Hatoi mbususu ila pesa anaomba

Write your reply... Ningekuwa Mimi huyo ningekuwa nishapiga chini kitambo Sana, siwezi kubembeleza mwanamke anipe mbususu wakati wanawake wapo wengi Sana tena wa kumwaga.

Anza mchakato wa kutafuta chimbo lingine huyo achana naye.
 
🤝🤝🤝😀
 
mwanamke anayekunyima mbususu huyo kuna sehemu anatoa tena bure! ww utakuwa humvutii na amekuweka kwenye chupa usifurukute! miaka 8 unabembeleza kidude mwe
Wewe katika tasnia pendwa, una bachelor's degree yenye ufaulu mzuri wa kuyafahamu mambo!

Ukiwa mtaalamu wa namna hiyo, dunia hii utaishi kwa raha sana na utakufa kwa magonjwa mengine na siyo yasababishwayo na stress!

Vijana wengi wamepotea kwa kuhisi kupendwa, wakachukua majukumu yasiyowahusu kwenye hamna!

Wanapokuja kshituka kuvuta shuka, tayari kumekucha.
 
Kwa nini uendeleze mahusiano yaliyokwisha kufa kwa kuyagharamia namna hiyo?

Kama mpenzi wako wa kike alishakugeuza rafiki, basi mtendee kama rafiki na si mpenzi.

Na kwenye urafiki mnatakiwa mtendeane sawa.

Na ukiona urafiki ni umeegemea upande mmoja kwa ajili ya manufaa, urafiki wa namna hiyo haufai ukwepe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…