Hatutarajii Julius Mtatiro kufanya uzinduzi wa Guest House huko Shinyanga

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tunduru , Julius Mtatiro amehamishiwa Shinyanga baada ya kipindi kirefu kuhudumu Tunduru.

Tunamshukuru kwa Utumishi wake uliotukuka uliosaidia kupunguza watoto kuingizwa kwenye Jando na unyago.

Ila tunamuomba asirudie kuzindua Vitu kama hivi.

 
Ila kwakweli hizi nafasi za uDC zingefutwaga tu.

Maana maDC hawana kazi zaidi ya kusolve migogoro ambayo inaweza kutatuliwa na Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri zetu tu.

Ni kupoteza gharama na kuitwisha mzigo Serikali wa kuwahudimia tu
 
Wengine wakiwa wapo busy kwa maendeleo ufipa wapo kwa kutafuta vijimatukio visvyo na masikio wala njewe!
 
😂😂😂 dah aliizindua nje tu au alipewa na chumba akazindue kikamilifu?
Umenikumbusha mbali nilivyokuwa nabeba zege kabla sijaenda ulaya. Tukishachimba chamber septic na choo kukamilika kujenga mimi ndo fundi maiko alikuwa ananipa jukumu la kuzindua.

Yani ni mwendo wa mbrrr mbrrr mbrr halafu mzigo hukuwa wa kitoto yani nikishindo maamae with devastating impact.

Mbrrr mbrrrr mbrrr

adriz Mufti kuku The Infinity Chaliifrancisco (mbusii)
 
Haya bhana 😄
 
Wenzake Queen Sendiga na hayati Mgwira moja kwa moja u RC huyu ex mwenyekiti wa CUF uDC miaka dahari.
Sasa hebu angalia alichozindua , hakishawishi hata kupandishwa cheo
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…