GE2025 Hatua zisipochukuliwa kuna hatari siku ya uchaguzi ikawa siku ya aina yake. Watu hawatajitokeza kupiga Kura hasa maeneo ya mijini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Robert Heriel Mtibeli

Platinum Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
40,153
Reaction score
93,069
Hamjambo!

Sijui hatua gani zichukuliwe lakini kwa ninachokion huku mitaani. Ni wazi siku ya uchaguzi itakuwa siku ya aina yake.

Mwaka 2020 nilibahatika siku ya uchaguzi kutembea kuanzia Arusha mjini, Moshi mjini, mwanga Mjini, Same Mjini mpaka nilipofika Makanya kwenye kituo changu cha kupigia kura nikapiga.

Muamko wa kupiga kura hiyo 2020 ulikuwa mdogo sana. Licha ya JPM kukubalika vilivyo.

Round hii nimefanya chunguzi zangu kwenye vijiwe vya Dsm baadhi ya maeneo ikiwemo Kariakoo, Sinza, Magomeni, Kimara, Ubungo na Mwenge. Vijana na watu wengi ukiwafuatilia hawana muamko wa kupiga Kura. Wanakuambia hataenda kupiga kura. Zaidi wengi wao ni wanaccm.

Unaweza hata wewe kufuatilia na kufanya utafiti kidogo.

Sijui kwa kweli!

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
 
Hatari sana
Sasa unaenda kumpigia kura nani?
Screenshot_20250824-113512~2.png
 
Friends, ladies and gentlemen,
hatua muhimu sana watakazochukua mamilioni ya waTanzania wazalendo ni kutiki kumchagua kwa kura nyingi za kishindo Dr.Samia SULUHU Hassan, mbeba maono ya waTanzania wote, kua rais wa JMT kwa ngwe ta pili bila breki.

kinyume na hapo ni nonsense za useless puppets and political bandits ambao watadhibitiwa in second bila mbambamba yoyote 🐒
 
Hamjambo!

Sijui hatua gani zichukuliwe lakini kwa ninachokion huku mitaani. Ni wazi siku ya uchaguzi itakuwa siku ya aina yake.

Mwaka 2020 nilibahatika siku ya uchaguzi kutembea kuanzia Arusha mjini, Moshi mjini, mwanga Mjini, Same Mjini mpaka nilipofika Makanya kwenye kituo changu cha kupigia kura nikapiga.

Muamko wa kupiga kura hiyo 2020 ulikuwa mdogo sana. Licha ya JPM kukubalika vilivyo.

Round hii nimefanya chunguzi zangu kwenye vijiwe vya Dsm baadhi ya maeneo ikiwemo Kariakoo, Sinza, Magomeni, Kimara, Ubungo na Mwenge. Vijana na watu wengi ukiwafuatilia hawana muamko wa kupiga Kura. Wanakuambia hataenda kupiga kura. Zaidi wengi wao ni wanaccm.

Unaweza hata wewe kufuatilia na kufanya utafiti kidogo.

Sijui kwa kweli!

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
BILA MABADILIKO, SIPIGI KURA.
 
bado mtanange ni mkumbwa mpaka sasa timu October Tunatiki inaongoza...Tuendelee kufatilia hadi hyo tarehe 29 oct.
 
Friends, ladies and gentlemen,
hatua muhimu sana watakazochukua mamilioni ya waTanzania wazalendo ni kutiki kumchagua kwa kura nyingi za kishindo Dr.Samia SULUHU Hassan, mbeba maono ya waTanzania, kua rais wa JMT kwa ngwe ta pili bila breki.

kinyume na hapo ni nonsense za useless puppets and political bandits ambao watadhibitiwa in second bila mbambamba yoyote 🐒

Kama unalipwa fresh Mkuu ili mradi familia yako inaenda chooni kwa kazi yako hapa.
Lakini kama hupati chochote basi upo katika hali ngumu na hatari sana ya kiafya.
 
Haina shida, kama hao wa mjini watakuwa wapumbavu kiasi hicho basi zitahesabiwa hizo za mjini pekee na mama Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, ataanza miaka mitano yake kwa Raha mustarehe!!
 
Hakuna haja ya kupiga kura chini ya mazingira yaliyopo.

Ni kazi bure tu.

Kuna haja gani ya kupiga kura wakati wote tunajua matokeo yatakuwaje?

Na wengi wanasema hivihivi lakini hoja zingine wanazotoa ni tata na ngumu kwa serikali
 
Back
Top Bottom