Hatuoni mwendelezo wa Maasai wa Ngorongoro kuhama

Zipo kaya zaidi ya laki moja, wakazi zaidi ya 150,000, mifugo zaidi ya milioni moja, lkn tunachoona ni lori moja limebeba ng’ombe 20 na coaster 3 zimebeba wakazi wasiozidi 50, tunajiuliza mifugo yao mingine wameiacha wapi na wakazi wengine wapo njiani wanaelekea Msomera kwa miguu? haiwezekani wakazi wa vijiji zaidi ya 12 wabebwe kwenye coaster tatu tu, msafara mwingine ni lini, zoezi limestishwa au limefeli.

View attachment 2264476View attachment 2264477
Weee bwana weeee !!!
 
Hawawezi kuhama wote kwa siku moja, zoezi bado ni endelevu ila siku zinavyoenda ndivyo wahamaji wanaongezeka.
 
Mkuu acha kupoteza muda wako kuyajibu hayo ma puppet ya wakenya. Oparation itaendelea kama kawa, wamasai wa Tanzania watahamishwa kwa usalama, na wale wamasai manyang'au wa Kenya watarudi kwao kwa nguvu au kwa hiari yao. Baada ya hapo hili la kujaza wanaharakati koko mitandaoni ili wawapiganie kulinda masilahi yao litapita kama yalivyopita mengine. Uzuri serikali imewapuuza wanaharakati koko wote wanaobweka radioni na mitandaoni.

Lakini pia mtuonyeshe nyumba kama 15,000 zilizojengwa hapo Msomera ku-accommodate kaya zitakazohama.
Acheni miigizo na propaganda za kitoto.
 
Kweli kabisa kila siku tunaonyeshwa mbili tu wanazigeuza geuza zionekane nyingi.

59370D0E-26E1-4EC9-9EE8-551547CDB9EB.jpeg
 
Lakini pia mtuonyeshe nyumba kama 15,000 zilizojengwa hapo Msomera ku-accommodate kaya zitakazohama.
Acheni miigizo na propaganda za kitoto.
Nikiweka au nisipoweka hiyo picha wewe mtumwa wa wakenya itakusaidia nini? Au unafikiri kuandika ujinga huu mbele ya mabwanyenye yako ya kikenya yaliopo humu ndo itakusaidia kupata ugali wako wa usiku?
 
Zipo kaya zaidi ya laki moja, wakazi zaidi ya 150,000, mifugo zaidi ya milioni moja, lkn tunachoona ni lori moja limebeba ng’ombe 20 na coaster 3 zimebeba wakazi wasiozidi 50, tunajiuliza mifugo yao mingine wameiacha wapi na wakazi wengine wapo njiani wanaelekea Msomera kwa miguu? haiwezekani wakazi wa vijiji zaidi ya 12 wabebwe kwenye coaster tatu tu, msafara mwingine ni lini, zoezi limestishwa au limefeli.

View attachment 2264476View attachment 2264477
tunachoona ni lori moja limebeba ng’ombe 20 na coaster 3 zimebeba wakazi wasiozidi 50, tunajiuliza mifugo yao mingine wameiacha wapi na wakazi wengine wapo njiani wanaelekea Msomera kwa miguu?[emoji2827][emoji2827]
 
Kama hakuna haraka ya kuhama kulikuwa na sababu gani ya msingi kupeleka jeshi kuwapiga mabomu.
Loliondo ndio kulitokea hayo wakati wa uwekaji mipaka kati ya eneo la vijiji na pori tengefu (ambapo askari polisi aliuawa) ila huko Ngorongoro hakuna tukio baya lililotokea.

Msichanganye mambo.
 
tunachoona ni lori moja limebeba ng’ombe 20 na coaster 3 zimebeba wakazi wasiozidi 50, tunajiuliza mifugo yao mingine wameiacha wapi na wakazi wengine wapo njiani wanaelekea Msomera kwa miguu?[emoji2827][emoji2827]
Kuhama ni zoezi endelevu sio kazi ya siku moja wengine wataendelea kuhama siku zijazo.
 
Kuliko wakenya kulisha mifugo yao mnataka kuwauzia waarabu wavune wanyama.
Angalia hii video mmasai anavyomuokoa ng'ombe wake toka kwa simba mbele ya watalii,unaweza kugundua hapo hiyo jamii ya wamasai sehemu ilipokuwepo wanapaswa kuhamishwa
 
Attachments

  • thewildlife_tz_1655201359462193.mp4
    5.1 MB
Uhamiaji wameshatia timu na hao wa nchi jirani waliopo mitaani na kwenye NGO's uchwara orodha yao ipo tayari wasubiri cha mtema kuni,tuna viongozi makini sana hongera kwa jeshi la Polisi kupitia kwa kamanda Siro na uhamiaji,JWZ ni vyema nao wakatoe tamko sababu kuna wavamizi kutoka nchi ya jirani na wanaingia ndani ya nchi yetu kwa lengo la kuvuruga amani yetu,
 
Back
Top Bottom