Hatma ya Muslim University of Morogoro na Maono ya Aga Khan kuwasaidia Waislamu kujenga Chuo Kikuu

Hatma ya Muslim University of Morogoro na Maono ya Aga Khan kuwasaidia Waislamu kujenga Chuo Kikuu

Stux...
Unanifurahisha sana.

Ukiwa unapenda kuchukua "credit" kuwa umenishinda sawa sina tatizo na hilo.

Mimi siko hapa kushinda.

Mimi niko hapa kusomesha yale ambayo wengi hamkuwa mnafahamu.

Mlikuwa mnajua kuwa serikali mara mbili ilizuia Waislam kujenga Chuo Kikuu?
Mambo ya shule na kusoma hamuwezi waislamu. Wachache wanaotaka kusoma wanajuwa mahali pa kupata elimu.
 
Mambo ya shule na kusoma hamuwezi waislamu. Wachache wanaotaka kusoma wanajuwa mahali pa kupata elimu.
Stux...
Kifua chako kina joto kali.

Nimekuambia unaweza kuchukua credit ya ushindi lakini hujaridhika na nimekuelekeza kwenye post niliyotukanwa nikashauri iwe basi.

Hujaridhika.
Ikiwa hata unapopewa ushindi huridhiki hii nini maana yake?

Maana yake ni kuwa unaelewa na nafsi yako bado inahangaika.
Bado haijatulia kwa kuwa hujashinda mjadala.

Umesoma kutoka kwangu ukweli ambao hakika unasikitisha.
Kwa nini Julius Nyerere mara mbili aliwazuia Waislam kujenga Chuo Kikuu?
 
Inside10,
Chuo hakikusudiwa wasome Waislam peke yao.
Mmekatazwa kujenga vyuo,mahospitali yenu
Mbona wenzenu wamejenga mfano agakhan,hindumandal,tmj,seifee ,bugando, kcmc
Nk
Hebu tuache kulalamika wakati shida mnaijuwa iko huko huko ndani mwenu

Ova
 
Mrangi

Mrangi,
Mwaka wa 1968 EAMWS ilipigwa marufuku wakati inajenga Chuo Kikuu na Mufti Sheikh Hassan bin Ameir akakamatwa na kufukuzwa Tanganyika.

Katika miaka ya 1970 OIC ilinyimwa kibali kujenga Chuo Kikuu Tanzania wakaupeleka mradi Uganda na chuo kikajengwa Mbale.

Vipi serikali itahujumu jamii moja ndani ya nchi yake?
Serikali haijaweza kutoa majibu hadi hii leo.

Unakuja wewe ambae hakupata hata kuyajua haya unazungumza hapa.
Hebu iulize serikali kwa nini ilifanya haya?

Unatufananisha sisi ''majority'' tuliopigana Maji Maji na kuunda TANU kupigania uhuru tujikomboe na dhulma na hao ndugu zetu?

Unadhani sisi na hao tuko sawa au tulipata kuwa sawa?
Mantiki yako haioni tofauti kubwa baina yetu?

Au umesahau Uchaguzi wa Kura Tatu mwaka 1958?

Nimeandika kitabu kizima, ''Uamuzi wa Busara'' kueleza mtihani huu uliotaka kuigawa TANU mapande mawili.

Matokeo yake tukapata Congress ya Zuberi Mtemvu na Said Chamwenyewe na AMNUT ya Ramadhani Mashado Plantan na akina Abdulwahid Abdulkarim.

Hii ikawa salama kubwa kwetu.

1704557531596.png
 
Stux...
Kifua chako kina joto kali.

Nimekuambia unaweza kuchukua credit ya ushindi lakini hujaridhika na nimekuelekeza kwenye post niliyotukanwa nikashauri iwe basi.

Hujaridhika.
Ikiwa hata unapopewa ushindi huridhiki hii nini maana yake?

Maana yake ni kuwa unaelewa na nafsi yako bado inahangaika.
Bado haijatulia kwa kuwa hujashinda mjadala.

Umesoma kutoka kwangu ukweli ambao hakika unasikitisha.
Kwa nini Julius Nyerere mara mbili aliwazuia Waislam kujenga Chuo Kikuu?
Haya saa hizi wameruhusiwa kujenga chuo kikuu.Wamejenga vingapi?
 
