Hatutarajii Julius Mtatiro kufanya uzinduzi wa Guest House huko Shinyanga

Hatutarajii Julius Mtatiro kufanya uzinduzi wa Guest House huko Shinyanga

Kwani DED hawezi kutatua Mkuu?
DED hawezi kwan anatumia taaluma kwenye utatuzi wa matatizo jambo linalochelewesha maamuzi kwenye jamii....mfano atataka mlolongo wa mahakamani kwenye mambo ya buu baa hivyo kufanya jamii iwe na vuguvugu jingi kwenye mambo yasiyohitaji joto
 
Wewe Chawa huna Akili muulize Don wa Madini Jf Mrangi akuambie Tunduru inaongoza Kwa Madini ya Vito Tz Spinal,Ruby,Blue Sapphire n.k ukifika Tunduru Kuna masoko makubwa sana ya Madini na Watailand na Wasirilanka wamejaa unaweza fikiri upo Nchi ya ugenini.Kwa ufupi tu Julius kule Kachuma sana na kachezesha sana hili asiondoke lakini wapi!Nikuongezee kitu huyo raia no 1 mishe zake zipo kule.
100% uko right we kama wakule tunaweza tukawa tunafahamiana
 
Nimefanya kazi na Mtatiro bega kwa bega kwa kipindi kadha wa kadha huko Tunduru.....mnyonge mnyongeni haki yake mpeni....Mtatiro ni jembe sana, kwa Tunduru ilivyo na geographical position ikichagizwa na ukubwa wa Wilaya ambapo kuna maeneo ni zaidi ya 110 km kutoka makao makuu ya Wilaya na hali ya mkinzano wa kisiasa ilivyo kati ya CCM na ACT (majungu daily)
Mim naweza kuandika kitabu cha namna Mtatiro alivyofanikiwa kupunguza kero za wakulima kudhulumiwa fedha zao kwenye vyama vya ushirika tatizo ambalo lilitishia AMANI tunduru
Njoo nikupe zawadi kwakua mkweli.
 
Nimeripoti hii kitu kwa Mods, wazingatie sheria kwa mtu kuripoti uongo mkubwa namna hii
 
Mtatiro alikuwa na akili alipokuwa CUF lakini baada ya kutoka huko na kupewa u-DC amekuwa punguani
 
Kwahio angezindua Rais ?!! Au tungealika Marais kutoka nchi mbalimbali za Africa waje kushuhudia ?

Au angesema hii sio hadhi yangu sifungui ? Nadhani wewe ukipata wadhifa au kama una wadhifa bila ombi la miaka mitano kabla huwezi kufanya jambo....; (Anyway atleast wageni zaidi wanapata Malazi)
 
Msiwe mnasema "kazi iliyotukuka" ilo neno nizito sana na linahitaji utafiti ndipo tuseme!! Msikufuru Mola kazi yakutukuka ni ya Mola!!!
 
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tunduru , Julius Mtatiro amehamishiwa Shinyanga baada ya kipindi kirefu kuhudumu Tunduru.

Tunamshukuru kwa Utumishi wake uliotukuka uliosaidia kupunguza watoto kuingizwa kwenye Jando na unyago.

Ila tunamuomba asirudie kuzindua Vitu kama hivi.

View attachment 2929403
Huo ni mwendelezo wa uzinduzi wa Viwanda vidogo aliouanzisha Mwijage
 
Back
Top Bottom