Mambo ya shule na kusoma hamuwezi waislamu. Wachache wanaotaka kusoma wanajuwa mahali pa kupata elimu.Stux...
Unanifurahisha sana.
Ukiwa unapenda kuchukua "credit" kuwa umenishinda sawa sina tatizo na hilo.
Mimi siko hapa kushinda.
Mimi niko hapa kusomesha yale ambayo wengi hamkuwa mnafahamu.
Mlikuwa mnajua kuwa serikali mara mbili ilizuia Waislam kujenga Chuo Kikuu?
Stux...Mambo ya shule na kusoma hamuwezi waislamu. Wachache wanaotaka kusoma wanajuwa mahali pa kupata elimu.
Mmekatazwa kujenga vyuo,mahospitali yenuInside10,
Chuo hakikusudiwa wasome Waislam peke yao.
Mmekatazwa kujenga vyuo,mahospitali yenu
Mbona wenzenu wamejenga mfano agakhan,hindumandal,tmj,seifee ,bugando, kcmc
Nk
Hebu tuache kulalamika wakati shida mnaijuwa iko huko huko ndani mwenu
Ova
Mrangi,Mmekatazwa kujenga vyuo,mahospitali yenu
Mbona wenzenu wamejenga mfano agakhan,hindumandal,tmj,seifee ,bugando, kcmc
Nk
Hebu tuache kulalamika wakati shida mnaijuwa iko huko huko ndani mwenu
Ova
Haya saa hizi wameruhusiwa kujenga chuo kikuu.Wamejenga vingapi?Stux...
Kifua chako kina joto kali.
Nimekuambia unaweza kuchukua credit ya ushindi lakini hujaridhika na nimekuelekeza kwenye post niliyotukanwa nikashauri iwe basi.
Hujaridhika.
Ikiwa hata unapopewa ushindi huridhiki hii nini maana yake?
Maana yake ni kuwa unaelewa na nafsi yako bado inahangaika.
Bado haijatulia kwa kuwa hujashinda mjadala.
Umesoma kutoka kwangu ukweli ambao hakika unasikitisha.
Kwa nini Julius Nyerere mara mbili aliwazuia Waislam kujenga Chuo Kikuu?
Huyu mzee mufilisi kabisa. Hana hoja ambayo iko objective zaidi ya kulialia tuKwa hiyo hiko chuo kikuu mngesoma waislamu tu? Mbona SAUT, tumaini n.k
Havina ubaguzi kwa mf saut waislamu wamepewa eneo la kuswalia msikiti mdogo..
Je, pale MUM wakatoliki wanaweza pewa eneo la chapel
Tu-assume alizuia kama unavyotaka,haya jibu hoja mbona hicho mlichopewa bure hakina jipya kama bandiko la mleta mada linavyosema?Stux...
Kifua chako kina joto kali.
Nimekuambia unaweza kuchukua credit ya ushindi lakini hujaridhika na nimekuelekeza kwenye post niliyotukanwa nikashauri iwe basi.
Hujaridhika.
Ikiwa hata unapopewa ushindi huridhiki hii nini maana yake?
Maana yake ni kuwa unaelewa na nafsi yako bado inahangaika.
Bado haijatulia kwa kuwa hujashinda mjadala.
Umesoma kutoka kwangu ukweli ambao hakika unasikitisha.
Kwa nini Julius Nyerere mara mbili aliwazuia Waislam kujenga Chuo Kikuu?
Nan...Haya saa hizi wameruhusiwa kujenga chuo kikuu.Wamejenga vingapi?
Stux...Huyu mzee mufilisi kabisa. Hana hoja ambayo iko objective zaidi ya kulialia tu
Stev...Tu-assume alizuia kama unavyotaka,haya jibu hoja mbona hicho mlichopewa bure hakina jipya kama bandiko la mleta mada linavyosema?
Utasema Kikwete,Magufuli,Mwinyi na Samia nao ni wapinzani wa Uislamu ndio maana hakina maendeleo yanayoonekana?
Stux...Morogoro Muslim University!! Mnaitumiaje?
Hivi kati ya Wakristo na Waislamu, ni dini ipi iliyopoteza zaidi wakati wa utaifishaji wa taasisi za elimu mara baada ya uhuru? Mbona Wakristo walijipanga upya na kuanzisha shule na vyuo?Kinyungu,
Niwe accommodative kwa namna gani?
Huu ni mjadala.
Mengi ninayokuelezeni hamkuwa mnayajua.
Mnatoa fikra zenu nami nakupeni majibu.
Nyie hamkuwa mnaijua historia ya kweli ya uhuru.
Mimi nimeandika kitabu kizima.
Nakala ya Kiswahili ni kurasa 416.
Wasomi walipokisoma wamepigwa na mshangao mkubwa na wengine wametaka kujua zaidi.
Bahati mbaya hapa wengi wenu mkisoma msichokijua ghadhabu zinapanda.
Ukweli unawaumiza.
Sio kweli, Wakatoliki walinunua, nilikuwa Iringa wakati huo, na nilikuwa Chuo Kikuu binafsi cha Walutheri huko Iringa, tenda ilikuwa wazi, Walutheri walijivunga , Wakatoliki wakakibeba.Tanbihi....Wakati Rais Benjamin Mkapa anwapa Waislamu Chuo cha Tanesco wakigeuze kuwa chuo chao kikuu, Wakristo walishapewa Chuo cha Benki Iringa walichokifanya kuwa Chuo chao Kikuu... Ben alikuwa anaweka sawa mizania, hakuwapendelea Waislamu.
