Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Upo sahihi kabisaMkeo unatakiwa uishi naye kirafiki zaidi.Hata ukidokoa nyama anajua unamfanyia mizaha tu kumbe upo siriazi umeitamani.
Upo sahihi kabisaMkeo unatakiwa uishi naye kirafiki zaidi.Hata ukidokoa nyama anajua unamfanyia mizaha tu kumbe upo siriazi umeitamani.
🤣🤣🤣🤣🤣
Mungu anakuona we jamaa! Yaani kabisa unatufundisha wenzio tabia mbaya!!01.Ingia jikoni,angalia kushoto na kulia Kama Kuna mtu anakuja
02.Angalia mkao wa mwiko / kijiko umekaaje ili mda wakuondoka uache vile vile usigeuze, usifanye kosa kizembe![]()
03. Fungua hot pot pole pole ,usiache mfuniko upige kelele au uanguke(utashtukiwa)
04.Hesabu vipande vya nyama hakikisha vipo kuanzia vitano na kuendelea maana kama vipo chini ya vitano ni rahisi kugundua vipande vilivyopungua.
Sasa ni muda wa kuchukua mnofu anza kuutafuna..lakini Kama vipande viko chini ya vitano basi chukua kimoja kimoja na kung'ata robo afu kirudishe chukua kingine fanya hivyo hivyo kwa minofu yote(unang'ata kidogo unaacha)..![]()
05.wakati unakula ,simamisha masikio yako vzr kusikia Kama Kuna mtu anakuja(atakufuma),Sasa fungua roho nyama ishuke,usiruhusu mchuzi ukudondokee kwenye nguo au kudondoka chini,na Kama mchuzi utakudondokea wahi haraka fua nguo..na ondoa ushahidi wowote jikoni
06.Baada ya kula nawa mikono kwa sabuni na uinuse mara 6 Kama unahisi harufu Bado ipo nawa tena na tena..
07.Weka viganja kwa kuziba mdomo afu pumua kusikia Kama harufu ya nyama inatoka kinywaniUsiwe na wasi wasi kuhusu Hilo, chukua tangawizi au au limao tafuna kuondoa harufu,![]()
08.sasa toka jikoni Kama mtakatifu,maana uko salama
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kesho ntafundisha jinsi ya kumuiba mke wa mtu.![]()
![]()
Usichukulie kila kitu siriazi ukiwa JF.Kuna watu wamezaliwa kuleta furaha duniani.Be easy!Mungu anakuona we jamaa! Yaani kabisa unatufundisha wenzio tabia mbaya!!
Huwezi amini, kuna watu watafuata ushauri wako huu!
Moderators mpo wapi?
Ni kweli kabisa mkuu lakini kuna utani mwingine unaua!! By the way, Mungu anachukia mizaha!Usichukulie kila kitu siriazi ukiwa JF.Kuna watu wamezaliwa kuleta furaha duniani.Be easy!
Hapa lazima udakwe walahi! Unakula firigisi ya mzee!!??Tulia bwana mdogo ndo namalizia phd yangu ya udokozi jikoni kuna kipengele umekisahau na ni muhimu sanaaa nacho kinasema
USIDOKOE NYAMA MAARUFU
Ni marufuku kudokoa firigisi, maini sijui paja sijui shingo hizo lazma watajua unatakiwa uchukue nyama zilizokatwa kutoka kwenye minofu.
Sasa,Kwani wewe utaiba kweli minofu?Ni kweli kabisa mkuu lakini kuna utani mwingine unaua!! By the way, Mungu anachukia mizaha!
Hii kitu usiichukulie poa! Ni mbaya sana mkuu!
Naweza nikajaribu! Nahisi ka'spirit' ka kuiba kama kameniingia vile!!Sasa,Kwani wewe utaiba kweli minofu?
Utaibaje nyumbani kwako?Au bado unaishi na ndugu tu?Naweza nikajaribu! Nahisi ka'spirit' ka kuiba kama kameniingia vile!!
Nipo kwangu! Lakini hata kwako unaweza kunywa maziwa ya mtoto! Huo nao ni wizi!Utaibaje nyumbani kwako?Au bado unaishi na ndugu tu?
Nyumbani kwako huibi.Unamuita mkeo na kumwambia akupakulie kilichopo ule bila wasiwasi.Ukinyata na kuiba au uanze kutoka nje ya ndoa hayo ni masuala mengine.Nipo kwangu! Lakini hata kwako unaweza kunywa maziwa ya mtoto! Huo nao ni wizi!
Ama, unaweza usiibe nyama badala yake ukatoka nje ya ndoa bado ni kukosa uaminifu kule kule!