Hatoi matumizi ya mtoto, kaomba nimkopeshe pesa

Pia nilimblock na katumia namba ngeni .Na kama kosa ni kukopesha,ningemkopesha kwa maandishi na angerudisha kwa riba.
 
Samahani mkuu, Siwezi mruhusu mtu kunichezea. Au kuamua kuzaa mtoto ndo kuchezewa? Pili, sikua na mawasiliano nae toka azingue kwenye matumizi so leo kaamua tu kupiga simu kwa shida zake..Muwe mnaelewa kabla hamjaanza kujibu watu kwa hasira..
Sina hata hasira,nimekujibu kutokana na hizo replies kwa member wengine!inaonyesha huyo baby dady wako ni mtu ambaye anaenda na kurudi kwenye maisha yako.Japokua unasema huwasiliani nae mara kwa mara.Sasa imekuaje hujamblokia mbali au utasema kakupigia na namba mpya?inaonesha bado anaishi kwenye hisia na maisha yako ndo maana unamchekelea tu..cha kushangaza wasema eti ungekuepo na hiyo laki tano ungempa lol sijui unajielewa au ukute hii ni chai umetuandikia tujiburudishe.
 
Pia nilimblock na katumia namba ngeni .Na kama kosa ni kukopesha,ningemkopesha kwa maandishi na angerudisha kwa riba.
Eti angerudisha kwa riba?yaani ameshindwa kulea damu yake alafu huo mkopo ndo angekurudishia kirahisi hivyo?Wake up wacha kuwa shamba darasa..Lea mtoto wako bana achana na drama za ma babe dadyz.
 
No my dear, nilimblock na katumia new number..Pia ningemkopesha kwa maandishi na riba so as I make profit out of it.Nilishajiwekea msimamo juu ya wanaume wasiyojielewa
 
Eti angerudisha kwa riba?yaani ameshindwa kulea damu yake alafu huo mkopo ndo angekurudishia kirahisi hivyo?Wake up wacha kuwa shamba darasa..Lea mtoto wako bana achana na drama za ma babe dadyz.
Mkuu unanichukulia zezeta fulani au?ANGEIRUDISHA TU ..
 
Kwa sisi wanaume "mzigo " ni sehemu kubwa sana ya kuonesha unampenda mwanamke yaani kila muda unakuwa na hamu nae.tofauti na nyie wanawake unakuta anapenda kitu kingine tofauti na "kuliwa
Sawa mkuu ila mtu anaweza kukuomba mzigo na pia asiwe anakupenda vilevile
 
Tena jitahidi kuwepo na uthibitisho kwamba alikuwa hatoi matumizi ya mtoto ili badae asije akakugeuka,huyo mwanaume atakuwa kabila gani
 
🤣🤣 hizi ndio ngonjera zinawafanya wadada wa watu watoe hizo laki 5 na wala wasidai...
 
Dah ata mie wanawake nimewainulia mikono...aisee yaani hamjioneagi huruma kabisa....
 
Best hapana bwanaa,kuna wanaume wanajua kutesa wanawake,.hata kama haibadilishi ukweli yeye alishindwaje kumuhudumia mtoto ingali kipato anacho??leo kakwama anamfuata huyohuyo ambaye usiku na mchana ana pambana kwa ajili yake binafsi na damu yao...akakope tuu bank asee...
 
Eti jamanii, bora umesema mwanaume anaejielewa hawezi kufanya hizo mistakes kila siku unakojolea ndani afu' mimba ikiingia unasema sitaki,ebo!!!
 
Eti jamanii, bora umesema mwanaume anaejielewa hawezi kufanya hizo mistakes kila siku unakojolea ndani afu' mimba ikiingia unasema sitaki,ebo!!!
Ni shida sana.
Tena unaweza kuta siku mimba inaingia kijana alifunga safari kutoka Kigamboni hadi Tegeta kufuata mbususu.
Ukisikia hawa vijana wasiojielewa wanasema eti binti kapata mimba bila kumshirikisha unaweza kudhani kuwa binti alienda kuchukua sperms za jamaa kwenye friji akajimwagia kwenye mbususu yake.
Kumbe jitu lilipiga bao kwa raha zote kabisa tena kavu kavu. Eti binti kapata mimba bila kukushirikisha.
 
Hivi unavyokopa si kwamba hauna ? Au mim ndio sielewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…