Hatma ya Muslim University of Morogoro na Maono ya Aga Khan kuwasaidia Waislamu kujenga Chuo Kikuu

Hawajawahi kuwa serious

Everyday kelele zao TULIONEWA, tumeonewa, tunaonewa tutaonewa.

Mambo ni simpo

Jengeni shule Bora zenye walimu Bora.

Pelekeni watoto shule Bora.

Pelekeni watoto vyuo Bora

Himizianeni watoto wasome shule kwa lazima na mkazo.

Halafu uone kama matokeo yatakuwa tofauti.

Huyo mzee anajivika uanaharakati wa dini wakati yeye kasoma na Rafiki zake wengi wasomi.

Lakini sijawahi msikia au kumsoma mahali kwa andiko au kampeni akowahimiza waislamu wenzake wasome.

Ni wazi anajua fika nduguze hawana time na mambo ya dunia. Sasa kwanini usione unaonewa ilhali hutaki kuendana na mifumo ya dunia.
Mangungo...
Nimekusoma.
Ahsante.
 
.
Stux...
Wa kutoa majibu wamekuwa kimya hata pale tatizo hili lilipoletwa Bungeni.

Wewe unajibu kama nani?
Sisi tunasubiri majibu kutoka serikalini.
Screenshot_20240110_220740.jpg
 
Kinyungu,
Nakueleza kuwa kitabu kinakwenda toleo la tano kukufahamisha kuwa kitabu kimependwa kwa ukweli ulioko ndani yake.

Ikiwa hili linakuudhi ni bahato mbaya sikukusudia hilo.

Kwa nini liniudhi na wakati halini affect kwa chochote? Wewe Mzee Said upo kimaslahi wala siyo kuwakomboa Waislam.

Kwako changamoto za Waislam na stories za changamoto zao kwako ni fursa ya kiuchumi na siyo vinginevyo. Hauko tayari kuona hizo changamoto zinaisha maana utakosa mkate wako.
 
Luku...
Nimekusoma.
Ahsante

Mzee wangu nakukubali sana unavyojenga hoja zako na unatufunza mengi vijana.

Kwa upande wangu mchawi wa waislam Tanzania kuwa nyuma kielemu dunia ni madrassa.

Mimi ni mwalimu naona shuleni.

Watoto wa kiislam wanaenda madrassa kila siku kuanzia jumatatu mapaka jumamosi.. na huko madrassa anafundishwa vitu vipya vingi tena kwa lugha mpya.. madrassa mtoto anafundishwa ki arab na hapo hapo anafundishwa dini yake hasa kukariri Quran.

Kujua lugha mpya kunataka attention kubwa sana. Na ki arabu ni kigumu kwa mtoto. Ustaz anachapa mpaka fimbo kufosi mtoto aelewe ya madrassa.

Hii inasababisha mtoto aweke nguvu kubwa kwenye madrassa na kuweka nguvu ndogo kwenye elimu dunia.

Shule ya msingi ni msingi wa kila kitu hasa hasa hesabu. Mtoto wa kiislamu anakuwa nyuma maana ana madrassa ya kuelewa na hapo hapo ana hesabu kuelewa na masomo mengine.

Watoto wa kikristo wana advantage wao sunday school wanaenda mara moja tu kwa wiki. Na tena masaa mawili tu. Hakuna fimbo wala hakuna cha kukariri. Mtoto huyu wa kikristo anabaki na mambo ya shule tu kuanzia jumatatu mpaka jumamosi.. ni lazima awe mbele kielimu maana amebeba mzigo mmoja tu wa kuelewa

Muda huo huo Wakati mtoto wa kiislam yupo madrassa anajifunza ki arab na quran mtoto wa kikristo yupo anajifunza hesabu ama masomo ya elimu dunia..

Lazima tu mkristo afaulu sana.

Udsm ni chuo kikuu kikongwe. Hata ukienda leo waislam ni wachache kuliko wakristo udsm. Na hata kila mwaka ukitazama best students wa udsm wakristo ndio huwa wanaongoza.

Jiulize Je mpaka leo waislam wanaonewa ?
 
Ahsante nimekusoma.
 
Mkata...
Nakuambia serikali imehujumu miradi miwili ya kujengwa Chuo Kikuu.
Nimeeleza hili mara nyingi sana.

Unaniambia madrasa ndilo tatizo.
Ahsante nimekusoma.
 