Kwa hiyo hiko chuo kikuu mngesoma waislamu tu? Mbona SAUT, tumaini n.k
Havina ubaguzi kwa mf saut waislamu wamepewa eneo la kuswalia msikiti mdogo..
Je, pale MUM wakatoliki wanaweza pewa eneo la chapel
Huyu mzee mufilisi kabisa. Hana hoja ambayo iko objective zaidi ya kulialia tu
 
Stux...
Kifua chako kina joto kali.

Nimekuambia unaweza kuchukua credit ya ushindi lakini hujaridhika na nimekuelekeza kwenye post niliyotukanwa nikashauri iwe basi.

Hujaridhika.
Ikiwa hata unapopewa ushindi huridhiki hii nini maana yake?

Maana yake ni kuwa unaelewa na nafsi yako bado inahangaika.
Bado haijatulia kwa kuwa hujashinda mjadala.

Umesoma kutoka kwangu ukweli ambao hakika unasikitisha.
Kwa nini Julius Nyerere mara mbili aliwazuia Waislam kujenga Chuo Kikuu?
Tu-assume alizuia kama unavyotaka,haya jibu hoja mbona hicho mlichopewa bure hakina jipya kama bandiko la mleta mada linavyosema?

Utasema Kikwete,Magufuli,Mwinyi na Samia nao ni wapinzani wa Uislamu ndio maana hakina maendeleo yanayoonekana?
 
Stev...
Mapya yapi?
 
Morogoro Muslim University!! Mnaitumiaje?
Stux...
Unauliza chuo kinatumikaje?
Unanifurahisha sana.

Huwa kila unaponiandikia huwa nampa mtu hapa na yeye asome.

Kuna utafiti tunafanya kuhusu uwezo wa kuelewa na kuuliza maswali yenye kujenga fikra.

Yeye akishakusoma ananiandikia fikra zake kuhusu swali lako yaani anaandika, "comments."

Nasoma hizi "comments."
Nacheka.

Msaidizi wangu ananiuliza mimi anasema, "Kwa nini hakuna aliyeshtuka kwa kupigwa marufuku EAMWS wakati wanajenga Chuo Kikuu?

Kwa nini hakuna anaeshtuka kwa serikali kuzuia OIC kujenga Chuo Kikuu Tanzania?"

Anafanya, "simulation," kuwa EAMWS wamejenga Chuo Kikuu na OIC nayo imejenga Chuo Kikuu.

Anataka kujua hali ya Waislam ingekuwaje?

Namsoma huyu mwenzangu naishia kucheka.

Ni kijana hodari sana kwa mambo haya.

Anaandika katika comments ananiuliza mimi kama hivi kweli hujui kwa nini Waislam walitaka kujenga Chuo Kikuu kiasi leo unauliza MUM inatumikaje?
 
Kinyungu,
Niwe accommodative kwa namna gani?
Huu ni mjadala.

Mengi ninayokuelezeni hamkuwa mnayajua.

Mnatoa fikra zenu nami nakupeni majibu.

Nyie hamkuwa mnaijua historia ya kweli ya uhuru.

Mimi nimeandika kitabu kizima.
Nakala ya Kiswahili ni kurasa 416.

Wasomi walipokisoma wamepigwa na mshangao mkubwa na wengine wametaka kujua zaidi.

Bahati mbaya hapa wengi wenu mkisoma msichokijua ghadhabu zinapanda.

Ukweli unawaumiza.
Hivi kati ya Wakristo na Waislamu, ni dini ipi iliyopoteza zaidi wakati wa utaifishaji wa taasisi za elimu mara baada ya uhuru? Mbona Wakristo walijipanga upya na kuanzisha shule na vyuo?

Mkapa alipokuwa rais, aliwapa Waislamu chuo cha TANESCO Moro na kukipatia ithabati kiwe Chuo Kikuu. Naomba majibu, hadi sasa MUM ina campus ngapi Tanzania? Najua vyuo vikuu kadhaa vya Wakristo vilianzishwa baada ya MUM na vimeshajitanua na kuiacha MUM mbali sana, tatizo ni nini?

