Hatma ya Muslim University of Morogoro na Maono ya Aga Khan kuwasaidia Waislamu kujenga Chuo Kikuu

Ukishakuwa mufti au katibu
Lazima uwe na elimu ya mambo ya management,kusoma na kuandaa maproposal nk
Je hao wanaongoza tu sahv wana elimu hiyo au uwezo huo
Huyo tu mzee mohamed said hawezi kujingiza bakwata kutaka uongozi au
Kupeleka mapend3kezo yake ya nn kifanyike anajuwa ukweli wa huko ndani ulivyo

Ova
 
Kwa hiyo changombe aliuza John
Tena hilo eneo la changombe nyerere alitaifisha na akawapa waislam ilikuwa 1966
Mzee said analalamika nn

Ova
Mrangi,
Hivi kwa nini hamuulizi?
Kwa nini mnadhani kuwa mnajua?

Mali zote za EAMWS zilikabidhiwa BAKWATA baada ya EAMWS kuvunjwa.

Hiyo ardhi ilipatikana kama zilivyioatika mali nyingine za EAMWS na hapakuwa na mkono wa Nyerere.
 
Huyu mzee said analalamika tu na kulialia
Wakati tatizo liko ndani mwao wenyewe,ile shule ya alharAmain na eneo lote wamempa mwekezaji
Na akibisha hata huyo mwekezaji tunaweza mtajiaaaa
Tatizo hawapendi kukubali ukweli

Ova
Mrangi,
Mbona mimi naandika sitoi lugha za kejeli?
 
Nyerere alupotaifisha Mali, Mali nyingi akazipa taasisi
Waislam walipewa nyumba nyingi upanga wao wenyewe wakaziuza
Anakuja mtu anawalaumu wakina John

Nyerere alimpa ukuu wa mkoa dar mzee songa mbele mtu aliyekuwa dereva wa malori tu tena huyu mzee songa mbele namjuwa na mzee wangu na yuko mpaka leo kwake nyuma ya biashara complex kinondoni mwananyamala,
Yule sheikh amri abeid naye akapewa arusha
Mzee haruna taratibu akapewa moro
Kuna yule mohamed kisoki alipewa mbeya naye na akapata kesi wakamaliza
Watoto wa sheramia tu nyerere mbona aliwapa ubalozi
Huyo bibi titi tu hana elimu alipewa unaibu wazir wa mazingira
Nyerere hakuwa na udini tena aliwasaidiaaaa

Ova
 
Che...
Hao ni BAKWATA iliyoundwa na serikali.
 
Mrangi,
Hivi kwa nini hamuulizi?
Kwa nini mnadhani kuwa mnajua?

Mali zote za EAMWS zilikabidhiwa BAKWATA baada ya EAMWS kuvunjwa.

Hiyo ardhi ilipatikana kama zilivyioatika mali nyingine za EAMWS na hapakuwa na mkono wa Nyerere.
Bakwata ndy waliharibu wenyewe na waliyotangulia na mpaka sahv bado wanaendelea na ulafi
Matatizo yako kwenu wenyewe
Humo ndani ila syo wakina John

Ova
 
Baada ya EAMWS kuvunjwa ndiyo ukawa Mwisho wa kila kitu.

Serikali na BAKWATA ndiyo wakawa viongozi wa Waislam.
Sikuwepo huko.

Ila naskia Waislamu walikuwa na vijumuiya vidogo vidogo vingi ambavyo havikuwa na hierarchy ya kiutawala.
Ndio maana ikaundwa BAKWATA ambayo ilikuwa na mpangilio mzuri wa uongozi kiutawala, na uwakilishi wa Kitaifa kimikoa hadi ngazi za chini.
Na Majoriti ya Waislamu walikubali huo muundo.
Ndio maana ikaundwa, hadi leo tunaona wanavyochaguana kuwania uongozi wa BAKWATA.

Kama Umoja wa Afrika Mashariki ulikufa sasa hiyo EAMWS ingejiendesha vipi?
 
Kama huyu mzee Mohamed Said atakujibu hayo nitashangaa
 
Huyu mzee said analalamika tu na kulialia
Wakati tatizo liko ndani mwao wenyewe,ile shule ya alharAmain na eneo lote wamempa mwekezaji
Na akibisha hata huyo mwekezaji tunaweza mtajiaaaa
Tatizo hawapendi kukubali ukweli

Ova
Mzee Mohamad said njoo huku ujibu hoja
 
Kama huyu mzee Mohamed Said atakujibu hayo nitashangaa
Tatizo hawataki kukubali
Ila matatizo yako huko huko kwao
Wenyewe
Huwezi ukawalaunu akina John
Inabidi waondoe ile mindset ya tunaonewa,tunaonewa
Mbona system kwa kiasi kukubwa wameshika wao nafasi
Ukija kwa matajiri wao ndiyo wengi
Top 10 nzima utawakuta wao
Shida iko wapi sasa ???

Ova
 
Halafu kila siku mzee Mohamed Said analia lia kumlaumu Nyerere. Ushahidi wake ni kijarida chake alichoandika simulizi za Abdul Sykes.

Abdul Sykes mwenyewe pia na ndugu zake Nyerere aliwapa kazi nzuri tu
 
Che...
Waislam si wa kuwa na "vi" jumuiya.

Waislam walikuwa na African Association 1929 na Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika (Umoja wa Waislam wa Tanganyika) 1933 na TANU 1954.
 
Halafu kila siku mzee Mohamed Said analia lia kumlaumu Nyerere. Ushahidi wake ni kijarida chake alichoandika simulizi za Abdul Sykes.

Abdul Sykes mwenyewe pia na ndugu zake Nyerere aliwapa kazi nzuri tu
Stux...
Haipendezi wewe kutaka kunidhalilisha.

Mimi dhana yangu kwako toka asubuhi ilikuwa nzuri kuwa kama walivyo wengi huijui historia ya uhuru wa Tanganyika.

Nikadhani kuwa tutafanya mjadala wa heshima.

Bahati mbaya historia hii ulipoijua imekuumiza sasa unalipiza kisasi kwa lugha isiyokuwa na staha.

Abdul na Ally Sykes hawakupata kupewa kazi yoyote na Nyerere kwa kuwa walikuwa wanajitosheleza katika biashara hata kabla ya uhuru.

Usishangae utakapoona nimekupuuza na sikujibu.

Waamerika wana msemo nimekutia katika "shit list."
 

Mzee Said
Hayo ninayajua, na ni kweli ya kuhusu NECTA, yalikuwa ya kweli kuhusu ubaguzi katika elimu kwa misingi ya dini.
Lakini hayasaidii kitu kwa sasa, kwanini tusiwe na mpango wa kwenda mbele Yaani kuanza kujenga mashule na vyuo vikuu,
Mbona sasa kuna vyuo na mashule mengi kwa misingi ya kidini
Na muda huu unataka kusema tunakataliwa?
 
Nimekuona leo ukishindwa kujibu maswali na kujieleza AZAM TV,Umeprove failure na elimu yako ya MUM.
 
Mrangi,
Shida iko katika kuzuia Waislam kujenga Chuo Kikuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…