Hatma ya Muslim University of Morogoro na Maono ya Aga Khan kuwasaidia Waislamu kujenga Chuo Kikuu

Wewe bila Uislamu ni empty kabisa

Una kitu gani cha kiafrika cha kujivunia kama Msomi ?

Uislamu ni wa Waarabu.
Yani msomi huna kipya zaidi ya kuandika tamaduni za Kiarabu

Umeandika nini kipya na cha maana cha kuwanufaisha Waafrika wenzako.

Nadhani hata lugha ya Taifa unataka iwe Kiarabu badala ya lugha yako ya Asili.

Watu kama wewe ni wasomi watumwa.
Wasomi wa kuendeleza Mila za Kigeni.

Ha ha ha
Mzee huna jipya zaidi ya kukopi na kupesti mambo ya Waarabu

Msomi unajisifu kujua na kuandika tamaduni za wageni.
Watu kama nyinyi ni wa kutawaliwa tu na wageni.
 
Che...
Sijapata kudharauliwa popote pale duniani nilipotia mguu wangu.
Alhamdulilah.

Unajua kuwa picha inasema maneno 1000.


Yvonne Chaka Chaka

Ahmed Rajab

Salim Rashid​
Che,
Mimi nafanya utafiti kisha naandika sikopi popote.
Tujaalie ningekuwa nakopi mambo ya Waarabu kwani hairuhusiwi?


Prof. Michael Lofchie
Che...
Kitu gani cha Kiafrika ninachoweza kujivunia?


Mmoja wa Waandishi wa hili Kamusi lenye historia za Waafrika mashuhuri Afrika






 
Wanaelewa sana na mioyo yao inakiri hilo,ila unafiki kwao ni somo kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe bila wageni huna jipya.
Endelea kuwatukuza Wageni na Tamaduni zao.

Ikikufaa nenda kaishi huko kwa wageni.

Badala ya kutuletea picha za ukiwa na Mababu na Mabibi zako wa Kibantu,
Unatuletea picha ukiwa na Wakoloni.

Wewe ni msomi hasara.
Wewe ni wa kutawaliwa tu na wageni unao wathamini sana

Msomi ni yule anayeliona jambo katika jamii yake na kulifanyia utafiti ili kuliboresha.

Wewe unaona ufahari kupiga picha na wageni na kuandika mambo yao.
 
Che...
Ahmed Rajab na Salim Rashid ni wageni?
 
Che...
Ahmed Rajab na Salim Rashid ni wageni?
Huyo ni mgeni
Soma jina lake.
Ni mgeni au Mtumwa wa wageni.

Hana faida kwa jamii yake ya Asili.

Wasomi rudini katika jamii zenu ili mboreshe mambo yake.
Wafrika tumebaki maskini karne na karne sababu ya kujishughurisha na mambo ya Wageni.

Leo ukienda Lindi maroli na Maroli yanapishana yamejaa Makaa ya Mawe yanapelekwa Ugenini.
Kwa Waarabu na Wazungu.

Hivi Wasomi Maprofesa kama wewe hamjajua matumizi ya Makaa yetu ya Mawe kweli ?
Kwa faida yetu?

Eti Mzee Profesa Ahmed Said.


Hatuandiki kabisa matumizi ya Makaa yetu wenyewe.

Tunaandika kuhusu Uislamu wa na Ukristo wa wageni tu.
Na Maneno ya Papa wa Romani Cathoric, kuhusu kuwabariki Mashoga.


Halafu tunabaki kulialia tunaonewa.
Mnaonewa au mnaibiwa Mali zenu na wageni wanao wasahaulisha kwenye Dini zao za mchongo ili msikumbuke Mali zenu zinazoibiwa

Huo sio Usomi
Ni Ukuwadi wa Mabwenyenye.

Makaa ya Mawe yanaisha huko.
Wenzetu wana matumizi ya Makaa ya Mawe, sisi hatuna na hatuta kuwa nayo.

Sisi tupo Misikitini na Makanisani tunakesha kwa Nabii Mwamposa.

Makaa ya Mawe yanaisha huko Ruvuma
Maprofesa Uchwala mmejikita kuandika pepa za Ubongo Bandia na Dini na Historia za Sultani wa Madina.
Aliyefariki na Kuzikwa katika Mji Mtukufu wa Maka mwaka 1845.
Na Kuprisenti Marekani na Maka.

Makaa ya Mawe yanaenda wapi ?
Wapi Profesa Lipumba?
Naskia yupo bize na Chama cha CAF.
Waafrika weusi Bado hatujafikia katika Hali ya Binadamu aliye staarabika na Kujitambua na kujiita Msomi.
Bado tuna Unyani mwingi sana.
EPIDOMIA

Halafu mnakaa na kutamba eti ni wasomi mnaotambulika na University of London.
Kwenu hutambuliki na huna faida yoyote zaidi ya kuagiza Ugali Maharagwe na kula na kulala.

Huo sio Usomi ndugu yangu,
Ni kugubikwa kitambaa cheupe Usoni.
 
Che...
Nimekusoma.
Ahsante.
 
Mkata...
Nakuambia serikali imehujumu miradi miwili ya kujengwa Chuo Kikuu.
Nimeeleza hili mara nyingi sana.

Unaniambia madrasa ndilo tatizo.
Ahsante nimekusoma.
mwinyi,kikwete,na sasa samia nao wanahujumu miradi?

wacha kulia lia.Hakutokusaidia ....
 
Mudi unatamani hii nchi wapewe waarabu bure tu ili mpewe tende.
 
Makka kuna utukufu gani?Kumejaa makasino,madada poa.
Wakina Manara,Mzee Yusuph nk wameenda na bado wamerudi wako wanazurura na malaya kwenye mitandao.

Maka ni sehemu ya utalii tu kama kwenda Serengeti.Ndo maana wahuni kibao wanenda huko na warudi wanaendelea na uhuni wao.
 
Mamilioni ya watu duniani kote wanaenda kuhiji Maka kila mwaka.
Naskia ndio mji pekee wa kumpiga Mawe Shetani.
 
Hawezi kukujibu hili labda akopi na ku paste zile pumba zake
 
Mohamed Said njoo huku kuna hoja za kuiibu
 
Huu uwongo wako kadanganye wajukuu zako au wenzio kwenye mchezo wa dhumna
 
Che...
Inasikitisha.

Mjadala huu umepata wasikilizaji wengi naamini kwa kuwa kuna mambo ya maana yanayojadiliwa hapa, mambo ambayo yamebeba historia kubwa sana ya nchi yetu.

Wewe unataka kuugeuza mjadala huu uwe wa kipuuzi.

Inasikitisha.
Ukiishiwa point ndiyo kawaìda yako kujibu ovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…