Vv
 
Tanbihi....Wakati Rais Benjamin Mkapa anwapa Waislamu Chuo cha Tanesco wakigeuze kuwa chuo chao kikuu, Wakristo walishapewa Chuo cha Benki Iringa walichokifanya kuwa Chuo chao Kikuu... Ben alikuwa anaweka sawa mizania, hakuwapendelea Waislamu.
Sio kweli, Wakatoliki walinunua, nilikuwa Iringa wakati huo, na nilikuwa Chuo Kikuu binafsi cha Walutheri huko Iringa, tenda ilikuwa wazi, Walutheri walijivunga , Wakatoliki wakakibeba.

Vv
 
Hivi kati ya Wakristo na Waislamu, ni dini ipi iliyopoteza zaidi wakati wa utaifishaji wa taasisi za elimu mara baada ya uhuru? Mbona Wakristo walijipanga upya na kuanzisha shule na vyuo?

Mkapa alipokuwa rais, aliwapa Waislamu chuo cha TANESCO Moro na kukipatia ithabati kiwe Chuo Kikuu. Naomba majibu, hadi sasa MUM ina campus ngapi Tanzania? Najua vyuo vikuu kadhaa vya Wakristo vilianzishwa baada ya MUM na vimeshajitanua na kuiacha MUM mbali sana, tatizo ni nini?

Vv
Vv,
Waislam tumeachwa mbali katika mengi na unaweza kusema kila kitu.

Tatizo ni kuwa tulitengenezewa mpango wa kutuzuia tusifanikiwe katika lolote.

Tumezuiwa kujenga vyuo vikuu viwili.

Laiti tungeruhusiwa tungepiga hatua kubwa.

Makanisa yameweka mkataba MoU na serikali yanapokea mabilioni ya fedha.

Hii ni fursa kubwa sana.

Laiti na Waislam wangekuwa na wao wanapewa ruzuku hii ingesaidia maendeleo yao.

Yako mengi sana.

Prof. Njozi aliyaeleza katika kitabu chake Mwembechai Killings serikali ikakipiga marufuku nchini kisisomwe.

Serikali ilipata hofu itakuwaje Waislamu wakijua dhulma hizi dhidi yao?

Huwezi kufananisha watu wanaobanwa na wale wenye fursa na uhuru wa kufanya wapendayo.
 
Mzee Mohamed Said
Nini kinazuia sasa kwa waislamu kujenga vyuo vikuu
Kwa nini misaada ya Qatar, au UAE isiwe ya kuomba kujenga vyuo vikuu na mashule na mahospitali?
Hawa waarabu wanahela za kumwaga sana, na wanaweza kufanya hivyo,
Je serikali itazuia pia hivyo?

Hivi vyuo vya kikristo SAUT na sijui TEKU, ni vya juzi juzi tu, kwa nini pia waislamu wasijenge vyao?
 
Tatizo ni kwamba unachukua mtazamo wa mtu binafsi au kikundi cha watu ndio unafanya kuwa Uislamu.

Uislamu mtu ukiusoma kwa watu ambao hawajui dini kwa haki yake kwa hakija lazima mtu atapotea na kujazwa fikra potufu. Swala kuwa elimu tofauti na dini kuona sawa na ukafiri hilo kimaandiko na kihistoria inakataaa kwani Uislamu umehimiza sana mwanadamu some chochote kike chenye manufaa katika dini yake na dunia yake kwa kuchunga mipaka ila dini lazima iwe kipaumbele cha kwanza kwa maana mtu akijua vyote akiwa mtupu katika dini ni hasara kubwa sana hivyo lazima awe na basic knowledge ya dini kwanza kisha afanye nyingine na wala haimaanishi kwamba mtu kuithamini dini ni kuitupa Dunia hapana kwani hata Allah amesisitiza mja kuwa "asisahau fungi lake katika dunia"

Kihistoria enzi ya Dola ya Uislamu Abbasid Caliphate Baghdad hata Dola ya Uislamu iliyokuwepo Andulasia (Spain) huko ndiko kulikuwa center ya science ,arts na innovation Duniani na gunduzi nyingi ambazo nyingine zinasaidia na zimeweka msingi wa sayansi ya sasa zilitoka huko...
Leo tuna Afghanistan ambako mabinti wa kiislamu hawaruhusiwi kwenda shule, Tanzania jamii ya kiislam haiwekezi kwenye elimu . Saudia kama centre ya uislamu na tajiri namba 1 inawekeza kwenye ujenzi wa misikiti madrassa tu ulimwenguni.
 
