Hatutaki Tabia hizi za wanaJF mibaba!

Kama ni rugby wala usihofu mi nilikuwa scrumhalf wa Mwamba RFC-Nairobi nilipokuwa nasoma huko miaka ya nyuma napenda Allblacks wa New zealand.

Duuhhh
vizuri sana kusikia hivyo..
Mbona hukuvamia ile thread yangu kwenye michezo sasa lol
mie nacheza left wing (back) lakini saa nyingine half back (forward ) lol
 
habari yake kutongozwa bana ngoja na mimi nijiunge labda nitatongozwa safari hii[/QUOTE]

Habari yake kutongozwa poa sababu nyingine
ya kunywa Savanah ha ha ha hii thread ya leo kali kweli
 

Rose, unatisha-tisha, lakini kumbuka ndege mzuri, hushikwa na tundu Bovu.........!
 
Baba Enock haya mambo yapo wapo wanaopata wachumba kanisani
Hilo swali lingine inawezekana wewe hujawahi?

Wanatongozana nje ya kanisa FL1 na siyo kanisani! Sasa mtu umeshika misale ya waumini au tenzi za rohoni utatongoza vipi?

Kwa PM sijawahi! Hivi inawezekana ukamtogoza mtu ambaye hujawahi kumuona? Nauliza tu!!!

Au ndiyo unaanza kwa kujitambulisha:

"...Hi FL1, Mimi naitwa BE, nina urefu wa mita moja, nina nyumba kumi mikocheni, na magari mia moja, naishi Barbados.. Kila wikiendi huwa naenda mapumziko mafupi Newyork na Gulf Stream yangu.. hujambo? Naomba tukutane New Africa Hotel siku ya Ijumaa au Mikadi kule kigamboni, nimevutiwa sana na avatar yako mpaka nakosa usingizi usiku... Kodi hammer hapo CMC kwa ajili ya kutumia wikiendi, bill nita-settle, au ukipenda nitakutumia VISA card details kwa ajili ya shopping ndogo ndogo... Mwaaaaah See Ya - I love you honey..."

Halafu unabonyeza "Submit this message" button

Kha!
 
lol hivi unajua navyokumiss lkn?:smile-big:
 

kweli kuna wanawake vichwa haswaaaaaaaaaa
 
usijali,yy kanipata na mwengine nae kanipata na ww pia unakaribiswa sana

Hebu nipe pasiwedi yako....yaani kuna wengine wanakusumbua????
Leta niwawekee thredi....hakuna cha TF, BE wala Eng. hapa.
 
Simple solution. Mnazifaham zile traffic light parties? Ukivaa kijani you are available, orange you are not really sure and red means dont aproch! Kwaio kwenye hizo kongamano muwekd dress code hizo. Pulizii msisahau kunialika mkongwe mie wa JF! Pulizi!
 

yangu inarangi zote..
hope hutachanganyikiwa lol
 
wala usijali swty wangu hawanisumbui kabisaaaaaaa,na wala huna sababu ya kuwaanzishia sread,sasa swty nisipotongozwa utajuaje umechagua kifaa?si unajua mti wenye matunda ndo unarushwa mawe?
Hebu nipe pasiwedi yako....yaani kuna wengine wanakusumbua????
Leta niwawekee thredi....hakuna cha TF, BE wala Eng. hapa.
 

"The First Eleven"
 


samahani kiongozi wangu,
hapo kwenye red,
naona kama ndo unamaanisha vile,?kikazi zaidi au?
 
Duuhhh
vizuri sana kusikia hivyo..
Mbona hukuvamia ile thread yangu kwenye michezo sasa lol
mie nacheza left wing (back) lakini saa nyingine half back (forward ) lol
Sasa huko kwenye ladies rugby lazima utakuwa Newzealand, Australia au visiwa vile vinavokaribia kama Fiji,Tonga etc.
 
wala usijali swty wangu hawanisumbui kabisaaaaaaa,na wala huna sababu ya kuwaanzishia sread,sasa swty nisipotongozwa utajuaje umechagua kifaa?si unajua mti wenye matunda ndo unarushwa mawe?

Hivyo vi-pm wanavyokutumia kama vya BE basi nifowadie....ili viniletee stimu....
 

L.O.L πŸ˜›lane:πŸ˜›lane:πŸ˜›lane:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…