Hatua kwa hatua, Jinsi ya kuiba nyama kwenye hot pot

Kama ulikuwa ni mwizi wa nyama jikoni huwezi acha iba hapo unapojipatia rizki yako.

Wizi ni mbaya
 
Kwanini ufikirie hivi au ndio moyo wa mtu humjaza yatokayo moyoni mwake
 
Nakazia: Inahusu nyama sawa ila sio hiyo ya jikoni, ni ile ya Chumbani.
 
Mungu anakuona we jamaa! Yaani kabisa unatufundisha wenzio tabia mbaya!!

Huwezi amini, kuna watu watafuata ushauri wako huu!

Moderators mpo wapi?
 
Mungu anakuona we jamaa! Yaani kabisa unatufundisha wenzio tabia mbaya!!

Huwezi amini, kuna watu watafuata ushauri wako huu!

Moderators mpo wapi?
Usichukulie kila kitu siriazi ukiwa JF.Kuna watu wamezaliwa kuleta furaha duniani.Be easy!
 
Tulia bwana mdogo ndo namalizia phd yangu ya udokozi jikoni kuna kipengele umekisahau na ni muhimu sanaaa nacho kinasema

USIDOKOE NYAMA MAARUFU
Ni marufuku kudokoa firigisi, maini sijui paja sijui shingo hizo lazma watajua unatakiwa uchukue nyama zilizokatwa kutoka kwenye minofu.
 
Hapa lazima udakwe walahi! Unakula firigisi ya mzee!!??
 
Sasa mbona kama haya ni mateso kama uko kambini, aisee 🤣
 
Utaibaje nyumbani kwako?Au bado unaishi na ndugu tu?
Nipo kwangu! Lakini hata kwako unaweza kunywa maziwa ya mtoto! Huo nao ni wizi!

Ama, unaweza usiibe nyama badala yake ukatoka nje ya ndoa bado ni kukosa uaminifu kule kule!
 
Nipo kwangu! Lakini hata kwako unaweza kunywa maziwa ya mtoto! Huo nao ni wizi!

Ama, unaweza usiibe nyama badala yake ukatoka nje ya ndoa bado ni kukosa uaminifu kule kule!
Nyumbani kwako huibi.Unamuita mkeo na kumwambia akupakulie kilichopo ule bila wasiwasi.Ukinyata na kuiba au uanze kutoka nje ya ndoa hayo ni masuala mengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…