Coaster2015
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 2,607
- 2,730
Sheremaya, mimba ya nini sasa ?, huoni kama unamuongezea matatizo jamaa ?.Wakati anaendelea na taratibu zake za kwenda mskitini wewe mpe mimba nyingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sheremaya, mimba ya nini sasa ?, huoni kama unamuongezea matatizo jamaa ?.Wakati anaendelea na taratibu zake za kwenda mskitini wewe mpe mimba nyingine
Mie huwa nashangaa sana kuona watu wanataka kuvunja ndoa kwa tofauti ya dini hasa ukitilia maanani mke hana tatizo kwa watoto kufuata dini ya Baba yao.
Sijaelewa bado ndugu
Mkuu hatari ipo wapi hapo? Dini haina uhusiano na mwili huu, ndoa ni maungano ya kimwili tu, endelea kula mashine na lea wanao, jengeni nyumba muishi pamoja. Huyo mwanamke mzuri sana ana akili, ameona huko kwenye dini yako kuna wanafiki wengi.Labda kwa kuanza tu niwasalim wote na nawaomba muwe miongoni mwa mtakaookoa nafsi yangu iliyojaa MAUMIVU YASIYO NA KIFANI
NILIANZA KUISHI NA MKE WANGU HUYU 2008 KABLA YA NDOA NA TUKABAHATIKA KUPATA WATOTO WAWILI NA MWAKA 2018 JANUARY TUKAAMUA KUBARIKI NDOA
NA KILICHOKUWA KINACHELEWESHA NDOA ILIKUWA DINI TOFAUTI MIMI NI MKRISTO YEYE NI MWISLAM ILA MWISHO ALIAMUA KUBADILI DINI MWANZONI MWA MWAKA 2009 NA TUKAWA TUNAHUDHURIA IBADA PAMOJA NA WANETU MPAKA January HII NA TUPO MKOA MMOJA LAKINI WILAYA TOFAUTI
POINT YA USHAURI HII HAPA NAOHITAJI KWENU WAUNGWANA
LEO USIKU HUU KANIAMBIA ANARUDIA IMANI YAKE KWA KINA NA ANAHUDHURIA IBADA NA MAADILI YOTE YA IMANI YAKE (Islamic) NA HAKUNA WA KUMRUDISHA NYUMA TENA
ILA PIA ANAKIRI KURUDI KWENYE IMANI YAKE HANA MAANA KWAMBA HANIPENDI ANANIPENDA NA ATAENDELEA KUNIHESHIMU KAMA MUME WAKE NA PIA HATAACHANA NA MIMI LABDA MIMI NITAKAPOAMUA KUMUACHA
NA PIA NAENDELEA KUNIAMBIA AMESHAOMBA TOBA KWA MWENYEZI MUNGU AMSAMEHE MADHAMBI YAKE YOTE ALIYOTENDA KWA KIPINDI CHOTE ALICHIMCHANGANA NABII ISSA NA MUNGU
HAKUCHOKA WALA KUISHIA HAPO ALIENDELEA KUNIAMBIA NIMSAMEHE KWA MAAMUZI HAYO NA MAISHA YAENDELEA KAMA KAWAIDA NA PIA ALIFANYA NDOA KUWEZA KUTURIDHISHA MIMI NA NDUGU ZANGU
JAPO ANASEMA JAMBO HILO ANAAMINI HALIWEZI VUNJA UHUSIANO WETU NA HATA AKIBAKI KATIKA IMANI HII ATAENDELEA KUPRETEND AMBAVYO YEYE HATAKI KUPRITEND NA NILIOGOPA KUKUAMBIA MDA ILA LEO NIMEAMUA KUKUAMBIA TU
NA HAYA YOTE YANATOKEA BAADA YA KUMPELEKA KWENYE SHULE KURISIT MTIHANI WAKE WA KIDATO 4 KATIKA SHULE ZA KISLAM
SASA NAOMBA MNISHAURI NIFANYE NINI KWA KUWA NAONA KAMA MOYO UNATOBOKA SIJAPATA USINGIZI TOKA NILIVYOJARIBU KULALA SAA 2 YA LEO
PILI KIIMANI IKOJE TENA HII NDOA BAADA YA MWENZANGU KUAMUA HIVYO
Je kuna umuhimu wa kuendelea na mipango ya maisha ya pamoja mfano tulikuwa tumenunua viwanja vitatu na kimoja nimeandika jina langu viwili majina ya watoto na pia kiwanja kimojawapo tumeshaanza ujenzi na nilipanga kumalizia nyumba yetu mwezi Wa nne je kuna umuhimu wa kufanya hivyo ??
