Sasa huko kwenye ladies rugby lazima utakuwa Newzealand, Australia au visiwa vile vinavokaribia kama Fiji,Tonga etc.
kabisaaaaaa dear alafu kuna wngine mikia eeeh?
Hheheheheheh . . . my dia, wengine ni KWATO kabisa
Sasa huko kwenye ladies rugby lazima utakuwa Newzealand, Australia au visiwa vile vinavokaribia kama Fiji,Tonga etc.
"The First Eleven"
Anatongoza kiaina sio......
lol hivi unajua navyokumiss lkn?:smile-big:
Nyingi mno
Wanatongozana nje ya kanisa FL1 na siyo kanisani! Sasa mtu umeshika misale ya waumini au tenzi za rohoni utatongoza vipi?
Kwa PM sijawahi! Hivi inawezekana ukamtogoza mtu ambaye hujawahi kumuona? Nauliza tu!!!
Au ndiyo unaanza kwa kujitambulisha:
"...Hi FL1, Mimi naitwa BE, nina urefu wa mita moja, nina nyumba kumi mikocheni, na magari mia moja, naishi Barbados.. Kila wikiendi huwa naenda mapumziko mafupi Newyork na Gulf Stream yangu.. hujambo? Naomba tukutane New Africa Hotel siku ya Ijumaa au Mikadi kule kigamboni, nimevutiwa sana na avatar yako mpaka nakosa usingizi usiku... Kodi hammer hapo CMC kwa ajili ya kutumia wikiendi, bill nita-settle, au ukipenda nitakutumia VISA card details kwa ajili ya shopping ndogo ndogo... Mwaaaaah See Ya - I love you honey..."
Halafu unabonyeza "Submit this message" button
Kha!
Hivyo vi-pm wanavyokutumia kama vya BE basi nifowadie....ili viniletee stimu....
Nyingi mno
haya anza ku forward kwangu nikuhifadie hahahah lol
Sitongozi tena hapo kwako nimefika Cheusi kanitelekeza mwezi sina habari zake nawe naona TF hachezi mbali na P..duuuhh mkuu
achana na rugby ..
endelea na kutongoza lol
hahahah
ngoja ukose usini lalamikie hahahah lol
nyingi mno
hahahaaaaaaaa sasa hv wanaogopa kubandikwa hapa mbona tutachacha
Umeanza kuzipata nimeforward kama nane hivi
mi kwangu naona inbox imenuna maana hamna hata hodi...lol