Gamma...
Huna lolote la kusema kuhusu vyuo vya EAMWS na OIC?
Ninalo
Kwa kuwa kipindi hiko, vyuo na shule zote za wakristu zilitaifishwa na kuwa na serikali ili jamii isome bila ya kuwa na shuruti au upendeleo kwa wakristo ndio wawe na kipaumbele
Je kungekuwa na tatizo gani kama hivyo vyuo vya EAMWS na OIC vingejengwa kama vyuo tu bila kuwa na mrengo wa kidini ? na sio kuwa vyuo vikuu vya kiislamu unadhani vingekataliwa?

Na sasa wanaweza kujenga na kuviita vya kiislamu, mbona hautuoni wakinjenga na ukilinganisha kwa sasa nchi nyingi za kiislamu huko zimepata utajiri maradufu kuliko kipindi kile
 
hiki kizee ni kifia dini aisee majina ya wanafunzi yaliyokuwa yanauzwa ni ya waislamu tu?? hata mimi ya ndugu yangu iliuzwa tena tulikuja kugundua kwamba aliyekuwa anatumia alikuwa anasoma ilboru secondary wewe mzee acha kuwa fala wa kidini
binafsi jina langu liliuzwa tena kipindi hicho waziri alikuwa prof Malima, bahati marehemu baba yangu alikuwa anafahamiana naye kikazi . Alipomfata alimtaka ampelekee matokeo yangu ya kuanzia darasa la tano mpaka la saba na baada ya kupelekewa alipewa option ni shule gani niende lakini marehemu baba alikataa ila mwalimu wangu mkuu wa shukle ya msingi alikuja na hadithi kuwa nilichaguliwa Tanga Tech ila jina lilisahauliwa. Utaratibu wa namba ndio utaratibu mbovu zaidi kwani mtu alipewa namba feki na kumfanyia mtihani mtu mwingine.
 
Ninalo
Kwa kuwa kipindi hiko, vyuo na shule zote za wakristu zilitaifishwa na kuwa na serikali ili jamii isome bila ya kuwa na shuruti au upendeleo kwa wakristo ndio wawe na kipaumbele
Je kungekuwa na tatizo gani kama hivyo vyuo vya EAMWS na OIC vingejengwa kama vyuo tu bila kuwa na mrengo wa kidini ? na sio kuwa vyuo vikuu vya kiislamu unadhani vingekataliwa?

Na sasa wanaweza kujenga na kuviita vya kiislamu, mbona hautuoni wakinjenga na ukilinganisha kwa sasa nchi nyingi za kiislamu huko zimepata utajiri maradufu kuliko kipindi kile
Gramma...
Inaelekea hujui sababu za matatizo yote haya ya elimu kuanzia kuvunjwa kwa EAMWS, kufukuzwa kwa Mufti Sheikh Hassan bin Ameir, kuundwa kwa BAKWATA kuzuiwa kwa OIC kujenga Chuo Kikuu, kuzuiwa OIC kujenga Chuo Kikuu, kuzuiwa kwa Waislam kuwa na taasisi huru nje ya BAKWATA, mgogoro wa Seminari za Kiislam, kufuzwa kwa Sheikh Mohamed Ali BAKWATA, kufukuzwa kwa Sheikh Malik Tanzania, yaliyokuwa yanatendeka katika Wizara ya Elimu, kupigwa marufuku kitabu cha Hamza Njozi, NECTA na maandamano ya Waislam kupinga NECTA.

Ndugu yangu huna moja uyajuayo katika haya.

Kuna uvunjaji wa mabucha ya nguruwe na maandamano ya kwanza mwaka wa 1993 na maandamano mengine yaliyofuatia.

Matatizo ya ugaidi na mengine mengi sana.

Mimi ninachojaribu hapa ni kukuelezeni yale ambayo hamkuwa mnayajua ili myajue kwani kujua kwenu ukweli kutasaidia maelewano katika jamii.

1704921132539.png

VIONGOZI WA NECTA TANGIA KUANZISHWA KWAKE 21/11/73
1
1973 - 1977
P. MSELEWA
MKRISTO
2
1977 – 1980
I.M KADUMA
MKRISTO
3
1980 - 1988
N. A KUHANGA
MKRISTO
4
1988 - 1992
G. R. N.MMARI (prof)
MKRISTO
5
1992 - 1999
M.L LUHANGA
MKRISTO
6
1999 – 2004
G.R.V MMARI (prof)
MKRISTO
7
2004 - 2007
E. MWAIKONDO (PROF)
MKRISTO
8
2007 - 2018
R.S MKANDALA (PROF)
MKRISTO
9
2018 – to date
W.A.L. ANANGISYE (PROF)
MKRISTO
10
SECONDARY KUTOKA (DED)
EMANUEL BARIDI
MKRISTO
11
PRIMARY KUTOKA (DED)
ESTHER THOMAS
MKRISTO
12
UALIMU NA UTAALAM KUTOKA (DED)
JOSEPH KAMILI
MKRISTO
Picha hiyo hapo juu ni moja ya mabango yaliyobebwa na waandamanaji Waislam dhidi ya dhulma ndani ya NECTA.

