Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Mangungo...Hawajawahi kuwa serious
Everyday kelele zao TULIONEWA, tumeonewa, tunaonewa tutaonewa.
Mambo ni simpo
Jengeni shule Bora zenye walimu Bora.
Pelekeni watoto shule Bora.
Pelekeni watoto vyuo Bora
Himizianeni watoto wasome shule kwa lazima na mkazo.
Halafu uone kama matokeo yatakuwa tofauti.
Huyo mzee anajivika uanaharakati wa dini wakati yeye kasoma na Rafiki zake wengi wasomi.
Lakini sijawahi msikia au kumsoma mahali kwa andiko au kampeni akowahimiza waislamu wenzake wasome.
Ni wazi anajua fika nduguze hawana time na mambo ya dunia. Sasa kwanini usione unaonewa ilhali hutaki kuendana na mifumo ya dunia.
Nimekusoma.
Ahsante.