Hatua za kikanuni za Bunge zitakazochukuliwa dhidi ya Luhaga Mpina ziambatane na hatua muafaka za kikatiba za CCM kumng'atua

Wamaanisha ccm munalinda wezi ndio itikadi yenu? Mpina amesimama kwa maslahi ya umma
kama anasimamia maslahi ya sugar companies na anatiwa moyo kuendelea kua mbunifu wa tuhuma za uzushi na uongo dhidi ya waandamizi serikalini, si abanduliwe CCM sasa ili aende kupambania maslahi ya tumbo lakini akiwa na wenzake walio kosa sera, mipango wala uelekeo huko singida 🐒

ama namna gani gentleman, hiyo si kitu nzuri kwa manufaa yake 🐒
 
Naunga hoja
 
Tanzania sukari iliwahi kuuzwa eneo gani kg1 shilingi elfu 10,000/=?
Bashe anapiga hela sana kwenye hizo kampuni za nje kuagiza sukari ni mradi unamuingiza wacha vidhibiti vichambuliwe
 
Hivi hukumbuki alimwandama Mwigulu, Makamba etc etc
You're a congenital liar"; who is paying you guys??
 
Mkuu Tlaatlaah wewe kwani ni lazima utetee kila uhuni wa ccm...mwenzako kaambatanisha vielelzo vya jinsi Bashe alivyolidanganya Bunge....wewe unapiga porojo hapa
siwezi kuvumilia upotoshaji wala uzushi na uongo mwepesi na dhaifu sana wa ndugu yangu sana mbunge wa Jimbo la Kisesa CCM Luhaga Mpina 🐒

anafahamika kwa script ghushi,
si unakumbuka alipochoma nyavu za wavivu wadogo, kuua vifanga maelfu ya tani na kupima ukubwa wa samaki walio rostiwa kwa rula?🤣

gentleman au umesahau 🐒
 
Hoja zako wala hazieleweki
Mjibuni mpina siyo mnakimbilia
Kutaka kumuadhibu na mikwala yenu mingi

Ova
mrangi huwezi elewa hata kidogo wew,

kuandika tu maneno hamsini unapata tabu, utaweza kusoma andiko la maneno elf5 wew?.

hebu shughulika na mengine bana 🐒
 
bora aende u

pande wa pili naye akawe mpiga kelele zisizo na maana kama wenzie wa chadema
ana sikilizwa na kuonekana wa maana kwa vile yupo CCM subiri, abanduliwe CCM kama ataskika tena 🐒
 
Hizo ni pigo za kizamani mnaleta zama hizi, ingekuwa Bora hoja za Mpina zijibiwe kuliko kumletea vitisho.
hakuna mtu anamtisha Mh.Luhaga Mpina, na hawezi tishwa na mtu yeyote popote....

kinachoendelea na kitakachotokea ni masuala ya utaratibu wa kitaasisi ambalo ni jambo la kawaida tu 🐒
 
msirushe maneno ya matusi bila sababu, acha kamati ipitie na ikanushe, nimemsikiliza vizuri Mpina kwenye wasilisho lake, Bunge LA CCM likiingia kichwa kichwa katika hill Jibo wanaliweka rehani.
 
msirushe maneno ya matusi bila sababu, acha kamati ipitie na ikanushe, nimemsikiliza vizuri Mpina kwenye wasilisho lake, Bunge LA CCM likiingia kichwa kichwa katika hill Jibo wanaliweka rehani.
bila mbambamba wala kubabaika na porojo na stori sijui eti za rehani au kichwakichwa chako,

ni muhimu akabanduliwa ili kiburi, jeuri, uzushi na uongo wake akapate fursa na waasaa mzuri sana kuusema akiwa na wabuni uzushi wenzake walioko singida na maeneo mengine nchini....

hakuna haja ya kuweweseka wala kua na kigugumizi kwenye jambo rahisi, la wazi na bayana kama hili kuchukua hatua muafaka
 
Jizi jingine hili hapa mtaona mwisho wenu mbaya sana
 
We jamaa akili zako unazijua mwenyewe
 
Wenye akili wakifanya mkutano, wewe hutahudhuria..!!
katika eneo ninalo ishi huwa si puuzii wala kijivunga kuhudhuria mkutano wowote wa hadhara unaoitishwa na chama chochote cha siasa, au kisicho cha siasa bila mbambamba ya mtu yeyote....

hata mikutano ya injili, maombi na maombezi nikiiuta kuna kusanyiko la watu lazima niskize kwasababu, siwezi kosa kutoka na kakikitu fulani ka kuongeza ufahamu na uelewa wangu kuhusu jambo fulani hata kama ni kidogo...

mikutano ile ambayo sihudhurii wala kupoteza muda, ni ile ya wapiga ramli, sijui wanauza dawa ya kumkamata ugoni mke au mumeo, hiyo hapana aise tafadhali sana
 
Kutetea waovu inahitajika kuwa mjinga kupita hali ya ujinga

Kwamba utetezi wa Mpina ni uwongo kwa mjibu wenu wajinga?

Yaani kampuni yenye mtaji wa m50 ipewe tenda ya kuleta sukari yenye thamani ya b 600?

Maccm mmelogwa na nani?
nadhani mpaka tunapohitimisha hoja katika mjadala huu,
tayari taratibu za kitaasisi zimekamilika kwa kiasi fulani ni suala la muda tu kuhitimisha jambo hili, na kubadili kabisa sura na joto la majadala,

hata hivyo,
maelezo ya hoja yako tumeshayaeleza sana tena kwa kina kwenye nyuzi zingine zilizopita, unaweza kufuatilia ikakusaidia
 
Huu ndio ujinga wa CCM,kutetea uozo.Kama Mpina kawasilisha vielelezo,kwa nini visitumiwe kufuatilia ili mbivu na mbichi zifahamike.Hii ni picha ile ile ya kulinda uozo unaoibuliwa na CAG.CCM ingekuwa na watu sane na wanaopenda Taifa lao, Mpina angekuwa asset.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…