NB SIKUWEZA KUAMINI YALIYOTOKEA KWA KUWA YEYE ALIBADILI NA KUWA MKISTO BILA KUSHAWISHIWA NA MTU YEYOTE NA KWA KWELI TULIPENDANA NA NAWAPENDA SANA YEYE NA WANANGU
Kama unampenda muache aendelee na imani yake. Sio vzr kulazimisha mtu abadili dini. Au unaonaje ukaungana nae ukawa muislamu?Tafadhali tafadhali sanaa nipeni mawazo yenu na uzoefu wenu
Ni Bora amekuambia ukweli.Nakuambia amehudhuria kanisani miaka kumi na kubatizwa kabatizwa sasa nashindwa elewa na nimemwuliza uko serious akaniambia hawazi kurudi nyuma coz amepretendi mda mrefu dini ya kweli in uislam pekee hakuna nyinginee
Nakushaur usichukulie juju juu hili suala fuatilia kwa umakini uislam unasemaje juu ya dini zingine ukiona unakufaa ingia katika dini ya ukweli na haki dini ya manabii kuanzia Baba yetu Adam mpaka nabii isa ambae ni yesu mwisho nabii Muhammad (Alw)Labda kwa kuanza tu niwasalim wote na nawaomba muwe miongoni mwa mtakaookoa nafsi yangu iliyojaa MAUMIVU YASIYO NA KIFANI
NILIANZA KUISHI NA MKE WANGU HUYU 2008 KABLA YA NDOA NA TUKABAHATIKA KUPATA WATOTO WAWILI NA MWAKA 2018 JANUARY TUKAAMUA KUBARIKI NDOA
NA KILICHOKUWA KINACHELEWESHA NDOA ILIKUWA DINI TOFAUTI MIMI NI MKRISTO YEYE NI MWISLAM ILA MWISHO ALIAMUA KUBADILI DINI MWANZONI MWA MWAKA 2009 NA TUKAWA TUNAHUDHURIA IBADA PAMOJA NA WANETU MPAKA January HII NA TUPO MKOA MMOJA LAKINI WILAYA TOFAUTI
POINT YA USHAURI HII HAPA NAOHITAJI KWENU WAUNGWANA
LEO USIKU HUU KANIAMBIA ANARUDIA IMANI YAKE KWA KINA NA ANAHUDHURIA IBADA NA MAADILI YOTE YA IMANI YAKE (Islamic) NA HAKUNA WA KUMRUDISHA NYUMA TENA
ILA PIA ANAKIRI KURUDI KWENYE IMANI YAKE HANA MAANA KWAMBA HANIPENDI ANANIPENDA NA ATAENDELEA KUNIHESHIMU KAMA MUME WAKE NA PIA HATAACHANA NA MIMI LABDA MIMI NITAKAPOAMUA KUMUACHA
NA PIA NAENDELEA KUNIAMBIA AMESHAOMBA TOBA KWA MWENYEZI MUNGU AMSAMEHE MADHAMBI YAKE YOTE ALIYOTENDA KWA KIPINDI CHOTE ALICHIMCHANGANA NABII ISSA NA MUNGU
HAKUCHOKA WALA KUISHIA HAPO ALIENDELEA KUNIAMBIA NIMSAMEHE KWA MAAMUZI HAYO NA MAISHA YAENDELEA KAMA KAWAIDA NA PIA ALIFANYA NDOA KUWEZA KUTURIDHISHA MIMI NA NDUGU ZANGU
JAPO ANASEMA JAMBO HILO ANAAMINI HALIWEZI VUNJA UHUSIANO WETU NA HATA AKIBAKI KATIKA IMANI HII ATAENDELEA KUPRETEND AMBAVYO YEYE HATAKI KUPRITEND NA NILIOGOPA KUKUAMBIA MDA ILA LEO NIMEAMUA KUKUAMBIA TU
NA HAYA YOTE YANATOKEA BAADA YA KUMPELEKA KWENYE SHULE KURISIT MTIHANI WAKE WA KIDATO 4 KATIKA SHULE ZA KISLAM
SASA NAOMBA MNISHAURI NIFANYE NINI KWA KUWA NAONA KAMA MOYO UNATOBOKA SIJAPATA USINGIZI TOKA NILIVYOJARIBU KULALA SAA 2 YA LEO
PILI KIIMANI IKOJE TENA HII NDOA BAADA YA MWENZANGU KUAMUA HIVYO
Je kuna umuhimu wa kuendelea na mipango ya maisha ya pamoja mfano tulikuwa tumenunua viwanja vitatu na kimoja nimeandika jina langu viwili majina ya watoto na pia kiwanja kimojawapo tumeshaanza ujenzi na nilipanga kumalizia nyumba yetu mwezi Wa nne je kuna umuhimu wa kufanya hivyo ??
NB SIKUWEZA KUAMINI YALIYOTOKEA KWA KUWA YEYE ALIBADILI NA KUWA MKISTO BILA KUSHAWISHIWA NA MTU YEYOTE NA KWA KWELI TULIPENDANA NA NAWAPENDA SANA YEYE NA WANANGU
BAK, Inawezekana ukaliona kuwa ni jambo dogo sana, lakini mimi najaribu fikiria jinsi ambavyo wazazi kwa sababu zenu mnawasumbua watoto, yaani wewe unakwena kanisani halafu mke anakwenda msikitini, kumbuka watoto wanatamani kuongozana na mama yao ili kufurahia malezi yao
Kivipi naongeza matatizooSheremaya, mimba ya nini sasa ?, huoni kama unamuongezea matatizo jamaa ?.
Huo mtindo mpya ndo uweje bossCha msingi hapo ni jinsi ya kulea watoto wenu ...na nyie kuendelea kupendana ndani ya mtindo mpya wa maisha...kumbuka dini zooote hizi zililetwa na wageni...jifikirieni nafsi zenu na za watoto wenu...
Nakuambia amehudhuria kanisani miaka kumi na kubatizwa kabatizwa sasa nashindwa elewa na nimemwuliza uko serious akaniambia hawazi kurudi nyuma coz amepretendi mda mrefu dini ya kweli in uislam pekee hakuna nyinginee