Maandamano haya yaliyoongozwa na Sheikh Ponda Issa Ponda 2012.
Uchunguzi ulifanywa na ukweli ukajulikana.

Wanafunzi wa Kiislamu wakapata haki yao.
 
View attachment 2867888

Mh.....kwa hiyo hoja hapo ni kwamba kwa kuwa viongozi wa necta walikuwa wakristo basi walikuwa wakionea wasio wakristo na walipata nafasi hizo kwa upendeleo hivi kweli maprofessor hao watano eti wawe na agenda ya kuonea waislamu kitaaluma? Ili wapate nini hasa na eti iwe walipata hivyo vyeo kiupendeleo? haya tufanye walikuwa wakionea waislamu je baada ya wao kuondoka umma wa kiislamu umepiga hatua zipi kubwa kielimu? basi maana sasa hawaonewi. Dar es Salaam kulikuwa/kuna na shule za kiislamu kama thaqafa, Alharamain, kinondoni muslim, ubungo je ziliinuka kitaaluma na kuwa tishio? zipo wapi leo? Umma wa kiislamu umeongeza shule/vyuo vipi?
Mzee Said hivi kwa mfano leo ikiwa inabidi upate huduma fulani inaelekea utaona fahari sana ikiwa utahudumiwa na muislamu mwenzio na ikiwa inabidi uhudumiwe na mkristo basi utakuwa mnyonge na utaona ilitakuwa awepo muislamu kwenye hiyo nafasi ila dhulma ya wakristo imepelekea asiwepo muislamu.
Kwa tafsiri nyingine waislamu wa aina yako hamtazami weledi wa mtu mnaangalja kwanza kama ni wa dini yenu na akiwa ni muislamu mnafurahiiii sana
 
Salaries,
Salari,
Jiweke wewe kwenye nafasi ya Waislam itakusaidia kuelewa.

Waislam wamepigania uhuru wa Tanganyika katika hali ya kiwango cha juu kabisa.

Chukua mfano wa Sheikh Hassan bin Ameir, Mufti wa Tanganyika kiongozi wa juu kabisa wa Waislam.

Sheikh Hassan bin Ameir angempiga vita Julius Nyerere, Nyerere asingepata uongozi wa TAA 1953 hata kama Abdul Sykes, Hamza Mwapachu na Ali Mwinyi Tambwe wangemtaka.

(Hapa nasema haya nikiamini unaijua historia ya Julius Nyerere vipi aliingia katika uongozi wa TAA 1953)

Sheikh Hassan bin Ameir akiuza kadi za TANU ndani ya misikiti ya Dar-es-Salaam.

Tafuta majina haya katika historia ile ya zamani ya uhuru wa Tanganyika.

Hayapo yote yalifutwa.
Jiwekeni nyinyi katika nafasi yetu.

Wizara ya Elimu yote imehodhiwa na Waislam na mmetaka kujenga chuo kikuu viwili vyote vimehujumiwa.

Jiwekeni katika nafasi ya Waislam ndipo mtaweza kuelewa.

Haya yaliyotokea si mambo ya kawaida au ya bahati mbaya.

Huu ni mpango maalum.
Msome P van Bergen (1981) na Sivalon (1992) utaelewa.

Jiulize kama Waislam wangejenga vyuo hivyo na EAMWS ikaendelea kujenga shule hali ya Waislam leo ingekuwaje?

1704942622792.png

1704942668669.png

Mh.....kwa hiyo hoja hapo ni kwamba kwa kuwa viongozi wa necta walikuwa wakristo basi walikuwa wakionea wasio wakristo na walipata nafasi hizo kwa upendeleo hivi kweli maprofessor hao watano eti wawe na agenda ya kuonea waislamu kitaaluma? Ili wapate nini hasa na eti iwe walipata hivyo vyeo kiupendeleo? haya tufanye walikuwa wakionea waislamu je baada ya wao kuondoka umma wa kiislamu umepiga hatua zipi kubwa kielimu? basi maana sasa hawaonewi. Dar es Salaam kulikuwa/kuna na shule za kiislamu kama thaqafa, Alharamain, kinondoni muslim, ubungo je ziliinuka kitaaluma na kuwa tishio? zipo wapi leo? Umma wa kiislamu umeongeza shule/vyuo vipi?
Mzee Said hivi kwa mfano leo ikiwa inabidi upate huduma fulani inaelekea utaona fahari sana ikiwa utahudumiwa na muislamu mwenzio na ikiwa inabidi uhudumiwe na mkristo basi utakuwa mnyonge na utaona ilitakuwa awepo muislamu kwenye hiyo nafasi ila dhulma ya wakristo imepelekea asiwepo muislamu.
Kwa tafsiri nyingine waislamu wa aina yako hamtazami weledi wa mtu mnaangalja kwanza kama ni wa dini yenu na akiwa ni muislamu mnafurahiiii sana
[/QUOTE
Salari,
Jiweke wewe kwenye nafasi ya Waislam itakusaidia kuelewa.

