Hatma ya Shilole mikononi mwa BASATA

Hatma ya Shilole mikononi mwa BASATA

Nimeona Instagram anasema baby wake hajawahi kufanyiwa HAPPY BIRTHDAY sasa kwa mara ya kwanza atamfanyia Belgium.
 
Kabla ya kuhukumiwa, watutumie video ya tukio ili tujilidhishe kama nyonyo zilitoka zenyewe , au alikuwa anaigiza utamaduni wa south africa, au mehemuko. Inawezeka sana zile sindilia za kukaba matiti yaonekane saa sita ziliiachia ghafla baada ya kuruka juu huku akiserebuka, unajua wakina dada wanayakaba sana maziwa kiasi kwamba akijisahau likakimbia kwenye ling inakuwa shidahh.

Hivi yake ni manyonyo au makandambili
 
Yaani sikujua kama haunazo, sasa hizo sehemu zilizopwelepeta mnazioneaje wivu, watanzania wote maadili yanatoka kwa wazazi kwa hiyo Shilole ndio maadili aliyoyapata wewe kinakuuma nini, hata kama ni Mama wa watoto kibao nsi umuache, na pili watu wengi wamelalamika maadili ya watanzania yataharibika kwa ajili ya Shilole, na basata inalinda maadili ya Taifa, je hivyo vigodoro haviharibu maadili ya Taifa tena vinachezwa mbele ya watoto wadogo.
Hebu soma taarifa ya basata inazungumzia maadili ya Taifa, haizungumzii Shilole kalepweta na ana watoto kibao, sasa mkuu nimeshakuona una wivu, hujasoma post inasemaje unakimbilia kujibu acha uvivu wa kusoma.
Huo ni wivu wako

Sitaki kuamini kama kweli unatetea kile alichokifanya Shilole unless na wewe ndio walewale
Ningekuelewa sana kama ungesema BaSaTa wasimkomalie tu Shilole waangalie na watu wengine kama hao Vigodoro!
lakini kusema eti kwa sababu kuna wengine Kama Vigodoro wapo kwa hiyo kumchukulia hatua Shilole ni kumuonea huo ni ukosefu wa fikra

Wasanii wengi wa kibongo hasa wa kike wanapenda sana kujionyesha,kuishi maisha ya kwenye ya kukopi yale tunayonyeshwa kwenye TV za nje yaani full kuigiza haya yote ndio yanayopelekea vitu kama hivyo
Kucheza uchi kwenye stage kisa Madona mbona alifanyaga,bila kuelewa ya kuwa utamaduni wao na wetu ni vitu viwili tofauti

Halafu nimeshindwa kukuelewa hivi ni kweli umefikiria ukaona ya kuwa kucheza uchi kwa Shilole kunatokana na maadili aliofundishwa na wazazi kule Igunga (hapa umenipa waswas na uwezo wako wa kufikiria)

Tabia zote za uchangu zinazofanywa na Wasanii wa kibongo hapa mjini zinatokana na malezi ya wazazi???(huu ndio uwezo wako wa kufikiri)

Wala unga wote hapa mjini sijui kina Ray C,TID,Chid Benz na wengine wote wamejifunza toka kwa wazazi wao???😳😳 kweli ww ni great thinker nimeamini!!!
 
Hata wewe maisha unayoishi sasa hivi umecopy kutoka nchi za nje especially kwa wazungu, mababu zako walikuwa hawavai nguo walijifunika dushe mbele na nyuma na kipande cha magome ya miti au ngozi na bibi zako walikuwa wanavaa kibwaya na maziwa hayakufunikwa yanaonekana, kama kwa king Muswati,
Mshukuru mzungu ailyewaletea nguo leo ndio mnajiona mnajua maadili na kuwatukana wazungu, hata hiyo simu unayotumia umecopy kutoka kwa mzungu.
Au hukusoma history yako mababu na mabibi zako waliishi vipe karne zilizopita.

Ndugu yangu mpaka siku unaingia kaburini wewe ni mtumwa wa kuiga mambo ya wazungu hilo halikwepeki, tushukuru wazungu kutuletea nguo ama sivyo tungebaki kuvaa uchi nafikiri leo hii usingemshangaa Shilole, kila siku nasema wazungu walifanya vibaya kutuletea nguo nafikiri tungekuwa tumezoeana kuonana uchi hata tusinge tamani ovyo madada zetu na ukimwi usingekuwepo.
 
Kumtambulisha msanii anapoomba viza ni sehemu ya matakwa ya viza isiwe ndio sababu ya kumfuatilia mtu hata akiwa nje ya nchi simply walimuandikia Introduction Letter. Kwani alienda kwenye show kuwakilisha nchi au kuwakilisha kipato chake binafsi? Hao BASATA hawaoni uchafu wa wasanii kwenye magazeti ya Shigongo? Au wana-react kwa sababu ya kuombwa na watu? Kama ni kosa katika nchi husika, aadhibiwe na mamlaka husika za Ubelgiji. Mbona dada zetu kibao wanaenda kudhadhalishwa na kujidhadhalisha uarabuni hawafanywi kitu?

