Hahahah.. Fundi maikoAliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tunduru , Julius Mtatiro amehamishiwa Shinyanga baada ya kipindi kirefu kuhudumu Tunduru .
Tunamshukuru kwa Utumishi wake uliotukuka uliosaidia kupunguza watoto kuingizwa kwenye Jando na unyago .
Ila tunamuomba asirudie kuzindua Vitu kama hivi
View attachment 2929403
Full full[emoji23][emoji23][emoji23] dah aliizindua nje tu au alipewa na chumba akazindue kikamilifu?
Imekuuma kaa kwa kutulia chawaWengine wakiwa wapo busy kwa maendeleo ufipa wapo kwa kutafuta vijimatukio visvyo na masikio wala njewe!
😆😆😆Imekuuma kaa kwa kutulia chawa
Au alikuwa amelipwa Advance wakaona waiandike kabisa.Half ni ADVOCATE Au hio Title sijaielewa?😀
Hahaha😂😂😂 dah aliizindua nje tu au alipewa na chumba akazindue kikamilifu?
Heshima inategemeana na Hadhi ya Mzinduaji......Vile ulivyo ndivyo watu wanakuchukuliaKwa nini alaumiwe mzinduzi kwa kosa la mwandishi wa jiwe la uzinduzi? Ina maana mzinduzi akikuta jiwe halijaandikwa vizuri basi asizindue?
Erythrocyte uwe unaleta mada zenye mashiko.
Mkuu wa wilaya naye anavuta sana, mshahara, posho na malupulupu siyo haba kabisa. Utitiri wa vyeo kama hivi ni mojawapo ya mzigo kwa taifa.Wenzake Queen Sendiga na hayati Mgwira moja kwa moja u RC huyu ex mwenyekiti wa CUF uDC miaka dahari.
Ullimbukeni huu; Yaani haujui hata. Mtu kutoka Tunduru kwenda Shinyanga kama Promotion. Shinyanga ni Wilaya yenye Halmashauri Mbili ambazo ni Shinyanga DC na MC, Viwanda vya Kutosha , na Migodi ya Madini ya Kutosha ya dhahabu na Almas. Sijajua kung’oka kukoje na Promotion ikoje. Shinyanga ipo Karibu na Ziwa Victoria, Karibu na Shinyanga, Karibu na Tabora na Karibu pia na Bariadi Mikoa yote tajiri wa rasilimali. Sidhani kama hapo ambaye hajielewi atakuwa ni Wewe Kampe ny’kFinally Mtatiro kang'oka Tunduru.
Wewe Chawa huna Akili muulize Don wa Madini Jf Mrangi akuambie Tunduru inaongoza Kwa Madini ya Vito Tz Spinal,Ruby,Blue Sapphire n.k ukifika Tunduru Kuna masoko makubwa sana ya Madini na Watailand na Wasirilanka wamejaa unaweza fikiri upo Nchi ya ugenini.Kwa ufupi tu Julius kule Kachuma sana na kachezesha sana hili asiondoke lakini wapi!Nikuongezee kitu huyo raia no 1 mishe zake zipo kule.Ullimbukeni huu; Yaani haujui hata. Mtu kutoka Tunduru kwenda Shinyanga kama Promotion. Shinyanga ni Wilaya yenye Halmashauri Mbili ambazo ni Shinyanga DC na MC, Viwanda vya Kutosha , na Migodi ya Madini ya Kutosha ya dhahabu na Almas. Sijajua kung’oka kukoje na Promotion ikoje. Shinyanga ipo Karibu na Ziwa Victoria, Karibu na Shinyanga, Karibu na Tabora na Karibu pia na Bariadi Mikoa yote tajiri wa rasilimali. Sidhani kama hapo ambaye hajielewi atakuwa ni Wewe Kampe ny’k
ChaiWewe Chawa huna Akili muulize Don wa Madini Jf Mrangi akuambie Tunduru inaongoza Kwa Madini ya Vito Tz Spinal,Ruby,Blue Sapphire n.k ukifika Tunduru Kuna masoko makubwa sana ya Madini na Watailand na Wasirilanka wamejaa unaweza fikiri upo Nchi ya ugenini.Kwa ufupi tu Julius kule Kachuma sana na kachezesha sana hili asiondoke lakini wapi!Nikuongezee kitu huyo raia no 1 mishe zake zipo kule.
Huyu ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na usalama wa WilayaIla kwakweli hizi nafasi za uDC zingefutwaga tu.
Maana maDC hawana kazi zaidi ya kusolve migogoro ambayo inaweza kutatuliwa na Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri zetu tu.
Ni kupoteza gharama na kuitwisha mzigo Serikali wa kuwahudimia tu