Waislam wamepigania uhuru wa Tanganyika katika hali ya kiwango cha juu kabisa.

Chukua mfano wa Sheikh Hassan bin Ameir, Mufti wa Tanganyika kiongozi wa juu kabisa wa Waislam.

Sheikh Hassan bin Ameir angempiga vita Julius Nyerere, Nyerere asingepata uongozi wa TAA 1953 hata kama Abdul Sykes, Hamza Mwapachu na Ali Mwinyi Tambwe wangemtaka.

Sheikh Hassan bin Ameir akiuza kadi za TANU ndani ya misikiti ya Dar-es-Salaam.

Tafuta majina haya katika historia ile ya zamani ya uhuru wa Tanganyika.

Hayapo yote yalifutwa.
Jiwekeni nyinyi katika nafasi yetu.

Wizara ya Elimu yote imehodhiwa na Waislam na mmetaka kujenga chuo kikuu viwili vyote vimehujumiwa.

Jiwekeni katika nafasi ya Waislam ndipo mtaweza kuelewa.

Haya yaliyotokea si mambo ya kawaida au ya bahati mbaya.

Huu ni mpango maalum.
Msome P van Bergen (1981) na Sivalon (1992) utaelewa.

Jiulize kama Waislam wangejenga vyuo hivyo na EAMWS ikaendelea kujenga shule hali ya Waislam leo ingekuwaje?
 
Ni ngumu sana kwa Waisiramu kuendesha chuo kwa sababu wanalazimisha kila mwanafunzi aishi kwa muktaza wa dini yao hivyo asilimia kubwa ya wadahiliwa wanakua wa dini ya kiislamu.

Na kuangalia kwa upana wake ni ngumu kupata wadahiliwa wa kiislamu wakajaza chuo.

Kama lengo ni ku run taasisi ya elimu inayo toa huduma kwa jamii. Waache kulazimisha kila mwanafunzi kufuata maadili ya dini yao. Hivyo wataweza kudahili wanafunzi wa kikristo na wanafunzi wa kiislamu.

Japokua mimi sifuatilii kua na utitiri wa taasisi nyingi zenye mlengo wa kidini zaidi kuliko kutoa huduma.
Kwani wewe dini gani, ma maadili ya dini yako ni yepi yanayotofautiana na ya Kiislam?
 
hiki kizee ni kifia dini aisee majina ya wanafunzi yaliyokuwa yanauzwa ni ya waislamu tu?? hata mimi ya ndugu yangu iliuzwa tena tulikuja kugundua kwamba aliyekuwa anatumia alikuwa anasoma ilboru secondary wewe mzee acha kuwa fala wa kidini
"Hatudai wala hatutaki upendeleo kwa Waislamu na wala hatutaki kuona mtu yeyote anaonewa au kuporwa haki yake, awe Mwislamu au mtu wa dini nyingine."
 
Salaries,
Mzee unatakiwa uwe Raisi wa hii nchi ili uwakomboe Waislamu.
Maana naona kabisa
Raisi
Mwinyi
Kikwete
Mwinyi wa Zanzibar.
Samia,
aliyeko madarakani hadi leo hawajawahi kuwajali Waislamu.
Na Raisi yeyote ajaye hata wajali Waislamu kamwe.

Gombea Uraisi kwa tiketi ya ACT Wazalendo uwakomboe Waislamu

La sivyo wataendelea kukandamizwa sana na Wakristo.

Wahindu
Wabudha
Wamomoni
Wasabato
Warastafariani
Wapagani
Wa Freemasonry
Nk.
Hawana shida ya kuwadhulumu Waislamu.
Ni Romani Kathoric tu ndio wanao waonea Waislamu na kuwanyang'anya haki zao za msingi Hadi hii Leo.

BAKWATA ifutwe ni chombo cha kuwakandamiza Waislamu.

Tatizo kuu ni Papa wa Roma.

Tubakie na chombo kimoja tu Shura ya Maimamu.

Bunge lifutwe linakandamiza Waislamu.
Baraza la mitihani lifutwe linafelisha Waislamu.
Mahakama zifutwe tuunde Mahakama za Kadhi pekee za kutoa haki kwa Waislamu.

Maamuzi yote ya nchi yafanywe Misikitini.
Mwarabu aheshimiwe sana kupita watu wengine.

Muhammadi abaki kuwa mtume pekee wa Allah.

Watu wote wamwabudu Mungu Mmoja tu Allah.
hajawahi kuzaliwa wala kuwa na mtoto. Wala Hana mshirika.

Asiyekuwa Mwislamu haitakubalika kwake. Ni bora achinjwe.

FaizaFoxy, awe makamu wako wa Raisi.
Hapo nchi itaenda Vizuri sana na Waislamu watapata haki zao za msingi.
 
Che...
Inasikitisha.

Mjadala huu umepata wasikilizaji wengi naamini kwa kuwa kuna mambo ya maana yanayojadiliwa hapa, mambo ambayo yamebeba historia kubwa sana ya nchi yetu.

Wewe unataka kuugeuza mjadala huu uwe wa kipuuzi.

Mzee huna Busara kabisa.
Unawaza Uislamu tu.

Samia
Raisi Mwinyi wako Madarakani muda huu
Kwanini huendi kuzungumza nao ili wawakomboe Waislamu.
Uwaeleze na mambo ya Kiislamu na Waarabu.

Kila ukiandika ni Waislamu wanaonewa.

Vipi haki za wa Dini Nyingine

Nadhani Mzee kusoma kwako hakujakusaidia hata kidogo

Unawaza Dini ya Kiislamu na Waislamu tu.
Utawezaje kuwa Kiongozi japo wa Mtaa?

Hivi Ungekuwa Raisi si ungeamuru watu wa Dini nyingne Wachinjwe

Uislamu umetoka wapi ?
Mbona sio asili ya Afrika ?

Babu wa Babu yako alikuwa Mwislamu?
Aliishije bila Uislamu?

Mzee ujitathimi hata kidogo
Una waza Uislamu tu

Historia ya Tanganyika na Zanzibari haiuhusu Uislamu kabisa.

Uislamu uliletwa na Waarabu juzijuzi tu
We unazungumza Historia gani ?
Na unajiita Msomi.

Historia zako ni habari za Waarabu tu.
Huna habari na historia za Wabantu wenzako
Utamaduni wa Waarabu ndio Historia zako.

Mzee unaheshimika sana ila unajidharauzisha
 
Mzee huna Busara kabisa.
Unawaza Uislamu tu.

Samia
Raisi Mwinyi wako Madarakani muda huu
Kwanini huendi kuzungumza nao ili wawakomboe Waislamu

Kila ukiandika ni Waislamu wanaonewa.

Vipi haki za wa Dini Nyingine

Nadhani Mzee kusoma kwako hakujakusaidia hata kidogo

Unawaza Dini tu.

Hivi Ungekuwa Raisi si ungeamuru watu wa Dini nyingne Wachinjwe

Uislamu umetoka wapi ?
Mbona sio asili ya Afrika ?

Babu wa Babu yako alikuwa Mwislamu?
Aliishije bila Uislamu?

Mzee ujitathimi hata kidogo
Una waza Uislamu tu
Che...
Vitabu vyote nilivyoandika pamoja na papers vyote ni kuhusu Uislam na Waislam ila kitabu kimoja tu na vingine nilivyoshirikiana na waandishi wengine.

Nilipogundua kuwa kuna marufuku ya kimya kimya kutafiti chochote kuhusu Uislam na Waislam nchini petu na kuwa hata Chuo Kikuu Cha Dar-es-Salaam Idara ya Historia imejiweka mbali na historia ya Waislam ndipo nilipoamua kuandika historia ya Uislam na Waislam na ndiyo hii ninayosomesha hapa.

Wewe unaniona sina busara lakini nimepokea tuzo mbili kutoka kwa Waislam wa Tanzania kwa kuhifadhi historia ya uhuru wa Tanganyika.

Vilevile nimechaguliwa Mwandishi Bora JF Jukwaa la Historia miaka miwili mfululizo 2021 na 2022.

Babu yangu Sheikh Mohamed Mvamila alikuwa mwalimu akisomesha Qur'an.

1704945663152.png

1704945761503.jpeg

Maxence Melo wa JF na Mwandishi alipofika nyumbani kwake kumkabidhi cheti cha Mwandishi Bora na zawadi​
 
Back
Top Bottom