Yaani wewe unaakili sana tena sana, hao wanaopinga ni wajinga either hawana akili au ni wivu wao unawasumbua, Tanzania imeshaharibika kimaadili siku nyingi, na Shilole ni mfanyabiashara anaangalia nini afanye ajiongezee pato maisha yaendelee, wengi wanaopinga ni watu wavijiweni tu.
 
Hata wewe maisha unayoishi sasa hivi umecopy kutoka nchi za nje especially kwa wazungu, mababu zako walikuwa hawavai nguo walijifunika dushe mbele na nyuma na kipande cha magome ya miti au ngozi na bibi zako walikuwa wanavaa kibwaya na maziwa hayakufunikwa yanaonekana, kama kwa king Muswati,
Mshukuru mzungu ailyewaletea nguo leo ndio mnajiona mnajua maadili na kuwatukana wazungu, hata hiyo simu unayotumia umecopy kutoka kwa mzungu.
Au hukusoma history yako mababu na mabibi zako waliishi vipe karne zilizopita.

Ndugu yangu mpaka siku unaingia kaburini wewe ni mtumwa wa kuiga mambo ya wazungu hilo halikwepeki, tushukuru wazungu kutuletea nguo ama sivyo tungebaki kuvaa uchi nafikiri leo hii usingemshangaa Shilole, kila siku nasema wazungu walifanya vibaya kutuletea nguo nafikiri tungekuwa tumezoeana kuonana uchi hata tusinge tamani ovyo madada zetu na ukimwi usingekuwepo.

Yaani baada ya kusoma hiki ulichoandika nimeshangaa sana yaani your 100% sure kuwa hapo ulipo na vyote ulivyokuwa navyo it's because ya wazungu.
hadi nimetamani kukuona nikuone ulivyo
Yaani you have no idea ya kuwa the champion wa hii dunia kwa kuiga/kukopi ni mzungu.

Yaani hapo ulipo hebu jitanganze kuwa una uwezo wa kutibu ukimwi na media zikupe PA ya kutosha uone kama hao unaowaita wazungu hawajakufuata na kukuchukua uende kwao na ikiwa ni kweli una uwezo huo mwezi mrefu haohao wazungu watajitangaza kuwa ni wao ndio waliovumbua hiyo dawa kumbe ni ww
Hao ndio wazungu mkuu ... Wameshakujenga kifikra kuwa ww huwez kitu ila wao tu.
 
Kumtambulisha msanii anapoomba viza ni sehemu ya matakwa ya viza isiwe ndio sababu ya kumfuatilia mtu hata akiwa nje ya nchi simply walimuandikia Introduction Letter. Kwani alienda kwenye show kuwakilisha nchi au kuwakilisha kipato chake binafsi? Hao BASATA hawaoni uchafu wa wasanii kwenye magazeti ya Shigongo? Au wana-react kwa sababu ya kuombwa na watu? Kama ni kosa katika nchi husika, aadhibiwe na mamlaka husika za Ubelgiji. Mbona dada zetu kibao wanaenda kudhadhalishwa na kujidhadhalisha uarabuni hawafanywi kitu?

Unaweza kujiona.kama umeandika kitu cha maana ila kimsingi umeandika utumbo...😕
 
Kitu chochote kizuri kiwe cha wazungu au waarabu kinachoendana na maadili yetu si vibaya kukiiga na tabia zozote za kishenzi zinatakiwa kukemewa iwe ndani au nje ya nchi
.Na kwa kuwa mmomonyoko wa maadili umeshika kasi sio sababu ya kusema tukae kimya kutokemea.
 
Soma taarifa kwanza kabla ya kujump ktk kuongea
Unaambiwa Shilole ni msanii aliesajiliwa BASATA , kigodoro nao wamesajiliwa ????
Usitetee upuuzi kwanza umri wa Shilole ni mkubwa huwezi mfananisha na Vanesa but atleast wenzake wanaonyesha ustaarabu fulani.
Yeye sifa na kujifanya bado kibinti wakati mama wa watoto kibao
sehemu zenyewe zimepwelepweta badala kuzisitiri analeta usista du.

hao kina Biyonce wenyewe anaowaiga hawayafanyi hayo.
MBULAMATALI achana nae... Huoni kuwa unabishana na lishilole laivu??,huon full kujitetea tu peke yake hakuna hata m2 mmoko anasapoti, m2 mwenye malezi +akil timamu hawezi support upuuzi ka huo hata ka ni hela! The bitch at work period!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom