GE2025 Hatua zisipochukuliwa kuna hatari siku ya uchaguzi ikawa siku ya aina yake. Watu hawatajitokeza kupiga Kura hasa maeneo ya mijini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Sasa unaempigia kura nani ?mshindi ameshajulikana nikupoteza muda tu
 
Kwao
Hamjambo!

Sijui hatua gani zichukuliwe lakini kwa ninachokion huku mitaani. Ni wazi siku ya uchaguzi itakuwa siku ya aina yake.

Mwaka 2020 nilibahatika siku ya uchaguzi kutembea kuanzia Arusha mjini, Moshi mjini, mwanga Mjini, Same Mjini mpaka nilipofika Makanya kwenye kituo changu cha kupigia kura nikapiga.

Muamko wa kupiga kura hiyo 2020 ulikuwa mdogo sana. Licha ya JPM kukubalika vilivyo.

Round hii nimefanya chunguzi zangu kwenye vijiwe vya Dsm baadhi ya maeneo ikiwemo Kariakoo, Sinza, Magomeni, Kimara, Ubungo na Mwenge. Vijana na watu wengi ukiwafuatilia hawana muamko wa kupiga Kura. Wanakuambia hataenda kupiga kura. Zaidi wengi wao ni wanaccm.

Unaweza hata wewe kufuatilia na kufanya utafiti kidogo.

Sijui kwa kweli!

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Sio tatizo maana Mr Slow amesha mwaga mboga kwamba, INEC, NIDA, na Ccm wamesha funga ndoa. Nyie msipo jitokeza wao wana tick size yao.
 
Haina shida, kama hao wa mjini watakuwa wapumbavu kiasi hicho basi zitahesabiwa hizo za mjini pekee na mama Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, ataanza miaka mitano yake kwa Raha mustarehe!!

Wewe huoni shida ila kwa kiongozi anayetawala lazima aone shida. Kuongoza watu waliosusa kumchagua.

Uliwahi kuwa hata Monitor wa darasa, kwa uchaguzi?
Kama jibu lako ni ndio basi utaelewa umuhimu wa watu wengi kushiriki kwenye uchaguzi
 
Maelfu wanaojitokeza kwenye kampeni watapiga.... Nilitegemea watu hawatakua wanaenda hata kwenye kampeni lakini ndio kwanza wanajaa

Kwenye kampeni hujui wanachofuata?

Wewe chukua spika hapo nenda mtaani simama, piga mziki anza kucheza uone kama watu hawatakusanyika kukutazama.

Hiyo ni tofauti na kwenda kupiga kura.
 
Kwao

Sio tatizo maana Mr Slow amesha mwaga mboga kwamba, INEC, NIDA, na Ccm wamesha funga ndoa. Nyie msipo jitokeza wao wana tick size yao.
Tatizo hulioni kwa jicho lako la kiraia.
Ila kwa jicho la kiutawala na kiintelijensia tatizo lipo tena wazi kabisa
 
Kwa mazingira yaliyopo, kupanga mstari kupiga kura ni either una maslahi binafsi, huna kazi za kufanya siku hiyo au umeamua kuipumzisha akili yako ukaamua kutumia masaburi.

It's CCM vs CCM.
 
Hoja za watu wengi ni tata na ni ngumu kwa watawala.
 
downloadfile-7.jpg
 
Hamjambo!

Sijui hatua gani zichukuliwe lakini kwa ninachokion huku mitaani. Ni wazi siku ya uchaguzi itakuwa siku ya aina yake.

Mwaka 2020 nilibahatika siku ya uchaguzi kutembea kuanzia Arusha mjini, Moshi mjini, mwanga Mjini, Same Mjini mpaka nilipofika Makanya kwenye kituo changu cha kupigia kura nikapiga.

Muamko wa kupiga kura hiyo 2020 ulikuwa mdogo sana. Licha ya JPM kukubalika vilivyo.

Round hii nimefanya chunguzi zangu kwenye vijiwe vya Dsm baadhi ya maeneo ikiwemo Kariakoo, Sinza, Magomeni, Kimara, Ubungo na Mwenge. Vijana na watu wengi ukiwafuatilia hawana muamko wa kupiga Kura. Wanakuambia hataenda kupiga kura. Zaidi wengi wao ni wanaccm.

Unaweza hata wewe kufuatilia na kufanya utafiti kidogo.

Sijui kwa kweli!

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam

Lumumba, Dodoma makao makuu kwa kina johnthebaptist huko kumepoa ..!
 
Unaen

UNapitezaje nguvu zako kwenda kupiga kura za kudanganyana
 
Back
Top Bottom