Hatma ya ndoa yangu leo usiku imekuwa hatari kwa maisha yangu

Wazazi wangu wakti nataka kuoa waliniambia maneno yafuatayo 1. TAFUTA MWANAMKE WA DINI YAKO KAMWE USISHAWISHIKE AKAKUDANGANYA ATABADILI DINI, BAADAE ATARUDI DINI YAKE KWASABABU YA INFLUENCE AU KUTENGWA NA NDUGU ZAKE NDIO ITAKUWA CHANZO CHA MGOGORO BAADAE. NA NIKAPEWA MIFANO HALISI.
 
Mwanamke ni kiumbe hatari sana kaumbiwa mwanaume mungu kasema tuishi nao kwa akili unahitaji utulivu usikulupuke kufanya maamuzi
Kama hakuna ugonvi tuliza kichwa hata kwa miezi mitatu utapata jibu zuri usiwaathiri watoto fikiria zaidi juu yao Fanta kama halipo kwa mud
Kama kuna ugonvi unahitaji majibu ya haraka lakini baadaye yatakusumbua ingawa ni lazima kufanya hivyo pole mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkewe hana msimamo tatizo siyo hizo dini zao.
Msimamo upi? Aendelee kuabudu kwenye dini ambayo hana imani nayo? Na kasema alikubali kubadili dini Ili aolewe (aridhishe mume na ndugu zake)

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]
Kuna mtu alisema watu wanaoana bomani dini tofauti wanaishi vizuri tu!! Hiyo inawezekana makubaliano tu na kupendana kwenu! Ila mkwe wa jamaa hana msimamo anageuka geuka! Tangu mwanzo asingebali dini maana hakulazimishwa na mtu na wameishi miaka 8sijuii.
 
Muache arudi kwenye dini anayoiamini, aliolewa na wewe "for just a convenience" . Watu wanabadili dini na kufia kwenye dini mpya.

Kuwa makini nae kuanzia sasa!
 
Hii Imekaa sawa kabisa, tena bila shaka yoyote.
 
For the Cristian brother that wanted the advise, the above should end the conversation religiously.
 
Hapo umempeleka tu shule kurudia mtihani amrbadilika, hivi siku akipata kazi itakuaje? Atakuambia you are not my class

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alikubali kubadili dini kwa lengo la kuwaridhisha wewe na nduguzo( tafsiri yake ni kwamba aliongopa)

Ogopa mtu muongo hata katika masuala ya imani
 
Alikubali kubadili dini kwa lengo la kuwaridhisha wewe na nduguzo( tafsiri yake ni kwamba aliongopa)

Ogopa mtu muongo hata katika masuala ya imani
Halafu nasikia eti amerudi kwenye dini ya kweli
 
Hapo ndoa imeshavunjika mnaishi kama wazazi mnaojamiiana...kama bado mnapendana ni vema mkaendeleza hayo mahusiano hizo dini zisiwe chanzo cha kutengana ..cha msingi kama unataka watoto wako wafuate dini yako wawahi mapema kuwabatiza na kuwapa mafundisho yatakayobase katika dini yako

Au kama vipi kama wewe ni RC na mnataka kuishi katika kumpendeza Mungu kafungeni mseto..kila mmoja abaki na imani yake huku mkiendelea kulisongeza gurudumu la maisha pasipo kila mmoja kumkwaza mwenzie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu nasikia eti amerudi kwenye dini ya kweli
Alipoigiza kubadili dini hakulijua hilo? au ndio ile wanayosema alikuwa after something? (money, umri, wealth, gari, nyumba, cheo, mtanange, handsome.....)
 
Mkuu acha uwoga fanya maisha .Yuko katika kipindi cha mpito we endeleza maisha atarudi mbele ya safari
 
Waafrica tumekua brain washed na hz dini ili tuweze kutawaliwa nakunyonywa vzr na wakoloni ukiendekeza dini sana katika maisha haya hutaweza kuishi kabsa kila ktu utaona hakko sawa yan dini hz hz ndo chanzo cha umaskin Africa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaa na mkeo brother. Kwani mkeo kuwa wa dini nyingine inakuathiri nini wewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alikubali kuolewa na wewe kwa sababu ya target zake tu huu ndo ukweli watu hawakwambii ndo maana hakuona tabu kupretend maisha yote hayo ndo maana ameweka mambo yake mezani kama ukiiamua kumuacha ye hana tatizo.. Unapenda kuendelea naye?? kama hupendi hivyo mlivyovitafuta virudi vilipotoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…