St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,956
- 5,149
Jamani kina dada mbona hamtaji wanaowatongoza ili tufanye evaluation ya hii kitu.:horn:
1. Asprinπlane:
2. Kimey
3.Teamo
4. ST.RR kishakili mwenyewe
5.Acid
6. Bacha
7.Uporoto
8.PakaMweusi
9.Bujibuji:A S 39:
10.Mr Prezident
11.. Baba Enock :roll:
12. The Finest -mkwe
nakija :A S thumbs_down:
Si mchezo,hii listi inatisha, Naona hapo golini kasimama Babu(tayari kukagua kitakachojileta au kuletwa)Walinzi namba 2,3, na 4 ni wapwa sijui kama kuna kitakachomfikia babu mlangoni.Mkoba mzee mzima,hakipiti kitu,Kiungo mlinzi namba 6 wala sina haja ya kuweka sifa zake kwani anajulikana,kiungo mshambuliaji kasimama Paka Mweusi,Ila wamaliziaji namba 9,10 na 11 mh...!!!Huyo reserve namba 12 ni bora angesimama namba 9...hahahaah l.o.l