GE2025 Hatua zisipochukuliwa kuna hatari siku ya uchaguzi ikawa siku ya aina yake. Watu hawatajitokeza kupiga Kura hasa maeneo ya mijini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Friends, ladies and gentlemen,
hatua muhimu sana watakazochukua mamilioni ya waTanzania wazalendo ni kutiki kumchagua kwa kura nyingi za kishindo Dr.Samia SULUHU Hassan, mbeba maono ya waTanzania wote, kua rais wa JMT kwa ngwe ta pili bila breki.

kinyume na hapo ni nonsense za useless puppets and political bandits ambao watadhibitiwa in second bila mbambamba yoyote 🐒
Wapinzani wenyewe wanageuka rangi kama kinyonga, ni kutik tu.
 
Maelfu wanaojitokeza kwenye kampeni watapiga.... Nilitegemea watu hawatakua wanaenda hata kwenye kampeni lakini ndio kwanza wanajaa
Inasikitisha maana wanaoenda kwenye kampeni ukiwaangalia vizuri sura zao hazina nuru, umaskini umewajaa yaani wamechoka ile chokest mbaya hadi huruma na ndo huwaambii kitu kuhusu CCM. Kweli uchawi upo
 
Hamjambo!

Sijui hatua gani zichukuliwe lakini kwa ninachokion huku mitaani. Ni wazi siku ya uchaguzi itakuwa siku ya aina yake.

Mwaka 2020 nilibahatika siku ya uchaguzi kutembea kuanzia Arusha mjini, Moshi mjini, mwanga Mjini, Same Mjini mpaka nilipofika Makanya kwenye kituo changu cha kupigia kura nikapiga.

Muamko wa kupiga kura hiyo 2020 ulikuwa mdogo sana. Licha ya JPM kukubalika vilivyo.

Round hii nimefanya chunguzi zangu kwenye vijiwe vya Dsm baadhi ya maeneo ikiwemo Kariakoo, Sinza, Magomeni, Kimara, Ubungo na Mwenge. Vijana na watu wengi ukiwafuatilia hawana muamko wa kupiga Kura. Wanakuambia hataenda kupiga kura. Zaidi wengi wao ni wanaccm.

Unaweza hata wewe kufuatilia na kufanya utafiti kidogo.

Sijui kwa kweli!

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Hatua zipi?
 
Huo sio utafiti wa kutuambia ,HILO LINAJULINA MAPEMA SANA
 
Wataletwa na Malory....
 
Washindani wenyewe wako wapi Hadi tupigwe na jua ?
20250822_104229.jpg
 
Wewe huoni shida ila kwa kiongozi anayetawala lazima aone shida. Kuongoza watu waliosusa kumchagua.
,b
Uliwahi kuwa hata Monitor wa darasa, kwa uchaguzi?
Kama jibu lako ni ndio basi utaelewa umuhimu wa watu wengi kushiriki kwenye uchaguzi
Watu wengi watashiriki mkuu, weeengi tu. Wala usihofu. Najua, Mama Samia Hana bahati na hii mitandao kwa maana haters wake hawana kazi zinazohitaji majibu kwa watu kama yeye kwahiyo Wana muda mwingi wa kuwa mitandaoni na kumsagia kunguni kwa nguvu zao zote lakini amini nakuambia Kuna watu wengi tu Wala hawana shida na Samia. Ndo maana nakuambia, kama nao watapatwa na upepo wa upumbavu unaopulizwa na hao haters basi za vijijini pekee zitahesabiwa.......na kimsingi hizo ndo nyingi mara ELFU ukilinganisha na za mjini.

Nikijibu swali lako; ndiyo, nimewahi kuwa ukiranja wa darasa kwa miaka minne mfululizo.....darasa la 3 Hadi la 7.
 
Kuna ng’ombe zitatoka tu.. naombea inyeshe mvua ya mawe.
 
Hamjambo!

Sijui hatua gani zichukuliwe lakini kwa ninachokion huku mitaani. Ni wazi siku ya uchaguzi itakuwa siku ya aina yake.

Mwaka 2020 nilibahatika siku ya uchaguzi kutembea kuanzia Arusha mjini, Moshi mjini, mwanga Mjini, Same Mjini mpaka nilipofika Makanya kwenye kituo changu cha kupigia kura nikapiga.

Muamko wa kupiga kura hiyo 2020 ulikuwa mdogo sana. Licha ya JPM kukubalika vilivyo.

Round hii nimefanya chunguzi zangu kwenye vijiwe vya Dsm baadhi ya maeneo ikiwemo Kariakoo, Sinza, Magomeni, Kimara, Ubungo na Mwenge. Vijana na watu wengi ukiwafuatilia hawana muamko wa kupiga Kura. Wanakuambia hataenda kupiga kura. Zaidi wengi wao ni wanaccm.

Unaweza hata wewe kufuatilia na kufanya utafiti kidogo.

Sijui kwa kweli!

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Kila mtu analijua hilo ndio maana mara hii hujaona wale wapiga dili wa kula za maoni ...manake wamejaribu kupika mambo yamegoma....kila aliyetaka kufanya utafiti kapigwa ban...kumbuka kuna wengine wanapewa pesa za nje ila bado tu wamegoma kufanya hiyo kitu...
 
Hamjambo!

Sijui hatua gani zichukuliwe lakini kwa ninachokion huku mitaani. Ni wazi siku ya uchaguzi itakuwa siku ya aina yake.

Mwaka 2020 nilibahatika siku ya uchaguzi kutembea kuanzia Arusha mjini, Moshi mjini, mwanga Mjini, Same Mjini mpaka nilipofika Makanya kwenye kituo changu cha kupigia kura nikapiga.

Muamko wa kupiga kura hiyo 2020 ulikuwa mdogo sana. Licha ya JPM kukubalika vilivyo.

Round hii nimefanya chunguzi zangu kwenye vijiwe vya Dsm baadhi ya maeneo ikiwemo Kariakoo, Sinza, Magomeni, Kimara, Ubungo na Mwenge. Vijana na watu wengi ukiwafuatilia hawana muamko wa kupiga Kura. Wanakuambia hataenda kupiga kura. Zaidi wengi wao ni wanaccm.

Unaweza hata wewe kufuatilia na kufanya utafiti kidogo.

Sijui kwa kweli!

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Inawezekana wewe na mamaako msiende kupiga kura na maamuzi yenu yataheshimika ila sisi wengine kwa wingi wetu Mjini na Vijijini Oktoba 29 TUNATIKI ✓
 
Back
Top Bottom