Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabla ya kuhukumiwa, watutumie video ya tukio ili tujilidhishe kama nyonyo zilitoka zenyewe , au alikuwa anaigiza utamaduni wa south africa, au mehemuko. Inawezeka sana zile sindilia za kukaba matiti yaonekane saa sita ziliiachia ghafla baada ya kuruka juu huku akiserebuka, unajua wakina dada wanayakaba sana maziwa kiasi kwamba akijisahau likakimbia kwenye ling inakuwa shidahh.
Yaani sikujua kama haunazo, sasa hizo sehemu zilizopwelepeta mnazioneaje wivu, watanzania wote maadili yanatoka kwa wazazi kwa hiyo Shilole ndio maadili aliyoyapata wewe kinakuuma nini, hata kama ni Mama wa watoto kibao nsi umuache, na pili watu wengi wamelalamika maadili ya watanzania yataharibika kwa ajili ya Shilole, na basata inalinda maadili ya Taifa, je hivyo vigodoro haviharibu maadili ya Taifa tena vinachezwa mbele ya watoto wadogo.
Hebu soma taarifa ya basata inazungumzia maadili ya Taifa, haizungumzii Shilole kalepweta na ana watoto kibao, sasa mkuu nimeshakuona una wivu, hujasoma post inasemaje unakimbilia kujibu acha uvivu wa kusoma.
Huo ni wivu wako
Sitaki kuamini kama kweli unatetea kile alichokifanya Shilole unless na wewe ndio walewale
Ningekuelewa sana kama ungesema BaSaTa wasimkomalie tu Shilole waangalie na watu wengine kama hao Vigodoro!
lakini kusema eti kwa sababu kuna wengine Kama Vigodoro wapo kwa hiyo kumchukulia hatua Shilole ni kumuonea huo ni ukosefu wa fikra
Wasanii wengi wa kibongo hasa wa kike wanapenda sana kujionyesha,kuishi maisha ya kwenye ya kukopi yale tunayonyeshwa kwenye TV za nje yaani full kuigiza haya yote ndio yanayopelekea vitu kama hivyo
Kucheza uchi kwenye stage kisa Madona mbona alifanyaga,bila kuelewa ya kuwa utamaduni wao na wetu ni vitu viwili tofauti
Halafu nimeshindwa kukuelewa hivi ni kweli umefikiria ukaona ya kuwa kucheza uchi kwa Shilole kunatokana na maadili aliofundishwa na wazazi kule Igunga (hapa umenipa waswas na uwezo wako wa kufikiria)
Tabia zote za uchangu zinazofanywa na Wasanii wa kibongo hapa mjini zinatokana na malezi ya wazazi???(huu ndio uwezo wako wa kufikiri)
Wala unga wote hapa mjini sijui kina Ray C,TID,Chid Benz na wengine wote wamejifunza toka kwa wazazi wao???😳😳 kweli ww ni great thinker nimeamini!!!
Kumtambulisha msanii anapoomba viza ni sehemu ya matakwa ya viza isiwe ndio sababu ya kumfuatilia mtu hata akiwa nje ya nchi simply walimuandikia Introduction Letter. Kwani alienda kwenye show kuwakilisha nchi au kuwakilisha kipato chake binafsi? Hao BASATA hawaoni uchafu wa wasanii kwenye magazeti ya Shigongo? Au wana-react kwa sababu ya kuombwa na watu? Kama ni kosa katika nchi husika, aadhibiwe na mamlaka husika za Ubelgiji. Mbona dada zetu kibao wanaenda kudhadhalishwa na kujidhadhalisha uarabuni hawafanywi kitu?
Hata wewe maisha unayoishi sasa hivi umecopy kutoka nchi za nje especially kwa wazungu, mababu zako walikuwa hawavai nguo walijifunika dushe mbele na nyuma na kipande cha magome ya miti au ngozi na bibi zako walikuwa wanavaa kibwaya na maziwa hayakufunikwa yanaonekana, kama kwa king Muswati,
Mshukuru mzungu ailyewaletea nguo leo ndio mnajiona mnajua maadili na kuwatukana wazungu, hata hiyo simu unayotumia umecopy kutoka kwa mzungu.
Au hukusoma history yako mababu na mabibi zako waliishi vipe karne zilizopita.
Ndugu yangu mpaka siku unaingia kaburini wewe ni mtumwa wa kuiga mambo ya wazungu hilo halikwepeki, tushukuru wazungu kutuletea nguo ama sivyo tungebaki kuvaa uchi nafikiri leo hii usingemshangaa Shilole, kila siku nasema wazungu walifanya vibaya kutuletea nguo nafikiri tungekuwa tumezoeana kuonana uchi hata tusinge tamani ovyo madada zetu na ukimwi usingekuwepo.
Kumtambulisha msanii anapoomba viza ni sehemu ya matakwa ya viza isiwe ndio sababu ya kumfuatilia mtu hata akiwa nje ya nchi simply walimuandikia Introduction Letter. Kwani alienda kwenye show kuwakilisha nchi au kuwakilisha kipato chake binafsi? Hao BASATA hawaoni uchafu wa wasanii kwenye magazeti ya Shigongo? Au wana-react kwa sababu ya kuombwa na watu? Kama ni kosa katika nchi husika, aadhibiwe na mamlaka husika za Ubelgiji. Mbona dada zetu kibao wanaenda kudhadhalishwa na kujidhadhalisha uarabuni hawafanywi kitu?
MBULAMATALI achana nae... Huoni kuwa unabishana na lishilole laivu??,huon full kujitetea tu peke yake hakuna hata m2 mmoko anasapoti, m2 mwenye malezi +akil timamu hawezi support upuuzi ka huo hata ka ni hela! The bitch at work period!!Soma taarifa kwanza kabla ya kujump ktk kuongea
Unaambiwa Shilole ni msanii aliesajiliwa BASATA , kigodoro nao wamesajiliwa ????
Usitetee upuuzi kwanza umri wa Shilole ni mkubwa huwezi mfananisha na Vanesa but atleast wenzake wanaonyesha ustaarabu fulani.
Yeye sifa na kujifanya bado kibinti wakati mama wa watoto kibao
sehemu zenyewe zimepwelepweta badala kuzisitiri analeta usista du.
hao kina Biyonce wenyewe anaowaiga hawayafanyi hayo.