Hatutarajii Julius Mtatiro kufanya uzinduzi wa Guest House huko Shinyanga

Hatutarajii Julius Mtatiro kufanya uzinduzi wa Guest House huko Shinyanga

Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tunduru , Julius Mtatiro amehamishiwa Shinyanga baada ya kipindi kirefu kuhudumu Tunduru .

Tunamshukuru kwa Utumishi wake uliotukuka uliosaidia kupunguza watoto kuingizwa kwenye Jando na unyago .

Ila tunamuomba asirudie kuzindua Vitu kama hivi

View attachment 2929403
Hahahah.. Fundi maiko
 
Kwa nini alaumiwe mzinduzi kwa kosa la mwandishi wa jiwe la uzinduzi? Ina maana mzinduzi akikuta jiwe halijaandikwa vizuri basi asizindue?
Erythrocyte uwe unaleta mada zenye mashiko.
 
Kwa nini alaumiwe mzinduzi kwa kosa la mwandishi wa jiwe la uzinduzi? Ina maana mzinduzi akikuta jiwe halijaandikwa vizuri basi asizindue?
Erythrocyte uwe unaleta mada zenye mashiko.
Heshima inategemeana na Hadhi ya Mzinduaji......Vile ulivyo ndivyo watu wanakuchukulia
 
Wenzake Queen Sendiga na hayati Mgwira moja kwa moja u RC huyu ex mwenyekiti wa CUF uDC miaka dahari.
Mkuu wa wilaya naye anavuta sana, mshahara, posho na malupulupu siyo haba kabisa. Utitiri wa vyeo kama hivi ni mojawapo ya mzigo kwa taifa.
 
Finally Mtatiro kang'oka Tunduru.
Ullimbukeni huu; Yaani haujui hata. Mtu kutoka Tunduru kwenda Shinyanga kama Promotion. Shinyanga ni Wilaya yenye Halmashauri Mbili ambazo ni Shinyanga DC na MC, Viwanda vya Kutosha , na Migodi ya Madini ya Kutosha ya dhahabu na Almas. Sijajua kung’oka kukoje na Promotion ikoje. Shinyanga ipo Karibu na Ziwa Victoria, Karibu na Shinyanga, Karibu na Tabora na Karibu pia na Bariadi Mikoa yote tajiri wa rasilimali. Sidhani kama hapo ambaye hajielewi atakuwa ni Wewe Kampe ny’k
 
Wewe Chawa huna Akili muulize Don wa Madini Jf Mrangi akuambie Tunduru inaongoza Kwa Madini ya Vito Tz Spinal,Ruby,Blue Sapphire n.k ukifika Tunduru Kuna masoko makubwa sana ya Madini na Watailand na Wasirilanka wamejaa unaweza fikiri upo Nchi ya ugenini.Kwa ufupi tu Julius kule Kachuma sana na kachezesha sana hili asiondoke lakini wapi!Nikuongezee kitu huyo raia no 1 mishe zake zipo kule.
 
Chai
 
Ila kwakweli hizi nafasi za uDC zingefutwaga tu.

Maana maDC hawana kazi zaidi ya kusolve migogoro ambayo inaweza kutatuliwa na Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri zetu tu.

Ni kupoteza gharama na kuitwisha mzigo Serikali wa kuwahudimia tu
Huyu ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na usalama wa Wilaya

Wewe unadhan usiku kucha unakoroma bila ya kuhatarishiwa usalama kwa kuwa tu Mlango wako ni wa Grill? hujui kuwa Wewe unafanikiwa kukoroma usiku kucha kwa kuwa Kamati ya Ulinzi na usalama ya eneo lako ipo macho ili wewe ulale
 
Nimefanya kazi na Mtatiro bega kwa bega kwa kipindi kadha wa kadha huko Tunduru.....mnyonge mnyongeni haki yake mpeni....Mtatiro ni jembe sana, kwa Tunduru ilivyo na geographical position ikichagizwa na ukubwa wa Wilaya ambapo kuna maeneo ni zaidi ya 110 km kutoka makao makuu ya Wilaya na hali ya mkinzano wa kisiasa ilivyo kati ya CCM na ACT (majungu daily)
Mim naweza kuandika kitabu cha namna Mtatiro alivyofanikiwa kupunguza kero za wakulima kudhulumiwa fedha zao kwenye vyama vya ushirika tatizo ambalo lilitishia AMANI tunduru
 
Back
Top Bottom