Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Ushaambiwa Mkulu wa Igizo ana wajomba kule walipowauza utumwani mababu zetu. Sasa hivi mpwa anafanya utumwa ndani ya himaya yake na ana miaka zaidi ya minane mbele. Watauzwa tu hao Wamasai watake wasitake!Zipo kaya zaidi ya laki moja, wakazi zaidi ya 150,000, mifugo zaidi ya milioni moja, lkn tunachoona ni lori moja limebeba ng’ombe 20 na coaster 3 zimebeba wakazi wasiozidi 50, tunajiuliza mifugo yao mingine wameiacha wapi na wakazi wengine wapo njiani wanaelekea Msomera kwa miguu? haiwezekani wakazi wa vijiji zaidi ya 12 wabebwe kwenye coaster tatu tu, msafara mwingine ni lini, zoezi limestishwa au limefeli.
View attachment 2264476View attachment 2264477