Hatua kwa hatua, Jinsi ya kuiba nyama kwenye hot pot

Interesting πŸ˜„πŸ˜„πŸ”₯
 
🀣🀣🀣🀣🀣
Sasa hizo nyama sijui nikaziibe wapiπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
Majirani wote wanapika dagaa na maharage, hama huo mtaa utakufa na dipre πŸ˜‚
 
Kuiba nyama sio kazi, kazi ni pale inapokuwa na moto sana halafu ni mapande makubwakubwa
 
Zilikua tamaa za kitoto tu, nishazidokoa sana.

Kuna ile nyama inapikwa nyingi halafu zinatiwa kwenye friji zisiharibike, muuni nilikua nazidokoa na kuzichapa za baridi hivyo hivyo.
 
haya ndio majambazi ya Escrow yalipoanzia wizi🀣🀣
 
Zilikua tamaa za kitoto tu, nishazidokoa sana.

Kuna ile nyama inapikwa nyingi halafu zinatiwa kwenye friji zisiharibike, muuni nilikua nazidokoa na kuzichapa za baridi hivyo hivyo.
Ukichunguza vizuri hiyo roho y wizi bado ipo, udalali au udokozi wa kalamu au madili machafuπŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…