Hatma ya ndoa yangu leo usiku imekuwa hatari kwa maisha yangu

Sasa kama aliweza kukuigizia kwenye imani, una uhakika gani kuwa hakuigizii kuwa anakupenda?!

Pengine anakutengenezea mazingira ili kuna kitu au mambo ya kamilike apite hivi........

Jihadhari sana na mwanamke mwenye hila.....huwa maamuzi yao yanapoteza direction ya maisha na kuvuruga mipangilio......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakuambia amehudhuria kanisani miaka kumi na kubatizwa kabatizwa sasa nashindwa elewa na nimemwuliza uko serious akaniambia hawazi kurudi nyuma coz amepretendi mda mrefu dini ya kweli in uislam pekee hakuna nyinginee
Basi atakuwa amekutana na ustadhi Jaribu amempiga piston za maana mtoto kakolea kaona kama vipi arudi kundi alipotoka ili aendelee kupata utamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeandika kwa utukufu wa hali ya juu mtumishi wa bwana......

Naomba uniongoze sala ya upako mara moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oa mwingine
 
Mara nyingi nimekuwa nikiwaambia watu kuwa; Muislam wa kweli yaani tangu utotoni huwa habadili dini. Wengi huni attack sana na kuniona ka nawachukia waislam. Hapana. Ile dini ikiisha kukuingia huwa kama luba. Hatoki ila hukatika kipande kikabaki ndani na kingali hai.
Ushauri;
Mpakate vizuri, mpe ngonjera tosha, mwombe ruksa kuoa mke mwingine. Akikukubalia, mpe ruksa kuolewa ili akutoke akuachie watoto ulee wewe na mke mpya. Kwa mke mpya hakikisha humzalishi zaidi ya watoto 2.
 
Pole sana mkuu,shule imembadilisha mkeo na inaelekea kuangamiza familia yako na watoto wakibaki wakiteseka.Kwanza mkeo hana msimamo,hapo alipo akiambiwa na mwanaume yeyote achana na mumeo kwa kigezo cha dini,mkuu lazima uumie.Nakushauri,elimu yake haina tija kwako ili kunusuru ndoa yako na uwe na amani huko uendako;muachishe shule na garama nyingi wekeza kwa watoto huku ukiangalia upepo unaendaje.Ukiona amejirudi,unaweza kubuni shughuli ya kufanya.Anzisha biashara zako yeye asimamie tu n.k
 

kwani mkikaa kila mtu na dini yake nini kina haribika???huu ukoloni wa kikristo na uarabu usikufanye upoteze dira ya watoto mkuu,hakuna mwanamke atakulelea hivyo viumbe kama mama yao,usicheze kabisa na familia yako,halafu imani ya mtu ni kama majira tu utaamini huku mwaka huu mara mwaka mwingine unaamini kwingine pia ni kama ilivyoanza Roman catholik mara ikaja Anglican,moravian na wengine wengi,la msingi hapo ni kuangalia malezi ya wanao achana na hizo imani mfu kwani ww ni padri???tunza familia yako mkuu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½πŸ‘πŸ½

 
Huwa kinachonishangaza zaidi ninapoona mtu analeta dini katika masuala mazito.

Unaishi na mtu bila ndoa (hapo dini inasemaje?)
Umepata watoto nje ya ndoa
(Hapo dini zote zinasemaje?)

Amekubali umuoe wa dini tofauti ingawa najua wanawake huwa wakiamua kupenda hakuna kinachowashinda (baadae anakuja kujuta)

Sasa hapo naona hata miradi yenu iwe washiriki kwenye biashara tu na sio wana ndoa

Sent from my SM using Tapatalk
 
pole sana,unachotakiwa kukijua mambo ya dini yana changamoto cha msingi mpende mkeo, kama anaenda mwache aende na wewe furahia imani yako tena msaidie ndani ya hiyo imani yake,kwani upendo hubadilisha chochote chini ya jua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah mkuu umenichekesha lakini katikati ya mistari yako naona mna points za maana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndoa tayari kabatizwa na wanangu wameshabatizwa tatizo sijajua analenga mini amepanga nini
 
Kwel
Kweli kabisa hata Mimi mipango yote ya maendeleo nimestopisha nina milioni 20 hapa ambazo tulipanga tuzifanyie maendeleo lakini sasa sifikiri tena hivyo.NAFIKIRI NIIFANYIE NINI COZ IPO TU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…