GE2025 Hatua zisipochukuliwa kuna hatari siku ya uchaguzi ikawa siku ya aina yake. Watu hawatajitokeza kupiga Kura hasa maeneo ya mijini

GE2025 Hatua zisipochukuliwa kuna hatari siku ya uchaguzi ikawa siku ya aina yake. Watu hawatajitokeza kupiga Kura hasa maeneo ya mijini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwamba huko vijijini ndio bado kuna wajinga wasiojua kuwa kura ziko NIDA?
Oh, kumbe huko chadema mwenye wazi tofauti na bwana wenu lissu anaitwa mjinga?!!! Sawa, tumewasikia na tutawajibu kwa vitendo
 
Oh, kumbe huko chadema mwenye wazi tofauti na bwana wenu lissu anaitwa mjinga?!!! Sawa, tumewasikia na tutawajibu kwa vitendo
Ni kweli naona mmeanza kutujibu kwa vitenda hadi mmevamia ofisi za JF!
 
Hamna wazee 14m nchi hii. Usichanganye card 13m na wanachama 13m. Ccm ni chama cha wazee idadi ambayo haipo hapa nchini.
Akina dimpoz,makabila,qaila nk ni wazee?.. CCM kuna vijana wengi sana wamejiunga,wameona kuna maslahi
 
Nimegundua kwamba wengi ambao hawatapiga kura oktoba 29 ni wale keypad warriors tu ila namba kubwa iliyopo mtaani itapiga kura bila wasiwasi ndiyo maana mwitikio wa kampeni za CCM wa wananchi ni tofauti na matarajio ya wengi

Oktoba sio mbali mkuu
 
Usipopiga kura nayo ni kura ya kutochagua mabadiliko.
 
Hamjambo!

Sijui hatua gani zichukuliwe lakini kwa ninachokion huku mitaani. Ni wazi siku ya uchaguzi itakuwa siku ya aina yake.

Mwaka 2020 nilibahatika siku ya uchaguzi kutembea kuanzia Arusha mjini, Moshi mjini, mwanga Mjini, Same Mjini mpaka nilipofika Makanya kwenye kituo changu cha kupigia kura nikapiga.

Muamko wa kupiga kura hiyo 2020 ulikuwa mdogo sana. Licha ya JPM kukubalika vilivyo.

Round hii nimefanya chunguzi zangu kwenye vijiwe vya Dsm baadhi ya maeneo ikiwemo Kariakoo, Sinza, Magomeni, Kimara, Ubungo na Mwenge. Vijana na watu wengi ukiwafuatilia hawana muamko wa kupiga Kura. Wanakuambia hataenda kupiga kura. Zaidi wengi wao ni wanaccm.

Unaweza hata wewe kufuatilia na kufanya utafiti kidogo.

Sijui kwa kweli!

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Hiyo ni shida ya wachache. Kwa sisi sisiemu wala haitupi shida. Cha msingi karatasi za kura zijazwe. Kwa hiyo mkigoma, nikienda kituoni nawapigia kama 20 hivi, walionyumbani. Mwisho ni kwamba kura milioni 15+ zitapigwa tu.
 
Hatari sana. Hivi ndio ubaya ubwela
 
Hiyo ni shida ya wachache. Kwa sisi sisiemu wala haitupi shida. Cha msingi karatasi za kura zijazwe. Kwa hiyo mkigoma, nikienda kituoni nawapigia kama 20 hivi, walionyumbani. Mwisho ni kwamba kura milioni 15+ zitapigwa tu.
🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom