Hatuoni mwendelezo wa Maasai wa Ngorongoro kuhama

La msingi ni sababu ya kuwahamisha kutoka eneo hilo na siyo jinsi na namna wanavyohamishwa.

Tunawajibika kuilinda Ngorongoro na hifadhi nyingine nchini, kwa nguvu zote, ili hadhi yake irudi kama zamani iweze kuwanufaisha watanzania wote
 
Angalia hii video mmasai anavyomuokoa ng'ombe wake toka kwa simba mbele ya watalii,unaweza kugundua hapo hiyo jamii ya wamasai sehemu ilipokuwepo wanapaswa kuhamishwa
Waondoke tu, waache wanyama waishi kwa uhuru
 
Kama mlijua itawachukua muda mrefu kuwahamisha badala ya kuwapelekea jeshi muda huo mngeitumia kuwaelimisha.
We have a problem kwenye Upangaji wa Vipaumbele Vyetu,
P
 
Hili suala LA wamasaai naona mnapotosha sana. Acheni serikali ifanye kazi yake.....wamasaai wahame ili kupisha eneo LA hifadhi. Tusilete siasa za kikanda kwenye suala pana kama hili.
Mdau mmoja kaandika....,,

“Kwa akili ndogo tu. Unawahamisha wanainchi laki moja kuwapeleka katika kijiji ambacho kishakuwa na wakazi wake na kijiji chenyewe hakizidi kilomita 100 ya mraba halafu. Mnajenga nyumba moja mmasai ana wanawake 4+8 na watoto 20+35 sasa hapa jama tuangalie kama huu sio uonevu”?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…