa na familia ya mzee labda wana mtazamo hasi tu. Kwenye ile family wewe ni asset, kivyovyote vile, they need you and you need them. Ndio maana mzee alimwambia Caryn kuwa kuhusu kutodevelop feelings za mapenzi kwako, akihofia kuwa in case mkiwa wapenzi mkaachana kabla hamjaoana (kulana kimasihara), wewe utaondoka kwenye kampuni za mzee. So hofu ya mzee hapo ukiona ni kwamba anahofia ukiondoka potentiality yako itapotea. Na mzee alishaanza kuwekeza kwako. Hii ni kawaida kabisa ya waajiri wote. No matter what, they need potential people they can trust, who're royal and loyal to the business. Fikiria mzee tangu aanze kuajiri, ashaajiri na kufukuza wangapi? Kwa vyovyote, kuna watu kampuni huwa hazigitaji kuwapoteza, and you're one of them. So kuhusu habari za kupelekeshwa na familia ya mzee, I advise you not pay so much attention to them, we need passages kufika mahala, and passages aren't alike. Kikubwa ni kuwa makini tu.
Halafu, just incase hutakuwa na bond na familia ya mzee kupitia ndoa, wanaweza kuwa family friends. Sijui watu hapa wapo ambao wana experience ya haya mambo ya family friendships! Kwani huwa yanaanzaje wakuu? Sio lazima iwe mmesoma pamoja, ndio kama hivi pia.
Kila la kheri ndugu BM, katika uchaguzi wako wa mke, uwekezaji na maisha.
Baraka za Mungu ziwe nawe.