Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kwahiyo akijirudi utaendeleza ulipo ishia?Miongoni mwa dhambi kubwa ni kupoteza muda wa mtu
Kila la heri mkuuNdio haswa
Mbegu labda mtoto😀😀 Mbona pesa inatafutwa na tunasahau
[/Q
Kuwa na subira utavuna tu
🤝🤝🤝😀Write your reply... Ningekuwa Mimi huyo ningekuwa nishapiga chini kitambo Sana, siwezi kubembeleza mwanamke anipe mbususu wakati wanawake wapo wengi Sana tena wa kumwaga.
Anza mchakato wa kutafuta chimbo lingine huyo achana naye.
Wewe katika tasnia pendwa, una bachelor's degree yenye ufaulu mzuri wa kuyafahamu mambo!mwanamke anayekunyima mbususu huyo kuna sehemu anatoa tena bure! ww utakuwa humvutii na amekuweka kwenye chupa usifurukute! miaka 8 unabembeleza kidude mwe
Kwa nini uendeleze mahusiano yaliyokwisha kufa kwa kuyagharamia namna hiyo?Kazi iende na dawa hata pesa iende na huduma unayopokea.
Huyu ni mwanadada mmoja tulianza mahusiano late 2015 hakua na mbambamba, she gave everything and everytime alikua na uwezo wa kusafiri kunifuata nilipo tunapokumbukana that was so sweet kiukweli.
Sasa mambo yalianza kubadilika mapema 2019 mbususu hatoi, Kwa sababu zisizo za msingi yaani mtu anaamua tu kubana miguu na tulikua kwenye hatua nzuri tu
Ila kwenye suala la kuomba pesa anadai kama wale jamaa wa branch au tala[emoji1787]
Nikakomaa mwaka mzima ukapita bila bila no sex no Nini [emoji33][emoji33] basi ikabidi taratibu nianze kujiengua pili nianze kusitisha zile huduma zote hasa pesa mpaka Sasa sijapata mbususu yake huyu parasite toka 2019 na tunawasiliana kama kawaida ila si kama zamani.
Saizi najiona kama ndo napambania kombe sana kuliko yeye[emoji3] huku yeye akiwa Hana habari [emoji29] meli inaelekea kuzama maana.
Sitadaiwa Kwa kupoteza mda wake I really have to move on
Huyu ni katika wanawake nilimpenda sana nae alinipenda zaidi ila bila mbususu hayo mahusiano ni batili nawasilisha.