Vv,Hivi kati ya Wakristo na Waislamu, ni dini ipi iliyopoteza zaidi wakati wa utaifishaji wa taasisi za elimu mara baada ya uhuru? Mbona Wakristo walijipanga upya na kuanzisha shule na vyuo?
Mkapa alipokuwa rais, aliwapa Waislamu chuo cha TANESCO Moro na kukipatia ithabati kiwe Chuo Kikuu. Naomba majibu, hadi sasa MUM ina campus ngapi Tanzania? Najua vyuo vikuu kadhaa vya Wakristo vilianzishwa baada ya MUM na vimeshajitanua na kuiacha MUM mbali sana, tatizo ni nini?
Vv
Leo tuna Afghanistan ambako mabinti wa kiislamu hawaruhusiwi kwenda shule, Tanzania jamii ya kiislam haiwekezi kwenye elimu . Saudia kama centre ya uislamu na tajiri namba 1 inawekeza kwenye ujenzi wa misikiti madrassa tu ulimwenguni.Tatizo ni kwamba unachukua mtazamo wa mtu binafsi au kikundi cha watu ndio unafanya kuwa Uislamu.
Uislamu mtu ukiusoma kwa watu ambao hawajui dini kwa haki yake kwa hakija lazima mtu atapotea na kujazwa fikra potufu. Swala kuwa elimu tofauti na dini kuona sawa na ukafiri hilo kimaandiko na kihistoria inakataaa kwani Uislamu umehimiza sana mwanadamu some chochote kike chenye manufaa katika dini yake na dunia yake kwa kuchunga mipaka ila dini lazima iwe kipaumbele cha kwanza kwa maana mtu akijua vyote akiwa mtupu katika dini ni hasara kubwa sana hivyo lazima awe na basic knowledge ya dini kwanza kisha afanye nyingine na wala haimaanishi kwamba mtu kuithamini dini ni kuitupa Dunia hapana kwani hata Allah amesisitiza mja kuwa "asisahau fungi lake katika dunia"
Kihistoria enzi ya Dola ya Uislamu Abbasid Caliphate Baghdad hata Dola ya Uislamu iliyokuwepo Andulasia (Spain) huko ndiko kulikuwa center ya science ,arts na innovation Duniani na gunduzi nyingi ambazo nyingine zinasaidia na zimeweka msingi wa sayansi ya sasa zilitoka huko...
Kwenye maisha jamii ikijijengea kulalamika wakati woooote kuwa wako hivyo walivyo kwa kuwa walifanyiwa hivi au vile basi jamii hii kamwe haiwezi songa mbele na ndiyo maana waafrika watabaki kuwa nyuma maana miaka nenda rudi huona hawakufanikiwa sababu ya wakoloni. Ndiyo maana black americans wako nyuma ya chinese, indians, latinos, na wengine maana wao daily hulalamikia kuwa wako nyuma maana wamefanyiwa sana madhila na wazungu hawataki kuona fursa. Waislamu dizain ya mzee huyu hawataki kuona fursa zilizopo/zijazo but wataendelea kulalamika miaka nenda rudi kuwa walifanyiwa madhila/dhuluma ndo maana wapo hivyo walivyo. Nyerere hulalamikiwa sana na waislam cha ajabu Nyerere kaondoka na ametangulia mbele ya haki wamekuja marais sasa tupo wa tano wao (waislamu 3) bado wanalalamika tu! Zanzibar ina wengi waislamu na inaongozwa na waislamu na wala haina maendeleo hayo! Yaani kwa kifupi siku zooooote jamii hii itatafuta pa kutupia lawama kamwe hawataki kuona makosa/udhaifu wao na kujirekebisha. Hawa hata wakisaidiwa vipi bado watalalamika tu! hawataki kufungua shule/vyuo vingi vilivyo bora na hakuna aliyewakataza lakini watasema mfumo kristo unawazuia wataleta historia ya naintin kweusi kuwa walizuiwa kufanya hivi/kufanya vile historia ambayo kamwe haiwasaidii chochote kwa sasa, maana hata wahenga walisema yaliyopita si ndwele aisee hii jamii ni shida sana.Mzee Mohamed Said
Nini kinazuia sasa kwa waislamu kujenga vyuo vikuu
Kwa nini misaada ya Qatar, au UAE isiwe ya kuomba kujenga vyuo vikuu na mashule na mahospitali?
Hawa waarabu wanahela za kumwaga sana, na wanaweza kufanya hivyo,
Je serikali itazuia pia hivyo?
Hivi vyuo vya kikristo SAUT na sijui TEKU, ni vya juzi juzi tu, kwa nini pia waislamu wasijenge vyao?
Hawajawahi kuwa seriousSasa hivi Waislam wanaongoza NECTA. Je Waislam wanafaulu kuliko wapagani au Wakristu? Kuna upendeleo? Nini kinafanya Waislam wasiongoze kwa ufaulu wakati dai la uongozi NECTA halipo tena?
Chuo kilichojengwa Uganda kinaitwaje Mzee wangu? Kimeweza kukuza elimu ya waislam kule Uganda,kimekua kikubwa hata kukaribia level ya Makerere university?City...
Miaka ya 1970 OIC walitaka kujenga Chuo Kikuu serikali ikakataa kutoa kibali.
Chuo kikajengwa Mbale, Uganda.
Sababu ya kupigwa marufuku EAMWS ni kutaka kujenga Chuo Kikuu.
Ikafutwa EAMWS na kuundwa BAKWATA.