GE2025 Hatua zisipochukuliwa kuna hatari siku ya uchaguzi ikawa siku ya aina yake. Watu hawatajitokeza kupiga Kura hasa maeneo ya mijini

GE2025 Hatua zisipochukuliwa kuna hatari siku ya uchaguzi ikawa siku ya aina yake. Watu hawatajitokeza kupiga Kura hasa maeneo ya mijini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hii nchi toka imepata uhuru haijaingia kwenye uchaguzi zaidi ya wizi wa kura.
 
Mie nilijua tu the only njia ya Mama kuitumia kubakia madarakani ni kuhakikisha ana tembea na model ya Magufuli.
Maana kwa njia yoyote ile Mama asingeweza kutoboa kwanza ni sababu ya Uzanzibari pia kuwa Mwanamke.

Niliwahi sema humu hakuna mtanzania yoyote yule hata awe Fala kiasi gani anaweza mchagua mzanzibar amuongoze tena mwanamke.

Kwa hilo nampa hongera Mama Samia ametumia njia bora sana.
 
Sio tu kutopiga Bali kubainisha kwa wasiojua umuhimu wa kutopiga
 
We nae acha kuandika hovyo bila tafakuri,tangu lini CCM wakaacha kupiga kura!?.. CCM wstaenda piga kura na wapo 14m+
Hamna wazee 14m nchi hii. Usichanganye card 13m na wanachama 13m. Ccm ni chama cha wazee idadi ambayo haipo hapa nchini.
 
😂😂😂
Haiwezekani mgombea wa CCM anazunguka peke yake halafu ategemee kwamba watu wanaojitambua kujitokeza kupiga kura.

Mbona jibu liko wazi wala haikuwa na sababu ya kupiga kampeni angeendelea tu.
 
😂😂😂
Haiwezekani mgombea wa CCM anazunguka peke yake halafu ategemee kwamba watu wanaojitambua kujitokeza kupiga kura.

Mbona jibu liko wazi wala haikuwa na sababu ya kupiga kampeni angeendelea tu.

Hatari sana
 
Hata Traore huko west Africa anaongoza. Hivyo kuongoza sio issue, bali kuongoza kwa kura halali za walio wengi ndio tatizo.
Hivi kama unasimamisha kwanini usiwe kama polepole weka press conference waite waandishi wa habari ongea huu upuuzi unaongea sasa
 
Nimegundua kwamba wengi ambao hawatapiga kura oktoba 29 ni wale keypad warriors tu ila namba kubwa iliyopo mtaani itapiga kura bila wasiwasi ndiyo maana mwitikio wa kampeni za CCM wa wananchi ni tofauti na matarajio ya wengi
 
Mbinu za kutumia ili wengi wakapige kura:
1. Supu ziwepo kila kituo cha kura. Ukishapiga kura, unapiga supu.

2. Wapiga kura waandaliwe mabasi mapya (Esther, Abood, New Force, etc) ya kuwapeleka vituoni na kuwarudisha makwao baadae. Malori na mafuso hapana kwa kweli.

3. Kila atakayepiga kura apewe posho dola 200 (TSh 500,000). 500,000 × 37M = bilioni 18.5. Inawezekana hasa ukizingatia zile 86B za harambee!!!

4. Wasanii wote Bongo wasambazwe standby vituoni ili kuwatumbuiza wapiga kura. Wale maarufu zaidi wawekwe sehemu zenye hamasa ndogo sana.

5. Wapiga kura wote wapewe free tickets za kuhudhuria mechi mojawapo muhimu za Simba vs Yanga.

NB: Halafu tena nikikumbuka kuhusu mifumo kusomana kama alivyosema Pole2, naona kabisa hapo juu nimepigaje kweli? Maana ukitiki umetiki, usipotiki umetiki.

cc:
ChoiceVariable
Tlaatlaah
Stuxnet
Pascal Mayalla
Lucas Mwashambwa
Dr wa Manesi
Salary Slip
Retired
Lord Denning
Haina shida. Ila Samia yuko mbele ya muda. Mlim- underrate sana both CHADEMA na Sukuma Gang ya CCM.
 
Hivi kama unasimamisha kwanini usiwe kama polepole weka press conference waite waandishi wa habari ongea huu upuuzi unaongea sasa
Nasimamaisha, kama huamini njoo ukiwa uchi utapata mrejesho.
 
Balozi keshashema tayari tumeshapiga piga kura kupitia vitambulisho vyetu, tunasubiri tu matakeo ya ushindi wa kishindo kwa chama pendwa CCM
 
Muda wa kudanganya watanzania umeisha nina wasi wasi serikali ijayo kukosa uhalali kwasababu itakua haijachaguliwa na watu wa kutosha
Walio mitandaoni wanaopiga kura ni wachache sana kuliko waliopo mtaani ambao wataenda kupiga kura kuwachagua viongozi wao....angalia takwimu ya wanaotumia mitandao na wasiotumia kbsa
 
Back
Top Bottom