Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Wewe bila Uislamu ni empty kabisaChe...
Vitabu vyote nilivyoandika pamoja na papers vyote ni kuhusu Uislam na Waislam ila kitabu kimoja tu na vingine nilivyoshirikiana na waandishi wengine.
Nilipogundua kuwa kuna marufuku ya kimya kimya kutafiti chochote kuhusu Uislam na Waislam nchini petu na kuwa hata Chuo Kikuu Cha Dar-es-Salaam Idara ya Historia imejiweka mbali na historia ya Waislam ndipo nilipoamua kuandika historia ya Uislam na Waislam na ndiyo hii ninayosomesha hapa.
Wewe unaniona sina busara lakini nimepokea tuzo mbili kutoka kwa Waislam wa Tanzania kwa kuhifadhi historia ya uhuru wa Tanganyika.
Vilevile nimechaguliwa Mwandishi Bora JF Jukwaa la Historia miaka miwili mfululizo 2021 na 2022.
Babu yangu Sheikh Mohamed Mvamila alikuwa mwalimu akisomesha Qur'an.
Una kitu gani cha kiafrika cha kujivunia kama Msomi ?
Uislamu ni wa Waarabu.
Yani msomi huna kipya zaidi ya kuandika tamaduni za Kiarabu
Umeandika nini kipya na cha maana cha kuwanufaisha Waafrika wenzako.
Nadhani hata lugha ya Taifa unataka iwe Kiarabu badala ya lugha yako ya Asili.
Watu kama wewe ni wasomi watumwa.
Wasomi wa kuendeleza Mila za Kigeni.
Ha ha ha
Mzee huna jipya zaidi ya kukopi na kupesti mambo ya Waarabu
Msomi unajisifu kujua na kuandika tamaduni za wageni.
Watu kama nyinyi ni wa kutawaliwa tu na wageni.