Mzee Mohamed Said
Nini kinazuia sasa kwa waislamu kujenga vyuo vikuu
Kwa nini misaada ya Qatar, au UAE isiwe ya kuomba kujenga vyuo vikuu na mashule na mahospitali?
Hawa waarabu wanahela za kumwaga sana, na wanaweza kufanya hivyo,
Je serikali itazuia pia hivyo?

Hivi vyuo vya kikristo SAUT na sijui TEKU, ni vya juzi juzi tu, kwa nini pia waislamu wasijenge vyao?
Kwenye maisha jamii ikijijengea kulalamika wakati woooote kuwa wako hivyo walivyo kwa kuwa walifanyiwa hivi au vile basi jamii hii kamwe haiwezi songa mbele na ndiyo maana waafrika watabaki kuwa nyuma maana miaka nenda rudi huona hawakufanikiwa sababu ya wakoloni. Ndiyo maana black americans wako nyuma ya chinese, indians, latinos, na wengine maana wao daily hulalamikia kuwa wako nyuma maana wamefanyiwa sana madhila na wazungu hawataki kuona fursa. Waislamu dizain ya mzee huyu hawataki kuona fursa zilizopo/zijazo but wataendelea kulalamika miaka nenda rudi kuwa walifanyiwa madhila/dhuluma ndo maana wapo hivyo walivyo. Nyerere hulalamikiwa sana na waislam cha ajabu Nyerere kaondoka na ametangulia mbele ya haki wamekuja marais sasa tupo wa tano wao (waislamu 3) bado wanalalamika tu! Zanzibar ina wengi waislamu na inaongozwa na waislamu na wala haina maendeleo hayo! Yaani kwa kifupi siku zooooote jamii hii itatafuta pa kutupia lawama kamwe hawataki kuona makosa/udhaifu wao na kujirekebisha. Hawa hata wakisaidiwa vipi bado watalalamika tu! hawataki kufungua shule/vyuo vingi vilivyo bora na hakuna aliyewakataza lakini watasema mfumo kristo unawazuia wataleta historia ya naintin kweusi kuwa walizuiwa kufanya hivi/kufanya vile historia ambayo kamwe haiwasaidii chochote kwa sasa, maana hata wahenga walisema yaliyopita si ndwele aisee hii jamii ni shida sana.
 
Sasa hivi Waislam wanaongoza NECTA. Je Waislam wanafaulu kuliko wapagani au Wakristu? Kuna upendeleo? Nini kinafanya Waislam wasiongoze kwa ufaulu wakati dai la uongozi NECTA halipo tena?
Hawajawahi kuwa serious

Everyday kelele zao TULIONEWA, tumeonewa, tunaonewa tutaonewa.

Mambo ni simpo

Jengeni shule Bora zenye walimu Bora.

Pelekeni watoto shule Bora.

Pelekeni watoto vyuo Bora

Himizianeni watoto wasome shule kwa lazima na mkazo.

Halafu uone kama matokeo yatakuwa tofauti.

Huyo mzee anajivika uanaharakati wa dini wakati yeye kasoma na Rafiki zake wengi wasomi.

Lakini sijawahi msikia au kumsoma mahali kwa andiko au kampeni akowahimiza waislamu wenzake wasome.

Ni wazi anajua fika nduguze hawana time na mambo ya dunia. Sasa kwanini usione unaonewa ilhali hutaki kuendana na mifumo ya dunia.
 
City...
Miaka ya 1970 OIC walitaka kujenga Chuo Kikuu serikali ikakataa kutoa kibali.

Chuo kikajengwa Mbale, Uganda.
Sababu ya kupigwa marufuku EAMWS ni kutaka kujenga Chuo Kikuu.

Ikafutwa EAMWS na kuundwa BAKWATA.
Chuo kilichojengwa Uganda kinaitwaje Mzee wangu? Kimeweza kukuza elimu ya waislam kule Uganda,kimekua kikubwa hata kukaribia level ya Makerere university?
 
Back
Top Bottom