Hatuoni mwendelezo wa Maasai wa Ngorongoro kuhama

Hili suala LA wamasaai naona mnapotosha sana. Acheni serikali ifanye kazi yake.....wamasaai wahame ili kupisha eneo LA hifadhi. Tusilete siasa za kikanda kwenye suala pana kama hili.
Mkuu umemuelewa mtoa mada?
 
Zipo kaya zaidi ya laki moja, wakazi zaidi ya 150,000, mifugo zaidi ya milioni moja, lkn tunachoona ni lori moja limebeba ng’ombe 20 na coaster 3 zimebeba wakazi wasiozidi 50, tunajiuliza mifugo yao mingine wameiacha wapi na wakazi wengine wapo njiani wanaelekea Msomera kwa miguu? haiwezekani wakazi wa vijiji zaidi ya 12 wabebwe kwenye coaster tatu tu, msafara mwingine ni lini, zoezi limestishwa au limefeli.

View attachment 2264476View attachment 2264477
Serikali haishindwi kitu na Hawa siyo kabila la kwanza kuhamishwa. Wakati wa Nyerere kwenye 1960s kuna Wachaga kutoka Kilimanjaro walihamishiwa Turiani Morogoro. Kuna wakazi wa Jangwani Dar walihamishiwa Mabwepande wakati wa Mkapa.

Mtabeza hatua ya Serikali kwa hivyo vijisenti mnavyolipwa na NGOs za Kenya lakini pale Ngorongoro HATUACHI inzi yeyote
 
Hili suala LA wamasaai naona mnapotosha sana. Acheni serikali ifanye kazi yake.....wamasaai wahame ili kupisha eneo LA hifadhi. Tusilete siasa za kikanda kwenye suala pana kama hili.
Mkuu acha kupoteza muda wako kuyajibu hayo ma puppet ya wakenya. Oparation itaendelea kama kawa, wamasai wa Tanzania watahamishwa kwa usalama, na wale wamasai manyang'au wa Kenya watarudi kwao kwa nguvu au kwa hiari yao. Baada ya hapo hili la kujaza wanaharakati koko mitandaoni ili wawapiganie kulinda masilahi yao litapita kama yalivyopita mengine. Uzuri serikali imewapuuza wanaharakati koko wote wanaobweka radioni na mitandaoni.
 
Serikali haishindwi kitu na Hawa siyo kabila la kwanza kuhamishwa. Wakati wa Nyerere kwenye 1960s kuna Wachaga kutoka Kilimanjaro walihamishiwa Turiani Morogoro. Kuna wakazi wa Jangwani Dar walihamishiwa Mabwepande wakati wa Mkapa.

Mtabeza hatua ya Serikali kwa hivyo vijisenti mnavyolipwa na NGOs za Kenya lakini pale Ngorongoro HATUACHI inzi yeyote
Umeongea point. Kwanza hata hao wanaharakati koko wanaolipwa na Kenya humu mitandaoni wanafahamu vizuri haya uliyoandika. BTW wengi tumepanga tukiona ulege lege wowote katika zoezi hili, tutaandamana hadi kuhakikisha hakuna mmasai wa Tanzania wala wale manyang'au wataobaki ngorongoro.
 
Zipo kaya zaidi ya laki moja, wakazi zaidi ya 150,000, mifugo zaidi ya milioni moja, lkn tunachoona ni lori moja limebeba ng’ombe 20 na coaster 3 zimebeba wakazi wasiozidi 50, tunajiuliza mifugo yao mingine wameiacha wapi na wakazi wengine wapo njiani wanaelekea Msomera kwa miguu? haiwezekani wakazi wa vijiji zaidi ya 12 wabebwe kwenye coaster tatu tu, msafara mwingine ni lini, zoezi limestishwa au limefeli.

View attachment 2264476View attachment 2264477
Muwe mnaacha Uongo Uongo mitandaoni. View attachment 2264603View attachment 2264602View attachment 2264604
 
Attachments

  • JamiiForums-283846128.jpg
    JamiiForums-283846128.jpg
    56.4 KB · Views: 5
Nani kawambia mimi ni mmasai, wamasai original hawa hapa achana na wale wa maandamano feki.

View attachment 2264569
Huyo aliyeshika bango kwa mtazamo wa picha tu,unaona kama anajua hata kusoma? Acheni kupotosha. Serikali haiwezi kuwaonea wananchi wake hivyo.....instead mungewashauri wahame kwa amani badala ya kuwashikisha mabango
 
H

Huyo alieshika bango sio mmasai ni mkamba kutoka Kenya, kavishwa tu manguo hayo kwa kazi maalumu aliyopewa na mabosi wake wa Kenya. Hata hawa wanaowatetea humu mitandaoni wengi ni wakenya wanaoishi nchini kama wafanyakazi wa mashirika, na makampuni mbali mbali, wengine wafanyabiashara nk ambao wame copy utanzania humu kwenye mitandao ya kijamii kwa ajili ya masilahi yao na ya nchi yao.
 
Zipo kaya zaidi ya laki moja, wakazi zaidi ya 150,000, mifugo zaidi ya milioni moja, lkn tunachoona ni lori moja limebeba ng’ombe 20 na coaster 3 zimebeba wakazi wasiozidi 50, tunajiuliza mifugo yao mingine wameiacha wapi na wakazi wengine wapo njiani wanaelekea Msomera kwa miguu? haiwezekani wakazi wa vijiji zaidi ya 12 wabebwe kwenye coaster tatu tu, msafara mwingine ni lini, zoezi limestishwa au limefeli.

View attachment 2264476View attachment 2264477
Wale hawakuwa Wamasai kabisa nashangaa taasisi kubwa kama BBC kuingizwa kwenye mtego huu. Tangu lini Wamasai karibu wote wakawa wanaongea kiswanglish
 
Serikali haishindwi kitu na Hawa siyo kabila la kwanza kuhamishwa. Wakati wa Nyerere kwenye 1960s kuna Wachaga kutoka Kilimanjaro walihamishiwa Turiani Morogoro. Kuna wakazi wa Jangwani Dar walihamishiwa Mabwepande wakati wa Mkapa.

Mtabeza hatua ya Serikali kwa hivyo vijisenti mnavyolipwa na NGOs za Kenya lakini pale Ngorongoro HATUACHI inzi yeyote
Walipokuwa wanahamishwa ulisikia wamepigwa risasi kama wanavyopigwa wamasai.
 
Lengo LA kuuliza sio kwa kutaka ajue bali ni kuspark mjadala....kwani hajui wanaohusika na hilo zoezi akawaulize moja kwa moja?
JF itakuwa inajadili nini kama kila kitu inabidi twende kuuliza kwa wahusika.
 
Walipokuwa wanahamishwa ulisikia wamepigwa risasi kama wanavyopigwa wamasai.
Wale walihama kwa amani, hakuna askari wala mgambo aliepigwa mshale. Ila hawa manyang'au wao walimuua askari wetu kwa mshale na baadae kuvuka boda kukimbilia kwao Kenya. Ila kuna baadhi wanashikiliwa hao ndio watamtaja muhusika mkuu wa mauaji.
 
Wakati ule ulisikia viongozi wa vijiji au mtaa wamepewa kesi ya mauaji kama wanavyopewa viongozi wa masai.
 
In November, 1995, Nyerere proclaimed: “I cannot let the country go to the dogs.”

I say, I cannot leave my country to dogs alone
Then get seated and settled. Stop blurting!
 
It seems ngorongoro ilikua kichaka cha baadhi ya wakenya kulisha mifugo kwa mgongo wa wamasai
 
Back
Top Bottom