Papuchi ni yangu nitaiuza na kuionyesha ninavyotaka na hamna wa kunihukumu hapa duniani. Ni Mungu tu ndio wakunihukumu na nyinyi mngojee hukumu zenu. Acheni kuhukumu sio kazi yenu.
Kujisajili sio shida hiyo ni haki yake, kama wewe unavyosajiliwa NECTA kufanya mitihani na mbona unafeli NECTA walikuadhibu
kusajiliwa sehemu yoyote ni haki ya kila mtu anayehitaji hiyo huduma na je kwenye usajili kuna sehemu unaambiwa usionyeshe ziwa?
Hiyo ni sawa unapoenda dukani lazima upewe stakabadhi ya kitu ulichonunua na hauulizwi unaenda kukifanyia nini.
Acheni wivu wa kijinga huo mwili ni wake na ana haki ya kufanya anavyotaka.
GOD IS ONLY FAIR JUDGE NOT YOU.
Mkuu kabla ya kuendelea na huu mjadala unatakiwa kujua mtu akiamua kuingia na kujisajili na chama fulani ujue amekubaliana na sheria za chama husika!
Hivyo basi kwakuwa shilole alijisajili Basata basi alikubali kufata sheria husika za Basata na ndio maana Shilole alipo onywa aliahidi kubadilika hivyo ni wazi kama kashindwa kutimiza aliyo ahidi na kufata sheria alizo zikubali ana stahili kupewa adhabu!
Kujisajili sio shida hiyo ni haki yake, kama wewe unavyosajiliwa NECTA kufanya mitihani na mbona unafeli NECTA walikuadhibu, kusajiliwa sehemu yoyote ni haki ya kila mtu anayehitaji hiyo huduma na je kwenye usajili kuna sehemu unaambiwa usionyeshe ziwa? Hiyo ni sawa unapoenda dukani lazima upewe stakabadhi ya kitu ulichonunua na hauulizwi unaenda kukifanyia nini.
Acheni wivu wa kijinga huo mwili ni wake na ana haki ya kufanya anavyotaka.
GOD IS ONLY FAIR JUDGE NOT YOU.
Lile neno la "Tumia fursa ukiipata" naona linakufaa wewe
Kila la kheri na papuchi dada
Huo sasa uchawi umejuaje hahaa ila kuangalia haikatazwi ndo maana wanaandika +18 mbaya kutuma
Watu mmezidi kushabikia ujinga, hata kama kuna sheria na alishaamua kuzifuata nyie mnaangaika na nini, kitu kingine mnasema ana dhalilisha Taifa ninachouliza ni wangapi wameridhalilisha Taifa na kuzorotesha uchumi wa nchi. Mmeona maziwa tu, kuna madawa ya kulevya, kuna rushwa n.k hivyo ndio dhalilisha Taifa.
Kwangu mimi sioni kama kuna kosa la ajabu alilofanya Shilole kuna mashindano ya ma miss watu wamekaa sana utupu kwa mavazi yao ya kuogelea hilo Basata halijaona na je umiss unaendana na maadili ya Taifa letu. Huko ni kumuonea tu Shilole na mimi nazidi kusisitiza ni wivu wa baadhi ya watu.
Watanzania tujaribu kutilia mkazo kwenye mambo muhimu sio upuuzi amba hauathili hata Taifa letu.
SiimaK
Celebrities wa kibongo akili fupi...
Ninyi mkipanga kwenda kuunyesha matiti yaliyorojeka jukwaani , Kina Zari Hassan wana plan namna ya kupiga hela bila kujidhalilisha.
Acheeni ubundi! p'mmbaaavu
Teh Teh Mkuu unaniacha hoi jinsi unavyo jenga hoja...kwa hiyo ulitaka miongozo na sheria za Basata ziandikwe ukionesha ziwa ni kosa ndiyo liwe kosa?
Kuna kipengele kinasema msanii au mwanamziki kufanya matendo yanayo mdharirisha au kudharirisha utu wake akiwa jukwaani au sehemu anayo timiza wajibu wake kama msanii litakuwa ni kosa ambalo linaweza pelekea kufungiwa kufanya kazi husika au kupewa onyo...!
Na wewe uache kufuatilia mambo ya watu, fikiria kutoa umasikini kwenye familia yako.
Hahaaaa kweli kabisa kutafta hela si Mpaka ujizalilishe ndo mana Zari anajivutia mkwanja mrefu bila tatizo na akiendelea kulinda heshima yake.
teh teh teh....bado umebaki na Mawazo ya kijuha tuu
Nashukuru Mungu kuwa huyo sio mchagga maana angeshaitwa kwenye vikao rasmi na kushuhulikiwa kimaadili.
Mpuuzi ni wewe unayeingilia maisha ya watu, mind for ur own business acha utoto, mwili wake wewe unakuumia nini.
Kwa hiyo na shoo ya Shilole kulikuwa kuna watu chini ya miaka 18, na unauhakika wanaotizama ngona Tanzania ni chini ya miaka 18. Hao watoto wanaofanya ngono chini ya umri walimuona Shilole.
Mimi nafikiri utafute kitu cha kufanya ili uache upuuzi wa kufuatilia vitu ambavyo havitakujenga kimaisha.